For JamiiForums Mobile users

Naomba mnisaidie wanajukwaa...... Mm natumia tecno h6 ila toka juz kuna baadhi ya vitu ambavyo mwanzo nilikuwa navifanya ila kwa sasa nashibdwa...... Wakat huo huo Kuna jiran yangu anatumia tecno p5 na inafanya kazi ambazo simu yangu h6 inashindwa kuzifanya....... Na kaz zenyewe ni ku login kwenye account za tcu na heslb ambazo tayar nimeshajisajili
 
Back
Top Bottom