For how long should we....?

kaharibu ni kidogo sasa.

Kwa jinsi navyo wajua nyie wanawake iwa mnakuwa na misimamo ya ajabu lakini utaona tayari ananywea jamaa anaanza kumega kama kawa haya maswala ya wanandoa yaacheni watu wanafumaniana kesho wapo pamoja.
 
I have feelings kwa watoto.
Mijanajume mingine sijui inakuwaga inawaza nini. Yaani ni kazi kweli kuishi nayo mijitu ya aina hii. Haina shukrani kabisa
 
Duh kwa hiyo siku zinavyo zidi kwenda ndo unaonyesha makucha yako? Unalinga kwa vile upo ndani ya ndoa...wewe unakaribisha nyumba ndogo au uke wenza hivi hivi na hii ndo dawa kwa mwanamke anae linga unasogeza nyumba ndogo tu.
Sio dawa hiyo ni magonjwa tuu mnaleteana maana na yeye vile vile atakwenda kwa nyumba ndogo yake kimya kimya...mara baada ya miezi kadha vikohozu visivyoisha, kuharisha kwa mara kwa mara, malaria sugu, homa za hapa na pale, vipele na ukurutu mwili mzima...haya sasa asara kwa nani si nyinyi wote jamani. Wanaume ondoeni mawazo potofu yaliotawala akili zenu...amkeni jamani hii sio miaka ya 45.
 
hehehehe karibu Penny mjadala ulisha hama huko upo mbali sana jaribu kufuatilia tunamsaidia ndugu yake sijui rafiki yake Nyamayao....
 
Ni kweli nyamayao, lakini naangalia watoto..wamekosa nini?

mie na wewe hatutaweza kujua maumivu/uchungu aliyoyapata huyu ma frnd baada ya kutendwa, hapo alipo hataki kuckia ushauri wowote, tumuache yeye ndio muamuzi wa mwisho wa hili sakata, wewe/mie tunaweza kulichukulia cmple labda coz halijatukuta.....
 
Kwa jinsi navyo wajua nyie wanawake iwa mnakuwa na misimamo ya ajabu lakini utaona tayari ananywea jamaa anaanza kumega kama kawa haya maswala ya wanandoa yaacheni watu wanafumaniana kesho wapo pamoja.

ndio maana cjamshauri lolote mpaka sasa, nasubiri akili yake i2lie then ajue cha kufanya.
 
hehehehe karibu Penny mjadala ulisha hama huko upo mbali sana jaribu kufuatilia tunamsaidia ndugu yake sijui rafiki yake Nyamayao....
Sawa hata kama niko out dated ila habari ndo hiyo and my msg is delivered. Tuendle.
 
Back
Top Bottom