Follow Me If You Can!

ni ujinga kumtamani avatar ya mtu na ukaamua kumtokea ukiamini atakuwa mkali kama hiyo avatar
Ni Ujinga kukubali kufanyiwa kitchen party wakati ushakaa na huyo bwana na kakuzalisha watoto watatu na kabati lina mivyombo tele..kisa mnataka kuhalalisha uchumba sugu..
 
ni ujinga kujichokonoa kwenye masaburi halafu kunusa kidole
ni ujinga kujifanya unaongea na simu halafu ikaita
 
kabakabana
ni ujinga kujifanya unaongea na simu halafu ikaita[/QUOTE]

hahahaaaha
Ni ujinga kujiangalia kwenye kioo na kuanza kugeuza sura yako kwa kujichekesha, kujinunisha ama kujiliza eti uone kuwa unaonekanaje kwa mwonekano huo
 
Ni ujinga kucheka sasa hivi....
Ni ujinga kutukana....
Ni ujinga kuwa mjinga...
Ni ujinga kupiga mswaki asubuhi wakati uliswaki kabla ya kulala...
Ni ujinga kuiponda serikali kimoyo moyo...
Ni ujinga kumwachia mama nanii pesa ya chumvi na kiberiti...
Ni ujinga....
 
Ni ujinga kufuga paka zaidi ya mmoja wakati sauti ya paka mmoja tu,panya wote wanasepa>>Ni ujinga kufuga mbwa mvivu,akisikia mbwa wa jirani anabweka naye anajibu;same same!>>>Ni ujinga mkeo anatafuta beki tatu mshamba halafu akianza kuwa mjanja na mrembo anamtimua.
 
Ni ujinga kudhani kwamba rais wa uganda aliyemtangulia Museveni ni Musixi.
 
Ni ujinga unapoenda kununua kalamu ya wino na kusema, 'naomba bic 1, 2...', ilhali bic ni brand name ya pen kama ilivyo speedo, cello n.k.

Ni ujinga, tena sana unapoenda dukani kununua mahitaji yako mbalimbali na kumwambia muuzaji, 'naomba sukari kilo 1, maharage kilo 3, mchele kilo 4 n.k.' ilhali unatoa pesa. Utaombaje wakati unalipia hizo bidhaa?!
 
Ni ujinga kwa mimi kucheka huu ujinga chumbani mwenyewe...
 
Ni ujinga kupanda pikipiki halafu unajifanya wewe ndo unajua kunyoosha shingo kuangalia kinachokuja mbele kuliko hata yule anayeendesha hiyo pikipiki.
 
Back
Top Bottom