For all first years in udsm;since the berlin conference africans had never be the same.discuss

BUMIJA

JF-Expert Member
Oct 19, 2011
5,818
11,001
Your wellcome to give your viewz,that africans we are not the same since berlin conference of 1884/1885 held by the capitalist world
 
Hawa watu wa bachelor of art with education wana matatizo sana,hizo ishu zenu zisizo na fact wala tija kwa taifa usizilete kwa great thinkers.

Kingine,walimu wa historia wamejaa mashuleni nakuulumia wewe utakosa cha kufanya na taaluma yako,ngoja umalize uone utakavyo sugua bench kitaa.
 
Kila first year angeweka assignment yke humu cjui ingekuaje, nenda library, google, utapata mambo mwana!
 
Nimeajiriwa najiendeleza,una jipya,utasugua wewe, mana huna ramani
 
Jamannnni co asainment,ni debate,hata hatujasoma somo lolote
 
Hata me ni genius na great thinker ama unathani upo peke yako
 
Acha ubushi,huna booom nini

acha uluga luga we kiumbe,hujui kama wengne hatujaaply hata hilo bumu ili watu wa dizaini yako mpate,maana tungeaply wewe na hyo div 3 yako ya mwisho ya HKL ungekosa mkopo kabisa,na kukosa kwako mkopo hata chuo ungekickia kwenye taarifa ya habari tu,kwa hyo kuwa na nidhamu na majibu yako kwa watu.
 
Huyu jamaa BUJIMA sijui BAJUMA ana kichaa nini? Hivi UD siku hizi ina matatizo gani? Kwa namna hii ya kuchukua wanafunzi bora warudishe MATRICULATION.Huwezi kumpa mtu kama huyu nafasi ya kusoma bachelor hata chuo gani hapa Tanzania ila UD wamemchukua.
 
Nimeajiriwa najiendeleza,una jipya,utasugua wewe, mana huna ramani

wewe mwehu nasomea mambo ya building cost sasa nenda kamtafute mtu ambae ana hii profession halafu yuko bench Kokote duniani labda utawakuta kaburini,huku ni numbers tu hakuna mbwembwe za kudiscuss kama nyie na course zenu za kike.
 
we HAMY-D acha matusi we ulifundishwa na wazazi wako au walimu wa kawaida unakuwa kama chichidodo anachukia kinyesi anapenda mang'onyo blali shikamoo wewe
 
we HAMY-D acha matusi we ulifundishwa na wazazi wako au walimu wa kawaida unakuwa kama chichidodo anachukia kinyesi anapenda mang'onyo blali shikamoo wewe

changia mada acha kujifanya mjumbe wa nyumba kumi,nyinyi si ndio wale mkielezwa shahada zenu hazina uzito mnaona mmetukanwa,kamlaumu akili yako kukushauri ujinga na kuwa dhaifu katika hisabati.
 
si mumsaidie mbona wengi wanaleta matatizo yao hapa kwani hio google hawaionagi?me sijui mwaya na hao classmates wako unaowauliza sijui wapo humu au wameuchuna tu?
 
  • Thanks
Reactions: hbi
Back
Top Bottom