Mwanakili90
JF-Expert Member
- Nov 24, 2010
- 1,568
- 245
gunduuuuuuuuuuuuuuukama kuolewa ni bahati kuoa ni nini!!
gunduuuuuuuuuuuuuuukama kuolewa ni bahati kuoa ni nini!!
Kumbe wabaya tuna soko la ndoa!What a relief!
hope kule ulisema wewe ni mzuri,
hope kule ulisema wewe ni mzuri,
Ni kweli kabisa mwanamke mzuri huwa anasumbua sana katika ndoa, kwanza kabisa kinachotatiza ni kwamba uzuri mara nyingi huenda pamoja na starehe, vile vile huwa wanafikiri kuwa na wanaume wengi ndio inathibitisha uzuri wao, wengi hufikiri kwamba kuwa na mwanamme mmoja ni kama wanazudhulumu nafsi zao, wengi wao hawapendi mwanamme wa kutafuta pamoja wanataka ambaye teyari ameshatafuta yaani ana nguvu kiuchumi hapo ndio wanaangukia kwa waume za watu ambao kimsingi si waoaji. Ndio maana wengi huwa na mahusiano na watu waliowazidi umri sana. Muda mwingi mwanamke mzuri hutumia muda mwingi sana kufikiria juu ya uzuri wake na kufikia kwamba kila mwanamme anahusika na uzuri wake kiasi kwamba muda mwingine hata kushidwa kutekeleza majukumu yake iwe kazini au nyumbani, vile vile hupenda kuwa nadhifu muda wote kiasi kwamba anashidwa hata kufanya majukumu yake kama kupika, kuosha vyombo,kudeki kufua n.k. Mwanamke ambaye ni mzuri sana muda mwingine hata akiwa kwenye ndoa huwa hapendi kuzaa na hata akizaa kunyonyesha hataki, anataka umuwekee wasichana wa kazi hata wawili hata kama yeye ni mama wa nyumbani. Tabia kama hizi ni vigumu kumkuta nazo mwanamke ambaye si mzuri. Nakumbuka mimi nilikuwa na rafiki yangu wa kike ambaye nilikuwa naye na mahusiano ya kimapenzi alikuwa ni mzuri sana lakini alipokuwa akija ninako ishi mimi alikuwa anataka twende sehemu tukale na sio habari ya kupika nyumbani hii ilikuwa ni mara zote alipokuwa anakuja nyumbani, mara nyingine kama tukichukua take away tukaja kulia nyumbani vyombo vilivyotumika anaviacha kisha mimi badaye mimi naviosha. Lakini niliyempata sasa hivi si mzuri sana lakini naoni hana matatizo kabisa akija nyumbani atafanya usafi kila kona na kupanga vitu na kunishauri nini niongeza katika nyumba, anapika vizuri bila kuambiwa.
Wanawake wazuri waliowengi huwa wanaringa sana wanajiona. Mara nyingi humvutia kila mwanaume hivyo mwanaume akitoka naye anapata shida kwani kila mtu humezea mate siku hizi hata wanawake wenyewe kwa wenyewe wanatamaniana. Sasa wanaume kama mimi sitaki pressure kwani mke akitoka peke yake humwamini kwani haishi kutongozwa, wengine mwisho uzalendo huwaishia na kugawa penzi. Ikitokea kama hii afadhali usipate fununu kwan ukisikia wanaume tunawivu fulan hivyo inakuuma hapo ndo matatizo hayaishi na ndiyo baadhi ya ndoa zenye wake wazuri hazidum kisa wivu wa mapenzi. Wakati wale walioa wanawake wakawaida zinadumu kwani wengi wao hujifaham kuwa si wazuri kivile hivyo wakipata wanatulia wanajiheshimu hawasumbuliwi hata akitoka alone. Na ndoa hizi mara nyingi zinadumu sana up to the end of life. Hivyo wale wanajihisi wazuri waache kujiona na kuwa much know.
<br />ndo maana kule kwa dumela mbegu nilisema wanaume tunapaswa kujiamini,kilicho kizuri lazma kiangaliwe na wengi lkn ww kama mwanaume amini unaweza kumiliki na ukawa mwenyewe,wivu ukizidi ndo mwanzo wa pressure,na si kweli kuwa wanaringa huo ni mtizamo hasi unaoletwa na kutokujiamini kwetu sisi wanaume.
Kama kuolewa ni bahati kuoa ni nini!!
Kumbe wabaya tuna soko la ndoa!What a relief!
Lizzy, hakuna mwanamke mbaya hata m1.
by nature wanawake mmeumbwa kuvutia halaf waname kuvutiwa, kubwa zaidi hatukuumbwa uniformly.kinachonivutia kwako chaweza kisimvutie kabisa gosbertgoodluck.
Lizzy, hakuna mwanamke mbaya hata m1.
by nature wanawake mmeumbwa kuvutia halaf waname kuvutiwa, kubwa zaidi hatukuumbwa uniformly.kinachonivutia kwako chaweza kisimvutie kabisa gosbertgoodluck.
Dah mkuu umenichekesha sana.................hahahahahahahhagunduuuuuuuuuuuuuuu
Lizzy, hakuna mwanamke mbaya hata m1.
by nature wanawake mmeumbwa kuvutia halaf waname kuvutiwa, kubwa zaidi hatukuumbwa uniformly.kinachonivutia kwako chaweza kisimvutie kabisa gosbertgoodluck.