Foleni Dar: Yamekupata yapi leo katika foleni za magari?

Jana nilikuwa Holiday Inn kwenye mkutano tuliruhusiwa saa kumi na robo,kutoka pale ilikuwa saa kumi na dakika ishirini pale hotelini mpaka Palmbeach tulifika saa moja na dakika 13 mpaka nyumbani saa tatu dakika 35,huu ni wazimu haiingii akili kabisa Mameya wote wa Dar es Laam kuanza jiji na halmashauri zake wamekaa wamebweteka wamewaachia Polisi ndio wapambane na foleni aibu kubwa
 
Back
Top Bottom