Foleni ya kutisha ubungo mpaka maili moja..!

Safety last

JF-Expert Member
Mar 24, 2011
4,227
1,389
Wakuu niko huku mail moja sisogei popote ,hamna matrafiki huko mbele wa kutusaidia, kama kuna mdau amebanwa na hii jam atujuze ili tutafute utaratibu mwingine ,toka saa 11 nipo on road !
 
Au mrudi mpaka TAMCO Kuna barabara yatokea Bagamoyo... poleni ilauliza wenyeji...

Tamko kuna barabara inapita Mabwe pande unatokea Bunju kisha fasta unakuwa Mwenge. Hautokei Bagamoyo bana..... Au ukitaka unatoka Maeneo hayo ya Tamko unapita Mpiji Magoe,unapita Mbezi Makabe kisha unatokea Mbezi Tangi bovu kisha fasta upo Mwenge. Zote ni rough road lakini zimechongwa fresh. Ukitaka kuwahi Dar uwe mbunifu!
 
nimekupata mkuu, ntapita mbezi mwisho nitokee goba then tangibovu tayari home !
 
Wakuu niko huku mail moja sisogei popote ,hamna matrafiki huko mbele wa kutusaidia, kama kuna mdau amebanwa na hii jam atujuze ili tutafute utaratibu mwingine ,toka saa 11 nipo on road !

Natamani kulia tangu saa 10 niko kibamba,nimefika kibaha saa 3 usiku,
 
Back
Top Bottom