FMES: Tuwakumbuke Wanamichezo Africa!

Tabora Jazz Band - old school favorite

The Tabora Jazz Band was one of Tanzanian pop's seminal bands. According to Wikipedia, they were one of the key bands that developed the Tanzanian pop sound I really love called "Muziki was dansi", which came from Congolese/Rumba and Sokous sounds. Unfortunately the quality of this cassette, which is probably from before the 70s, is not super good. Still, the standout track here is Mariam Mpenzi. Particularly the latter part of the track in the breakdown is fantastic. I'd so love to find a better recorded version of this.


Dada Hawa
, Tabora Jazz Band


<center>
hawa.jpg
</center>
Copied from the original vinyl single released in 1973 by : Saba Saba Records, P.O. Box 302, Jericho, Kenya.


Respect.


FMEs!

[ame]http://www.youtube.com/watch?v=csDsKw9ax-0[/ame]

[ame]http://www.youtube.com/watch?v=lzPpsXksYzc&feature=related[/ame]

Kuna nyingine hii Rosa ya Western Jazz nayo iliunganishwa kwenye Nairobi Nite ya Lokassa ya Mbongo

[ame]http://www.youtube.com/watch?v=8xe95HuFSpQ&feature=related[/ame]
 
<LI class=g>Amazon.com: Remmy Ongala:

Visit Amazon.com's Remmy Ongala Store to shop for Remmy Ongala albums (CD, MP3, Vinyl) and other Remmy Ongala-related products (DVD, books, apparel).
<CITE>www.amazon.com/Remmy-Ongala/e/B000AQ0ABI - </CITE>Cached - Similar
<LI class=g>




Remmy Ongala ni kati ya wanamuziki wachache au wa kwanza Tanzania ambaye unaweza kununua kazi zake online.....ina maana basi ni kati ya wanamuziki wachache ambao hadi sasa wanapata mgawo kimataifa wa mauzo ya kazi zao ....na hata familia yake itaendelea kunufaika.....

Picha juu ni remmy katika matukio mbalimbali..hadi kufikia kuugua na kuamua kuokoka na kunyoa nywele zake za rasta!!!


Hebu Sikiliza vibao hivi vitamu mkuu

[ame="http://http://www.youtube.com/watch?v=9Yh1Qlii3wg"]http://http://www.youtube.com/watch?v=9Yh1Qlii3wg[/ame]

[ame="http://http://www.youtube.com/watch?v=oXV8iCp-89U&feature=related"]http://http://www.youtube.com/watch?v=oXV8iCp-89U&feature=related[/ame]

[ame="http://http://www.youtube.com/watch?v=g-YAdAb7TME&feature=related"]http://http://www.youtube.com/watch?v=g-YAdAb7TME&feature=related[/ame]

[ame="http://http://www.youtube.com/watch?v=ko52ifUhhNo&feature=related"]http://http://www.youtube.com/watch?v=ko52ifUhhNo&feature=related[/ame]

[ame="http://http://www.youtube.com/watch?v=DtPXA6wKqIk&feature=related"]http://http://www.youtube.com/watch?v=DtPXA6wKqIk&feature=related[/ame]

[ame="http://http://www.youtube.com/watch?v=PQot3b0Py1o&feature=related"]http://http://www.youtube.com/watch?v=PQot3b0Py1o&feature=related[/ame]

Dk.Remmy na Super Matimila enzi zao walikuwa juu hasa na mtindo wao wa Talakaka,kipindi hicho ilikuwa never miss..Hivi ile album yao ya mambo kwa soksi(waliyoitoa mwaka 1990) iliishia wapi??,maana mambo yaliyoimbwa humo(Remmy na mwenzake Cosmas Chidumule) ilikuwa tabu tupu
 
Mzee Kitonzengu Makassy: Orch. Makassy.

1796898.jpg


Mzee Makassy formed the band Orchestra Makassy in Uganda and in 1975 the group left for Tanzania and took up residency at the New Africa Hotel in Dar-es-Salaam. Mose Se Fan Fan, a solo artist at the New Africa, joined the band and together they recorded a number of tracks for Radio Tanzania some of which turned up on a Retroafric compilation. They also recorded an album for Virgin records in Kenya but soon after the LP was released the band fell apart, with Mose Se Fan Fan and Remmy Ongala forming their own splinter groups.

A reissue of Makassy's material focusing on the Agwaya LP recorded for Virgin did find its way to CD a while back. Unfortunately the care taken by labels such as Blood and Fire, Numero, Soundway and others was missing and a number of song titles were incorrect and tracks that should have been on the release were omitted.

Anyway all this is beside the point. What I wanted to share with you today is the recording that will always be key to unlocking my heart to African rumba - Makassy's cassette recording that was passed on to me from Jumbo at Eathworks in London in 1983. Enjoy!





DSC09601.jpg


Munsemba Makassy: Mtoto wa Mzee Makassy kwa wale tuliokuwa hatukosi huko kwa muziki wa Mzee Makassy, mtakumbuka baada ya Assosa kujitoa bendi hii, ilishikwa na huyu dogo aliyekua anasoma Azania Secondary, akishirkiana na Malik Star, unaukumbuka ule kile kibao chao cha mwaka "Comarade Mugabe" hakikuwa na mfano mpaka leo, beti ya pili ilikuwa inaenda kama hivi:-

" Pamberi ne ZANU eeeh! pamberi ne jongwe, pamberi ne kobanzala imasimba eeewanu, pamberi ne ZaNU eeeh sentralee camitteee, pamberi ne kobanzala emasetu wee Mugabe" aaaaghhhrrr!


