For webmasters and other web gurus

unaweka plugin inayoredirect hiyo url to another specified url ambayo utakuwa unaijua wewe admin mfano /wp-login.php inabadilishwa kuwa /login

Au unaweza kubadilisha .htaccess file kwa apache rewrite rules....


joomlahttp://mtaawasaba.com/administrator itabidi kwanza uvuke kikwazo cha kwanza ndo uweze kuipata login page ambapo ni kazi kubwa

Mkuu hii unaifanyaje aisee nipe na mimi ujuzi huu nimeipenda aisee
 
hbi hiyo ni rahisi ukiingia kwenye ftp control panel unabadili permission ya folder husika, ie unalifanya liwe password protected utaambiwa uweke username na password ambayo itahitajika kuingiza kwanza ili kuweza ku access hilo folder kama user wa kawaida, pia unaweza kubadili permission za page zingine for security purposes
 
Last edited by a moderator:
  • Thanks
Reactions: hbi
Yah nimekupata. Nishaona inaniuliza password kabla sjaingia kwenye url yenyewe. Na kuset folder password inakua ni feature kwenye hosting (kwenye ftp) au inakua ni script nyengine tena

hii ni inafanyika kwenye ftp ctrl panel, sio script nyingine, unahighiight folder unalotaka, kisha unalifanya liwe password protected, hapo mtu akijaribu kuaccess chochote hata kama ni picha haitakuja mpk aweke jina na password,
 
Back
Top Bottom