For JamiiForums Mobile users

hello guys.
Najua mobile users wa jf wanamiss vitu ving sana vya uzuri wa jf. Mfano kuweka rangi katika maandishi ya post yako au thread.

Sasa kama unataka kuweka rangi katika post yako kuna njia rahisi ya kutumia bila kutumia computer.

Tuanze.
Hebu tuweke rangi nyekundu
1. Kama umeandika maneno yako mfano neno mobile

tutatumia code hizi mbili
1.[color=#ff0000 ]

2.[/color ]
u
siweke space yoyote ile mi nimeweka ili zionekane tu hizi code

okay
sasa mwanzo mwa neno mobile yaani nyuma ya herufi m weka code hiyo ya kwanza halafu mwisho mwa neno mobile yaani mbele ya herufi e weka code hiyo ya pili. Its done.


mobile


kwa code zingine hizi hapa
#000000 black
#ffffff white
#ff0000 red
#008000 green
#0000ff blue
#ffff00 yellow
#808080 gray
#800080 purple
#00ff00 lime
#00ffff aqua
#ff00ff fuchsia
#800000 maroon
#000080 navy
#808000 olive
#c0c0c0 silver
#008080 teal
#ee82ee violet
note:
Unaweza kuweka code number au jina la rangi kama hapo juu yalivyoorodheshwa

halafu unamalizia kwa code ya pili. Thanks guys

niceee!
 
Mnaotaka KUWEKA PICHA KATIKA THREAD FUATENI MAELEKEZO HAYA,
KWANZA TAFUTA LINK YA HIYO PICHA THENI FANYA HIVI
[ img ]HAPA WEKA IMAGE LINK[/img] KUMBUKA KUTOLUKA NAFASI HAPO KWENYE =
Mfano: image link yangu ni http://profile.ak.fbcdn.net/hprofile-ak-snc4/211187_135522666523853_7224822_n.jpg
so itakua hivi[ img ]http://profile.ak.fbcdn.net/hprofile-ak-snc4/211187_135522666523853_7224822_n.jpg[/img] sasa wewe usiluke nafasi humo ndani ya mabano KAMA MIMI NISINGE LUKA INGE ONEKANA HIVI
211187_135522666523853_7224822_n.jpg

JARIBU ALAF ULETE FEEDBACK
UKISHINDWA USISITE KUULIZA

Mnaotaka KUWEKA PICHA FUATENI KAMA NILIVYO ELEKEZA HAPO JUU
 
Back
Top Bottom