foleni hizi da!!!

korino

JF-Expert Member
Dec 6, 2011
1,004
659
foleni kubwa kwenye daladala,jamaa kaona ni heri amtumie msg bosi wake kumtaarifu kuwa atachelewa..ile kumaliza kuandika tu kibaka kakwapua simu..jamaa kaishia kupiga kelele tu BONYEZA SEND BONYEZA SEND........!!!!!!
 
Searching...100%
Loading...0%
Network failed !

Kuna haja ya kuanzisha hati miliki ya vichekesho.
 
Back
Top Bottom