For single ladies out there

Ww...!!!! mwanamke hajivui gamba anavuliwa na mwanaume, unajua gamba la kike liko wapi? Finest
akuonyeshe/ akuvue not urself

usinikomaze masikio jamani!
Halafu kumsingizia finest ndio nin!
Hebu nivue hilo gamba hapa na wengine wajifunze. Lol!
 
Nitumie bank statement yako yatangu miaka
mitano iliyopita.. usisahaupepar zote za business zako..
na kama umeajiriwa nataka kuona payment slip..

Nyumba ngapi unazo?
je ni Toyota au Mcdz Benz?nani ya mwaka gani?
Ngapi$$$$$$$$ utanipa kwa shopping kila wiki?
Je holiday mbili za mwanzo utanipeleka wapi?
Last but not least... navaa dhahabu tu gold inafanana
na ngozi yangu kwahiyo sataki...
 
Wadada mpo,nimechoka kuishi pekeyangu,nataka kuwa na watoto sasa,mambo ya uchumi yapo safi,natafuta mdada alie tayari tuanzishe familia,awe wa kabila,dini yoyote,ila asiwe mhaya tu,umri not more than 24,nipo Arusha

Duh nimeboreka sana,i real need a woman in my life,

Alie tayari pls pm me
Uchumi ukiyumba itakuwaje utaacha mke??
 
Wadada mpo,nimechoka kuishi pekeyangu,nataka kuwa na watoto sasa,mambo ya uchumi yapo safi,natafuta mdada alie tayari tuanzishe familia,awe wa kabila,dini yoyote,ila asiwe mhaya tu,umri not more than 24,nipo Arusha

Duh nimeboreka sana,i real need a woman in my life,

Alie tayari pls pm me

Bado tu hujapata???

Kama bado mimi niko tayari maana uchumi wangu sio kabisa kwahiyo kama wako umekaa sawa tutaendana!!
Umri 23...mChagga...elimu kidato cha nne....makazi atown....kazi sina!!
 
nitumie bank statement yako yatangu miaka
mitano iliyopita.. Usisahaupepar zote za business zako..
Na kama umeajiriwa nataka kuona payment slip..

Nyumba ngapi unazo?
Je ni toyota au mcdz benz?nani ya mwaka gani?
Ngapi$$$$$$$$ utanipa kwa shopping kila wiki?
Je holiday mbili za mwanzo utanipeleka wapi?
Last but not least... Navaa dhahabu tu gold inafanana
na ngozi yangu kwahiyo sataki...

aisee!! We mkali
 
Back
Top Bottom