For sua students only

nyambari

JF-Expert Member
Nov 3, 2010
355
171
Wadau ratiba ya conference tayari iko hewanin hivyo iangalieni kwenye net ili maandalizi yaanze mapema mimi nawatakeini maandalizi mema Mungu awe pamoja nasi katika SEMINA hii.
 
me nimenyimwa kadi ya hiyo conference, 2ombe mungu labda mwakani watanipa:evil: ila kusema kweli square hapazoeleki!!!
 
Hapo DOME huwa ni balaa maana kuna dada mmoja mwaka jana ailifanya mambo kabisa chezea Saranga (Mr. UE)
 
Xory jaman kwa kulza swal tofaut na mada
hivi solomon compus nayo ina adminisuration yake au wanafunz wanalala 2 pale
 
Xory jaman kwa kulza swal tofaut na mada
hivi solomon compus nayo ina adminisuration yake au wanafunz wanalala 2 pale
Mambo yote yapo Main Campus ila kuna baadhi ya ofisi kama za vitivo mbalimbali ziko pale.
 
Kwani nyambari we unapiga mwaka wa ngapi mana hata me napga sua naingia 2nd year BRD!
 
Jamani hii page ya SUA vp maana nina mda usiopungua mwaka mmoja na zaidi sijweza ifungua hii page msaada kwa anaeweza nisadia kuweza ifungua hii page.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom