"For serious women who want to get marriage"

Mcheza Karate

JF-Expert Member
Jun 30, 2011
690
350
Wadau, habari za jioni. Kabla sijatoa hoja napenda nianze kwa utangulizi. Nimekuwa member hapa JF kwa muda kidogo, naamini ni sehemu ambayo kuna mkusanyiko wa watu wengi ambao ni wastaarabu na waungwana kuliko mitandao mingine, mimi ni kijana wa miaka 28 lakini kutokana na kukomaa na maisha na u bizy wa kupindukia nimeshtuka kuwa umri unaenda na kupata muda wa kupata/kumwandaa mchumba ktk mazingira ninayofanyia kazi au kuishi ni magumu kidogo. Hivyo nilikuwa nahitaji kupata binti ambaye yuko serious ktk kupata ndoa kama mimi. Umri wangu ni miaka 28, ni mrefu wastani, uzito ni gm 63,000, elimu yangu ni darasa la V11, Mtanzania, dini yangu ni muislam wa imani ya kadri, mpole, sivuti sigara, nakunywa pombe kwa kiasi. >>>. Mwanamke ninayemtaka awe na sifa zifuatazo 1.Umri miaka 21-30, 2. Dini yoyote 3.kabila lolote 4.mkweli/muwazi 5.elimu yoyote 6. Asiwe anavuta sigara. >>>>kwa aliye serious na yuko interested ani PM then nitampatia mawasiliano mengine. Kila la heri. ANGALIZO: "sio lazima kila post uchangie, kama hauko interested unapita tu, maana imekuwa kawaida hapa jamvini kukosoa hata vitu ambavyo havina mantinki".
 
kila la kheri.....mungu atakujaalia utampata.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom