For all first years in udsm;since the berlin conference africans had never be the same.discuss

Jestina hii so assignment ni mada,hatujaanza kusoma hisrory
 
Ud wamenikubali sb nina 2-11,japo si kubwa lakini wallahu,na kuchaguliwa kwangu ud hakuna uhusiano na mada.nawasilisha,na mkopo ninao mkubwa

nenda ukapimwe akili. Inavyoelekea wewe ndio wa kwanza kusoma hapo mtaani kwenu.
 
uliza wenzio tuko hapa ud tunapiga vitu gan na tumekuja na matokeo gan,ila hatuna mbwembwe.sasa hyo 2.11 ndio unaona nawe umepigaa..we jamaa sijui umetokea mkoa gani,mshamba hvo!

huyu jamaa usimjibu. Nahisi kama akili zake zimesinyaa.
 
Hawa watu wa bachelor of art with education wana matatizo sana,hizo ishu zenu zisizo na fact wala tija kwa taifa usizilete kwa great thinkers.

Kingine,walimu wa historia wamejaa mashuleni nakuulumia wewe utakosa cha kufanya na taaluma yako,ngoja umalize uone utakavyo sugua bench kitaa.
Bila shaka na wewe bado unasugua benchi na unastahili. Hiyo shahada inaitwa Bachelor of Arts siyo art. Hakuna neno kuulumia katika Kiswahili. Neno sahihi ni Kuhurumia. Geart Thinker eh?
 
Bila shaka na wewe bado unasugua benchi na unastahili. Hiyo shahada inaitwa Bachelor of Arts siyo art. Hakuna neno kuulumia katika Kiswahili. Neno sahihi ni Kuhurumia. Geart Thinker eh?

mi nakosolewa na wanasayansi wenzangu bana,wewe ni miongoni mwa wanaosoma faculty za kike nadhani,by the way siwezi kuwa bench cuz nina options nyingi by now zinazopatikana katika construction industry huku bado soko halijawa flooded ila kinachotatiza ni kupata sasa hii profession,wepesi kama wewe ni mwendo wa kudisco tu.
 
Ud wamenikubali sb nina 2-11,japo si kubwa lakini wallahu,na kuchaguliwa kwangu ud hakuna uhusiano na mada.nawasilisha,na mkopo ninao mkubwa

we mjinga acha kuaibisha chuo chetu, chizi wewe...unafikiri UDSM ni kwa wapuuzi? Halafu kajifunze kutumia JF....hujui hata ku-replay.
 
wewe subiri kudisco tu hakuna kingine,nina dogo langu yumo humu JF jina naifadhi alipata 1.5 egm yuko ardhi university ila hana majivuno na fujo kama zako,na mkopo anapewa mzuri tu.
kweli kabisa, jamaa amezidi kujidai.
 
uliza wenzio tuko hapa ud tunapiga vitu gan na tumekuja na matokeo gan,ila hatuna mbwembwe.sasa hyo 2.11 ndio unaona nawe umepigaa..we jamaa sijui umetokea mkoa gani,mshamba hvo!

heheheheee.
 
Back
Top Bottom