For serious & single ladies: Nipo kwenye harakati za kutafuta mke mwema

Sharp green.... huruma yako inawakumba wadada wenye emotional need?:suspicious:
Red.... Mwendo huohuo, madili mengine hupatikania bar..:kev:
Navy Blue... nasikitika...kuna ka harufu ka ufisadi wa mapenzi hapa!!:)
Light green... umimaliza khabari....huyo mtarajiwa apende dume'MGUMU' asilia?inabidi umuumbe mwenyewe huyo demu!!:shock:
naenda kaunta

Mkeshahoi,

Kwanza umenichekesa sana mkuu! Pili, unajua walio wengi wakitaka kuwapata vimwana wanapiga usanii kishenzi, jamaa mpaka anaazima kiwalo, tinted nk sasa hizi ni cosmetics ambazo huja kufanya maisha kuwa magumu unapofanikiwa kuwa pamoja na mwenza wako, usanii unakuwa hauna nafasi na mwenza wako anajua sasa who you are! na mabifu yanaanza hapo hapo! tuambizane ukweli mwanzoni kabisa ili mtu ajue mapema though hii ina disadvantage sana kwa unaweza kosa kabisa vimwana......! But I believe in telling people my truth!
 
pamoja na sifa zako lakini jua tuu kuwa mke mwema hutokea kwa bwana,........ushauri subiri mwanamke aliye takikika......

Mwenzetu,

Uko sahihi kwamba mke mwema hutoka kwa bwana.....lakini haina maana atashushwa physically kutoka kwa malaika mbinguni.....atatoka kati ya marafiki zako unaokutana nao kwa njia mbalimbali kama vile humo mitandaoni, kanisani, msikitini, mashuleni, kwenye mihadhara, maofisini, club etc....!

Hiyo point yako ya mwisho ...kwamba nisubiri aliye talikika ...hapa doesn't hold water....tayari kwenye vigezo vyangu hapo juu hakidhi.....! upo mkuu!
 
Sharp green.... huruma yako inawakumba wadada wenye emotional need?:suspicious:
Red.... Mwendo huohuo, madili mengine hupatikania bar..:kev:
Navy Blue... nasikitika...kuna ka harufu ka ufisadi wa mapenzi hapa!!:)
Light green... umimaliza khabari....huyo mtarajiwa apende dume'MGUMU' asilia?inabidi umuumbe mwenyewe huyo demu!!:shock:
naenda kaunta

Wewe ndo umemaliza kila kitu. Kula bia my dia usiogope ntakuja kulipa.
 
ukimpata tushtue tuanzishe sredi la michango. halaf kwavile umempata JF tutawaomba mod wakupe upremium member direct.

all ze best jibaba.
 
Wewe ndo umemaliza kila kitu. Kula bia my dia usiogope ntakuja kulipa.
...Mamushika, Mkeshahoi hapo kainyumbua CV kivingine vingine.....though kuna kaukweli fulani ndani yake.......!
Soma post vizuri, yeye ana watoto wawili na ameachana na mke ila hataki alieachana na mume.
...Bora umwambie weye.....!
Taluma bado haujapata|???
....Bado mkuu TF.....! Just masaa 24 tu yamepita! nitasubiria mpaka kieleweke......! leo nilitamani niweke hili bango pale church but lol ni noma!
 
ukimpata tushtue tuanzishe sredi la michango. halaf kwavile umempata JF tutawaomba mod wakupe upremium member direct.

all ze best jibaba.

Hakuna neno mzee Klorokwini.....nitawasitua tu! Ila mchakato ukikamilika kabisa itabidi nije kivingine.....kuondoa mgongano wa maslahi...hope umenipata mkuu!
 
...Mamushika, Mkeshahoi hapo kainyumbua CV kivingine vingine.....though kuna kaukweli fulani ndani yake.......!

...Bora umwambie weye.....!

....Bado mkuu TF.....! Just masaa 24 tu yamepita! nitasubiria mpaka kieleweke......! leo nilitamani niweke hili bango pale church but lol ni noma!

Nina uhakika kesho utapata PM nyingi tu wapo pia hapa wanaotafuta
 
bado hujapata?
Demokrasia ikishindikana itabidi tutumie umafia. Lol!

...Bado Husninyo .....!mdogomdogo pengine tutafika ndugu! By the way ...waruhusiwa kuforward hii kitu hata kwa wengine unaowafahamu!
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom