Bora useme wewe......! humu hakuna usanii kabisa very serious na huu mchakato!
...shosti, kuna post mmoja hapo juu nimejibu nafikiri ya babaubaya kwamba....kama atakuwa amezaa basi isiwe zaidi ya mtoto mmoja! Ili mimi na yeye tuzae mmoja tu jumla wanne....huyu mmoja ni wakuimarisha ndoa tu! unajua mambo yetu ya kiswahili mama asipozaa inakuwa balaa kweli kwenye ukoo....nadhani upo hapo!
Uhusiano wa wewe na mke ni wenu ninyi na si kuangalia ndugu/ Ukoo watasema nini, Chochote katika mahusiano kwa maana ya ndoa kinaweza kutokea nakusihi achana kabisa na kuangalia ndugu wanasema nini, usipozingatia hilo ki-ukweli utayaweka hatarini mahusiano yako ambayo yamkini MUNGU akikujalia utapata hivi karibuni. Naamini ndugu wana nafasi katika ndoa lalini si nafasi ya kuingilia maamuzi magumu kama ya kuhukumu kwa nini hazai!!! Kila la heri kaka!!
utawapata kabisa nna uhakika,kwa wengine bado kuolewa ni sheria
Tulikubaliana mama yao atakaa nao mpaka wafikishe miaka 7, then nitawachukua wote so pia nategemea mke nitakaye mwoa awe tayari kunisaidia kuwalea pia....! asante kwa kuuliza hili swali ilibidi niliweke wazi!
Vijana vituko haviishi.... siku hizi kutafuta mke mpaka tunatangaza :kev:
best wishez mpendwa, mie bado navutavuta kidogo. deadline yangu nimeweka mwakani majira kama haya ...
jamani, si ubadili mawazo tu labda na mimi nitanufaika?
Sharp green.... huruma yako inawakumba wadada wenye emotional need?:suspicious:Habari zenu mabibi! Nipo kwenye harakati za kutafuta mwanamke wa kuishi naye hapa Tanzania: Sifa za mke ninaye mtafuta ni kama ifuatavyo;
Sifa zangu;
- Awe na umri kati ya miaka 25 hadi 32
- Asiwe amewahi kuolewa kwa ndoa ya aina yeyote ile
- Asiwe amewahi kuishi na mume kama mume wake (zile za kuvutana kimya kimya bila ndoa)
- Awe na umbo linalovutia (si bonge sana, si mwembamba sana) ie good looking ...wale wa mkorogo au mawigi....no please...!ninapenda natural beauty!
- Elimu angalau form four na kuendelea
- Awe mfanyakazi au mjasiliamali
- Awe ni mkristo -RC au kama ni dhehebu lingine (sio ulokole) awe tayari kuwa RC
- Asiwe na kuburi kabisaaaa
- Asiwe na hasira, jaziba au vuvuzela
- Asiwe mchafu, awe anapenda usafi wa mwili wake, nyumba, mazingira anayoishi, viwalo vyake etc
- Awe mke mwenye hekima, busara na adabu kwa wakubwa wake
- Awe mke anayeheshimu mila na desturi za kiafrika...asiwe adicted kwenye western culture tu.
- Awe tayari (if god wishes) kuzaa watoto wasiozidi wawili tu
- Awe tayari kupima VVU -wakati ukiwadia
- Awe mtanzania wa kabila lolote
Tafadhali kwa anaye endana na wasifu huo na ambaye hupo tayari kuishi na mimi pamoja na wasifu wangu hapo juu, naomba tuwasiliane kwa njia zifuatazo;
- Elimu chuo kikuu -na professional certificate
- Umri miaka 34
- Kabila Mnyalu
- Mfanyakazi na mjasiliamali
- Nina huruma sana for the ''needy'' people
- Nina kunywa ....hasa weekends!
- Nina watoto wawili - mama yao tuliachana (hakukuwa na ndoa yeyote) baada ya kushindwa kuelewana
- Niko rafu (kuvaa, kula) lakini napenda mke asiwe rafu kama mimi
- Nina jiamini
- Ni mrefu - 1.67m
- Uzito 84kgs
- Occassionaly huwa naenda club
- Ni mweusi ila kidogo maji ya kunde
- Napenda muziki - wa dini na uraiani
Tafadhali naomba kwa wale walio serious tu ndo wanitumie PM au email, hakuna mzaha au utani ninamaanisha niliyoyaandika!
- PM - hapa JF
- Email : taluma77@yahoo.com
Asante na Mungu awabariki sana!