For blackberry users only...plse.

Thinker96

JF-Expert Member
Jan 15, 2011
311
66
Watumiaji waliokubuhu kwenye matumizi ya blackberry naomba msaada wenu,kuna simu aina ya blackberry 8310 sasa kijana wangu mmoja anashindwa kuiona memory card naomba mnielekeze hatua kwa hatua mpaka kuifikia memory card ni program ip ndo ina sensi memory card.
 
Menu(kitufe cha pili toka kushoto juu)>media>menu>explore
Hapo utaikuta imeandikwa media card, then you're read to go
 
Mi najua lakini kwa sababu umesema kwa watumiaji wa BB tu, na mi sina hiyo simu kwa hiyo ngoja niendelee na shughuloi zangu.... lol
 
SUBJECT:
Check the Available Memory of a RIM BlackBerry Curve 8310 using Handheld Software Version 4.x
FACT:
BlackBerry Handheld Software version 4.2
RIM BlackBerry Curve 8310
FIX:
RIM BlackBerry Curve 8310 Keypad Layout
Procedure

  1. Scroll to and select the Settings icon (to select press the trackball in).
  2. Scroll to and select the Options icon.
  3. Scroll to and select Status.
    PATTLNK_4302007_2325-8300_4.2.2_Settings_Options_Status.jpg
  4. The available memory is listed as File Free. The total memory of the device is listed as File Total.
    NOTE: It is recommended to maintain a minimum File Free of 400 to 500KB. Maintaining this amount of free Flash memory will lead to better overall system performance.
    PATTLNK_2202007_1625-8800_4.2_CING_Settings_Options_Status_CheckAvailableMemory.jpg
    • To view memory usage by application, press the menu key and select Database Sizes.
      PATTLNK_7312007_1832-8820_4.2_Settings_Options_Status_FileFree_DatabaseSizes.jpg
    • The database sizes by application will appear.
      PATTLNK_7312007_1832-8820_4.2_Settings_Options_Status_FileFree_DatabaseSizes_applications.jpg

Bibie Mpendwa na wewe kumbe umo kwenye mambo ya Teknohama? Bi Faiza Fox?
 
AlhamduliLlah, kuna mengi sana nayajuwa, sijisifu ni majaaliwa. InshaAllah utaendelea kunishangaa siku hadi siku panapo uhai.

Kwa hili hakuna ujuzi zaidi ya google. Kwetu inakuwa ni sahali kwa wengine huwa hata hawaijui google ni nini wao ni JF, mtandao mzima duniani upo "centered" JF.
 
Sasa hapa unampa promo dogo aombwe bb pin ama? Hiyo simu jaina user manual? Mmeshindwa ku-google? Kha!
 
AlhamduliLlah, kuna mengi sana nayajuwa, sijisifu ni majaaliwa. InshaAllah utaendelea kunishangaa siku hadi siku panapo uhai.

Kwa hili hakuna ujuzi zaidi ya google. Kwetu inakuwa ni sahali kwa wengine huwa hata hawaijui google ni nini wao ni JF, mtandao mzima duniani upo "centered" JF.
Wamekuwa wateja wa J.F. Tu? hawa juwa kuw kuna kitu kinaitwa Search Engine? yaani Google? hahahahahahahahah tunawapa pole sana.

250px-Google_web_search.png
 
kwel Pauls,mzizimkavu,ki..st,ff,mpitanjia na wengine wote nashukuru kwa maelezo yenu kwan imekuwa msaada sana na kijana wangu kumbe nimeweka micro sd yangu imekubali vizuri kumbe micro sd yake niya mchina kinachoandika ni kwamba disc error! lakini ya kwangu ni genuine nimeweka imesoma labda niulize ni namna gani ya kutoa hiyo situation ya disc error!
 
AlhamduliLlah, kuna mengi sana nayajuwa, sijisifu ni majaaliwa. InshaAllah utaendelea kunishangaa siku hadi siku panapo uhai.

Kwa hili hakuna ujuzi zaidi ya google. Kwetu inakuwa ni sahali kwa wengine huwa hata hawaijui google ni nini wao ni JF, mtandao mzima duniani upo "centered" JF.

Nimependa copy and paste yako ilivyojitosheleza lakini bahati mbaya umejibu usicho ulizwa.
 
kumbe micro sd yake niya mchina kinachoandika ni kwamba disc error! lakini ya kwangu ni genuine nimeweka imesoma labda niulize ni namna gani ya kutoa hiyo situation ya disc error!

Mkuu hiyo ni kimeo tafuta nyingine, hizi za mchina ni bahati na sibu zingine zinakubali zingine zinagoma kabisa hasa ukiweka kwenye simu original, na zinazokubali ukiweka vitu na kudelete mara mbili tatu inakufilia mbali
 
Back
Top Bottom