Ibange,
Mkuu wangu shukran sana kwa kutuletea kitu hii.. Mimi napenda sana kusoma vitu kama hivi pamoja na kwamba vinaudhi na kutia kinyaa lakini ndio ukweli. Binadamu lazima wende choo hata kama kinanuka utaenda tu na ndio mahala unapata faragha yako kufikiria mengi yanayokusibu.. Waswahili husema:- Utachekea chooni wakiwa na maana kuna mambo mengine hukuijia kichwani ukiwa chooni na inabidi ucheke maana ndio mahala faragha..
Mkuu wangu, nafikiri mada hii inajibu maswali mengi sana ya - Kwa nini Tanzania maskini..na tumekuwa tukikwepa ukweli huu kwa miaka 50 japokuwa tunafahamu fika kwamba - Necessity is the mother of invention, lakini kinyume sisi tunasubiri hadi Crisis ndio hutafuta Solution!..utafikiri tumesomea Crisis management na ndio hata hao IMF na WD na UN huwatumia watu weusi ktk crisis..