Foleni ya kutisha buguruni-tabata

Kintiku

JF-Expert Member
Feb 3, 2011
617
319
Siku za karibuni kumekuwa na foleni ya kutisha sana kuanzia Buguruni Sheli hadi njia panda ya Tabata. Tatizo hasa ni askari traffic mmoja mweusi ana ''V'' tatu (Sajenti?) huwa anashika Radio call. Tangu aanze kuongoza magari hapo Tabata imekuwa shida sana. Haiwezekani pale TAZARA (njia nne) pasiwe na foleni halafu foleni iwe Tabata.

Tatizo lao wanavuta magari yanayotoka Tabata na Ubungo na kuyasahau yanayotoka Buguruni. Pia hakuna askari wa kutosha watu wanatanua sana na kufanya msongamano uwe mkubwa pale Matumbi na njia panda ya kigogo.

RTO upo? hebu ondoa foleni hii kama walivyofanya pale TAZARA.
 
Back
Top Bottom