Follow Me If You Can!

Ni ujinga kuchagua CDM wakati na wao wana uchu wa madaraka km walivyo CCM
Ni ujinga kijana mdogo kushabikia siasa na kuumizana kwenye vurugu za siasa wakati mgombea ataeingia madarakan hatakutambua
Ni ujinga wanafunzi wa chuo kikuu kushawishiwa na CDM kufanya vurugu eti wapigania haki
niujinga kuropoka vitu usivyokuwa na uhakika navyo.
 
Back
Top Bottom