For all first years in udsm;since the berlin conference africans had never be the same.discuss

Wewe BJMA nitakusapisha hiyo kozi HI:104 omba samahani mapema au njoo hapa TUKI.
 
Nimejaribu kufatilia post za huyu jamaa, nimegundua hana akili timamu. Pia ni mgeni ktk hizi ict tools. Tujaribu kumzoea.
 
Mada ya debate wala hatujaanza kusoma

kumbe chuo kuna debate. Mimi mwenzio nilishazisahau baada ya kumalza o level tu.

Upo opposer au proposer side nikutumie nondo na mireference kibao.
 
samahani, umeshawahi kuugua malaria. Majibu yako kama ya mtoto wa chekechea.

majitu kama hayo ndio yale hayajawah kushika pesa zaidi ya laki moja,siku zikizishka,linakua ka jinga,ndo hilo lijamaa sasa!!
 
Sina division3,na istoshe kama mada huna ujuzi nayo nenda kalale
 
Mzee akili ninazo,toa mada na comatusi,kama huna la kucha ngia kaaaaaa pemben
 
Wewe ndo unayo malaria mana huelewi mada,unakurupuka
 
Hili jitu hivi kweli liko chuo kikuu,maana hata halieleweki?
 
Mkuu nimetoa mada ambayo inanitatiza,kumbuka hili ni jukwaala elimu,na kosa likwapi,au unataka je
 
Mkuu nimetoa mada ambayo inanitatiza,kumbuka hili ni jukwaala elimu,na kosa likwapi,au unataka je

sis tunakushangaa,badala uongelee mada uliyoitoa,wewe umeanza kujisifu eti cjui una bumu,ushamba huo ndugu yangu!yani unapewa laki 7 ndio zinakuchanganya hvo?
 
Mkuu nimetoa mada ambayo inanitatiza,kumbuka hili ni jukwaala elimu,na kosa likwapi,au unataka je

tatizo ni kuwa hujui kutumia JF check the way you reply to your target one,I advice you to calm down you will get used to the system of ict soon enough.
 
Ud wamenikubali sb nina 2-11,japo si kubwa lakini wallahu,na kuchaguliwa kwangu ud hakuna uhusiano na mada.nawasilisha,na mkopo ninao mkubwa
 
Nipo chuo na hutanielewa mana so lazima uelewe kila kitu
 
Nimejibu bumu mana jamaa kasema sijashika hata laki moja,mada yangu inahusu elimu,au inahusu uchumi
 
Ud wamenikubali sb nina 2-11,japo si kubwa lakini wallahu,na kuchaguliwa kwangu ud hakuna uhusiano na mada.nawasilisha,na mkopo ninao mkubwa

wewe subiri kudisco tu hakuna kingine,nina dogo langu yumo humu JF jina naifadhi alipata 1.5 egm yuko ardhi university ila hana majivuno na fujo kama zako,na mkopo anapewa mzuri tu.
 
Yes jitu hili lipo chuo na ni ud ila si lazima ujue,toa hoja
 
Yes jitu hili lipo chuo na ni ud ila si lazima ujue,toa hoja

uliza wenzio tuko hapa ud tunapiga vitu gan na tumekuja na matokeo gan,ila hatuna mbwembwe.sasa hyo 2.11 ndio unaona nawe umepigaa..we jamaa sijui umetokea mkoa gani,mshamba hvo!
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom