For symbian users a must to read this.

James St. Patrick

Senior Member
Jun 23, 2011
162
62
Kwa watumiaji wa symbian, ingia waptanga.tk nenda sehemu ya symbian area. Kuna maelekezo ya kupata fonts zaidi ya 20 na kubadilisha mwenekano simu yako! Pili mwenye key za ku unlock LCJ Jukebox, anisaidie maana music player nzuri sana lakini bei yake ndo utata, au mwenye jinsi yoyote ya ku unlock hii app anisaidie!
 
Kama simu yako umei hack tumia hii ambayo ina crack!! so haitohitaji keys www.4shared.com/rar/ckMDe7tO/LCG_Jukebox_265_s60v3_Cracked.html
 
jamani mimi nina nokia n900, na kila nikitaka kutumia whatsapp inagoma......help me please
 
jamani mimi nina nokia n900, na kila nikitaka kutumia whatsapp inagoma......help me please
 
nimedownload nimeweka kwenye memory card then nikitaka kufanya installation inaniambia " select an application from the list to open file 'whatsApp_2_6_97.sis"........

alaf nikishachagua application then inasema unable to install WhatsApp_2_6_97.sis" installation file corrupted
 
mie natumia nokia 6120c,nimeidownload ila ukiifungua inalamba memory yote,inasema out of memory na huwezi kufungua program nyingine yeyote hapo.nifanye nn
 
nimedownload nimeweka kwenye memory card then nikitaka kufanya installation inaniambia " select an application from the list to open file 'whatsApp_2_6_97.sis"........

alaf nikishachagua application then inasema unable to install WhatsApp_2_6_97.sis" installation file corrupted

Tafuta source nyingine ya kudownload hilo file coz file hilo ulo download hope lina errors!! Ila make sure una download hiyo kitu according to your phone operating system!!
 
kama unaweka mkuu nisaidie uangalie operating system ipi ni nzuri niiweke humu maana kuna vitu vingi nakosa......OS ya simu hii ni maeno lakini kuna muda niliweka android mpya ikafanyakazi kasoro camera na internet ikawa inasumbua
 
wakuu me sijaitumia nawala sihitaji, my problem is kuna mshikajiwangu tupo naye humu JF anatumia nokia E71 amei download hii kitu kila stage imemkubalia last stage ika mwambia a restar simu yake ili itumike efficiently akafanya hivyo, baada ya hapo kilicho fata nikwamba haijawaka hadi sasa.. Je!! Tatizo nini na kwanini??? Anajuta kiboya mazee ndo amentuma msaidieni jamani.... Nawasilishaa!!!

mpe pole
 
Back
Top Bottom