Mulongo Member Apr 28, 2012 28 3 Jun 27, 2012 #1 Nipo natoka kibaha naenda mjini, folen ya kwenda kibaha ni kubwa sana inaanzia temboni mpaka kibaha
Ellie Senior Member Sep 2, 2011 123 15 Jun 27, 2012 #2 Kuna nini huko, maana naona mabasi ya mikoani yanapitia bagamoyo road.