*for ladies only*

Tugutuke

JF-Expert Member
Apr 21, 2011
501
165
Habari za Muda huu wana JF,

ni mara yangu ya kwanza kuweka post humu ila mie ni member wa Jf. Kilichonituma kuweka post humu ni hiki. Mimi ni kijana wa kiume niliyezaliwa miaka 24+.

Natafuta mchumba au mpenzi wa kudumu naye,ambaye yupo tayari kuwa na mimi forever.
Nilikuwa nasoma ila masuala ya uchumi ndo yamenifanya niishie hapo nilipoishia.
So kama kuna mwanamke/binti ambaye yuko tayari kunisaidia kwa hili and then
at last tukawa couple ntajiona mwenye bahati.

Sina vigezo mimi,awe anizidi umri,awe mwathirika wa Ukimwi n.k.
Whatever,coz hiyo ni kazi ya mungu. Napenda nieleweke kuwa plz niko serious. Simjaribu mtu.

Aliye tayari naomba ani PM au e-mail ni Sweetrwabu@gmail.com baada ya kumpata huyo ninayemwitaji nadhani ndo atanielewa zaidi kwa full story nitayompa.

Asanteni.
 
mh!..wauwahi jahazi...ooh..sory JF... kuna mambo!..mwanamke wa kukuhudumia kwa zama hizi utampata kweli na tanzania hii? How sweet you are?..mi nakushauri uende arusha jichanganye kwa tourist..kuna majimama ya kizungu yana mpunga balaaa yanakuja kutafuta wenza..kama ulimi wako haujazaliwa siku ya uzito duniani waweza jipatia mmoja..
 
we huna mapenz ya kweli, unatafuta wa kukutoa tu kimaisha. believe me young boy... utaumia. fanya kazi kwa bidii utatoka tu.
 
Habari za Muda huu wana JF, ni mara yangu ya kwanza kuweka post humu ila mie ni member wa Jf. Kilichonituma kuweka post humu ni hiki. Mimi ni kijana wa kiume niliyezaliwa miaka 24+. Natafuta mchumba au mpenzi wa kudumu naye,ambaye yupo tayari kuwa na mimi forever. Nilikuwa nasoma ila masuala ya uchumi ndo yamenifanya niishie hapo nilipoishia. So kama kuna mwanamke/binti ambaye yuko tayari kunisaidia kwa hili and then at last tukawa couple ntajiona mwenye bahati. Sina vigezo mimi,awe anizidi umri,awe mwathirika wa Ukimwi n.k. Whatever,coz hiyo ni kazi ya mungu. Napenda nieleweke kuwa plz niko serious. Simjaribu mtu. Aliye tayari naomba ani PM au e-mail ni Sweetrwabu@gmail.com baada ya kumpata huyo ninayemwitaji nadhani ndo atanielewa zaidi kwa full story nitayompa. Asanteni.
hiyo e-mail address yako inanipa shaka sana kama wewe ni mwanaume kweli.....ebu nenda facebook halafu ufanye link na hapa ndio angalau utafanikiwa otherwise fanya kazi wacha biashara ya kutaka kulelewa pumbafyuuu:hand:
 
kukata tamaa kubaya jamani.
Mwanamme malengo, si pesa wa elimu.

Wagalatia nani aliyewaloga jamani???
 
kwa swagga hili.....utakaa sana.....jitahidi kuja kivingine.....
 
hiyo e-mail address yako inanipa shaka sana kama wewe ni mwanaume kweli.....ebu nenda facebook halafu ufanye link na hapa ndio angalau utafanikiwa otherwise fanya kazi wacha biashara ya kutaka kulelewa pumbafyuuu:hand:

jamaa anaonekan yupo serious maana kapita mitandao mingine kumsaka wake mwandani

harusiyangu.com/forumrepliesreview.php?type=2&topicid=65784
 
Mmmh tutaendelea kweli na speed hii, kila mtu ataka kulelewa......shuwaini, Jamani mimi pia natafuta kibabu chenye pesa kinileee
 
Mmmh tutaendelea kweli na speed hii, kila mtu ataka kulelewa......shuwaini, Jamani mimi pia natafuta kibabu chenye pesa kinileee
mbona tutajiju mwaka huu.kweli maisha magumu .tunatafutana humu duniani
 
Habari za Muda huu wana JF, ni mara yangu ya kwanza kuweka post humu ila mie ni member wa Jf. Kilichonituma kuweka post humu ni hiki. Mimi ni kijana wa kiume niliyezaliwa miaka 24+. Natafuta mchumba au mpenzi wa kudumu naye,ambaye yupo tayari kuwa na mimi forever. Nilikuwa nasoma ila masuala ya uchumi ndo yamenifanya niishie hapo nilipoishia. So kama kuna mwanamke/binti ambaye yuko tayari kunisaidia kwa hili and then at last tukawa couple ntajiona mwenye bahati. Sina vigezo mimi,awe anizidi umri,awe mwathirika wa Ukimwi n.k. Whatever,coz hiyo ni kazi ya mungu. Napenda nieleweke kuwa plz niko serious. Simjaribu mtu. Aliye tayari naomba ani PM au e-mail ni Sweetrwabu@gmail.com baada ya kumpata huyo ninayemwitaji nadhani ndo atanielewa zaidi kwa full story nitayompa. Asanteni.

umeshaacha haya mambo baada ya Kusilimu au bado unayo?
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom