For JamiiForums Mobile users

Mnaotaka KUWEKA PICHA KATIKA THREAD FUATENI MAELEKEZO HAYA,
KWANZA TAFUTA LINK YA HIYO PICHA THENI FANYA HIVI
[ img ]HAPA WEKA IMAGE LINK[/img] KUMBUKA KUTOLUKA NAFASI HAPO KWENYE =
Mfano: image link yangu ni http://profile.ak.fbcdn.net/hprofile-ak-snc4/211187_135522666523853_7224822_n.jpg
so itakua hivi[ img ]http://profile.ak.fbcdn.net/hprofile-ak-snc4/211187_135522666523853_7224822_n.jpg[/img] sasa wewe usiluke nafasi humo ndani ya mabano KAMA MIMI NISINGE LUKA INGE ONEKANA HIVI
211187_135522666523853_7224822_n.jpg

JARIBU ALAF ULETE FEEDBACK
UKISHINDWA USISITE KUULIZA
Mnaotaka KUWEKA PICHA FUATENI KAMA NILIVYO ELEKEZA HAPO JUU
 
Hello Guys.
Najua Mobile users wa JF wanamiss vitu ving sana vya uzuri wa JF. Mfano kuweka Rangi katika Maandishi ya Post yako au Thread.

SASA KAMA UNATAKA KUWEKA rangi katika Post yako kuna Njia rahisi ya kutumia bila kutumia COMPUTER.

TUANZE.
HEBU TUWEKE RANGI NYEKUNDU
1. Kama umeandika Maneno yako mfano Neno MOBILE

Tutatumia code hizi mbili
1.[COLOR=#ff0000 ]

2.[/COLOR ]
U
siweke Space yoyote ile mi nimeweka ili zionekane tu hizi Code

OKAY
Sasa Mwanzo mwa neno MOBILE yaani Nyuma ya herufi M weka code hiyo ya kwanza halafu mwisho mwa neno MOBILE yaani mbele ya herufi E weka code hiyo ya Pili. Its DONE.


MOBILE


KWA CODE ZINGINE HIZI HAPA
#000000 black
#FFFFFF white
#FF0000 red
#008000 green
#0000FF blue
#FFFF00 yellow
#808080 gray
#800080 purple
#00FF00 lime
#00FFFF aqua
#FF00FF fuchsia
#800000 maroon
#000080 navy
#808000 olive
#C0C0C0 silver
#008080 teal
#EE82EE violet

Unamalizia kwa code ya pili. THANKS GUYS
Yeah..! This is Jf-tech. Gadget. I like it..! Next time tumeni jinsi ya ku-indicate 'likes'. I believe most of mobile users huwa tuna i-miss sana hii option.
 
Ukishindwa kuweka code number weka jina la rangi mfano red,blue,green n.k mfano
[COLOR=red ] halafu unamalizia na [/COLOR ] usiruke space kwenye maneno ya mabano

JF MOBILE
 
Hiyo link unaipataje? Mfano ninataka kuweka picha iliopo kwenye image folder ya kwenye simu yangu!
 
Back
Top Bottom