For Sale: Heka Mbili, KIMBIJI. (Beach Namba Tatu)

Firefox

Senior Member
May 10, 2011
127
71
Eneo zuri lenye ukubwa wa heka 2 linauzwa maeneo ya Kimbiji Kigamboni (35 km from Kigamboni Ferry) karibu na Kidagaa Beach, eneo la Mikenge.

Ni shamba zuri ambalo lipo mita chache kutoka ufukwe wa Bahari ya Hindi (Beach Namba 3)

Eneo halijapimwa na halina tatizo lolote, taratibu zote za serikali za mitaa zitafuatwa.

Bei ni Shilingi Milioni 10 tu.

Kama upo interested ni PM au piga simu namba 0756 240 250
 
Back
Top Bottom