Footballer ataka kuvunja ndoa ya Jay Dee na Gardner?

Du kupigana kisa mwanamke si fresh coz kama analiwa jua ataendelea kuliwa hata ubane vipi.pata picha unaanzisha ugomvi,unapigwa alafu demu anaondoka na mshkaji...
 
Kumbe JIDE yumo katika matumizi ya WEED?? Dar haitaacha kuishangaza wallah:dance:
 
Mimi ndio maana nimejiunga na JF,
Habari kama hizi (umbea au si umbeya) huwa nazipenda sana.
Ndugu Fareed shukran kwa kutuhabarisha, maana ulimwengu wa leo
one needs to stay connected all the time! he he he he
 
unless otherwise mie naamini watu walio katika wizi wa mapenzi ni wazito sana kufanya hivyo kama alivyofanya (kukumbatiana hadharani) sijui labda udhungu zaidi lakini kama kuna issue kama hiyo sio vizuri sana kuionyesha katika audience ......ni sehemu ya biashara wafanye biashara afu biashara ya pombe ndo iko hivyo mteja aweza lewa akawakumbatia woote bar sasa ni kwamba anataka kutembea na wooote???????? tafuta pesa wivu pembeni
 
Mimi ndio maana nimejiunga na JF,
Habari kama hizi (umbea au si umbeya) huwa nazipenda sana.
Ndugu Fareed shukran kwa kutuhabarisha, maana ulimwengu wa leo
one needs to stay connected all the time! he he he he

da, kweli wewe mmbea, hebu cheki unavyofurahi
 
Jide anakula jani? i am so disappointed!nilikuwa namuona kama ni staa mmoja composed mambo yake hayapo mitaani!

mbona kawaida sana kula jani ni sawa na kuvuta hewa tu halina utafauti hebu na wewe kula siku moja utaniambia ni starehe ka starehe zingine
 
Teh! Teh! Pacha alimwagiza redbull gadner..kwani gadner ni bar maid hapo!
 
Fareed bila shaka wewe utakuwa eitherPacha, Credo, Jide au Gardner, mostly Gardner
 
Gadner wivu unatoka wapi mbona ye pia anawakamua sana maduu tu?
 
Teh! Teh! Pacha alimwagiza redbull gadner..kwani gadner ni bar maid hapo!

Wakati mwengine huwa anahudumia bwana Msarendo. Mimi pia sometimes huwa namwambia aniletee bia, akiwa busy oda yako ataipasi kwa mhudumu wake
 
laiiti mngejua utamu wa majani yaani weee achaa tuuu keep it up JIDE majani 4 life!!
 
Acheni ushamba wenu wa kufuatiulia mambo ya watu, nyie mna kipi cha kujivunia zaidi ya umbea tu humu. Ooh anakula majani mara kashikwa kiuno......inawahusu nini. JD ni mfano mzuri wa kuigwa kwa kizazi cha leo na atabaki hivyo, jitihada zozote za kumchafua haziwezi kufanikiwa
 
umbea hapa sio sehemu yake jamani, kama una uwezo namna hii wa kufuatilia maisha ya mastaa kwa nini usifungue gazeti la udaku uweze kujitengenezea na kakipato.
 
Ngoja nimtafute hewani anithibitishie akisema sio kweli mkuu utakuwa unaichafua JF kwa kuandika mambo ya uongo.
 
Washamba tu wote, Gadner anagomba nini sasa mbona ye mwenyewe kijiti mkononi acha na mwenzie akwatuliwe. Haaaaahaaa haaaaa.
 
Back
Top Bottom