Respect.

FMEs!


[ame="http://http://www.youtube.com/watch?v=mOkK5NI_FXQ&feature=related"]http://http://www.youtube.com/watch?v=mOkK5NI_FXQ&feature=related[/ame]

[ame="http://http://www.youtube.com/watch?v=mOkK5NI_FXQ&feature=related"]http://http://www.youtube.com/watch?v=mOkK5NI_FXQ&feature=related[/ame]

[ame="http://http://www.youtube.com/watch?v=vX-GkRLwFxA&feature=related"]http://http://www.youtube.com/watch?v=vX-GkRLwFxA&feature=related[/ame]

-FMES hivi huyu Munsemba Makasyy ndo Francois Makasy Junior yule aliyeimba wimbo mtamu wa Baba Paroko???

-Umemtaja Malick Star hapo juu umenifanya niwakumbuke MK Beats wana Tukunyema(Mpaka chini wowowo) chini ya mzee mzima Shem Ibrahim Kalenga..Malick Star alikuwa na partner wake akiitwa Sisco Lunanga(ni marehemu kwa sasa) hawa jamaa enzi hizo ukiwakuta MK Beats inakuwa rahaaa(mambo ya mzee Kistuli)..Baadae waliondoka MK Beats wakaenda kuanzisha Lulu Band(ilikuwa ya Kanda Bongo Man hii bendi) chini ya aunt Connie Karanja,ilikuwa ikipiga pale La Prima,Victoria
 
Mwaka 1993 kuna Bendi iliibuka ghafla Congo(Zaire) na kuwashika hasa watu,hawa si wengine bali ni La Nouvelle Generation wana Zipompa waliokuwa chini yake Luciana Demingongo na Awilo Longomba(mpiga drums).Hawa jamaa walitamba na vibao vyao kama Vigilance,Pricess Julia,Frein a main,Station Radar,Matabisi na Calvaire...Hebu tuburudike na vibao hivi hapa chini,sikiliza jinsi Awilo Longomba anavyozicharaza drums

[ame="http://http://www.youtube.com/watch?v=tV8B0X5XYWo&feature=related"]http://http://www.youtube.com/watch?v=tV8B0X5XYWo&feature=related[/ame]

[ame="http://http://www.youtube.com/watch?v=__IJGLW0Y6U&feature=related"]http://http://www.youtube.com/watch?v=__IJGLW0Y6U&feature=related[/ame]

[ame="http://http://www.youtube.com/watch?v=yM-CcMG52z4&feature=related"]http://http://www.youtube.com/watch?v=yM-CcMG52z4&feature=related[/ame]
 
Pia tuwakumbuke Vctoria-Eleyson chini yake King Kester Emeneya na vibao vyao vitamu Dandy na Zenobi

[ame="http://http://www.youtube.com/watch?v=FePgbquNk64&feature=PlayList&p=0A1C2AEB92AD547F&playnext=1&playnext_from=PL&index=62"]http://http://www.youtube.com/watch?v=FePgbquNk64&feature=PlayList&p=0A1C2AEB92AD547F&playnext=1&playnext_from=PL&index=62[/ame]

[ame="http://http://www.youtube.com/watch?v=U27q4WJf0Ps&feature=related"]http://http://www.youtube.com/watch?v=U27q4WJf0Ps&feature=related[/ame]
 
Mkulu Balatanda heshima mbele sana na tupo pamoja sana mkuu, tuendelee kukata ishu hapa za muziki wetu Africa.

Respect.


FMEs!
 
Heshima kwako mkuu FMEs pamoja na wengine kwa kutukumbusha kuhusu wanamuziki wa Afrika. Ningependa kuwaongezea pia hawa ingawaje sina picha wala taarifa zao. Mariam Makeba na vibao vyake kama Malaika na Pata pata; Angelique Kidjo; Kilimanjaro Band-Wana Njenje; Bi Kidude, Hugh Masekela; na Mory Kante.

- Mkuu heshima mbele sana na ngoja tufanyie kazi hayo majina.

Respect.


FMEs!
 
miriammakeba.jpg



South African diva Miriam Makeba is well known throughout the world known as the Mama Africa and the Empress of African Song. Born in 1932 in South Afica, she first came to the public's attention as a featured vocalist with the Manhattan Brothers in 1954. She soon left to record with her all-woman group the Skylarks while touring Southern Africa with Alf Herberts' African Jazz and Variety, an 18 month tour that launched the careers of many African artists.

In 1959, Makeba's incredible voice help win her the role of the female lead in the show, King Kong, a Broadway-inspired South African musical. She then went to conquer America where she sang at President Kennedy's birthday and worked in New York with Harry Belafonte creating such classics as "The Click Song" and "Pata Pata". In 1963 she testified about apartheid before the United Nations, as a result the South African government revoked her citizship and right of return.

She stayed in the U.S. and married Stokely Carmichael, a Black Panther leader. That began her exile from her South African homeland. After harassment by U.S. authorities she fled to exile in Guinea. Makeba returned to world prominence when she performed with Paul Simon on the Graceland tour. Finally in the late 1980's she returned to her homeland as a free South African.

She died in 2008.
 



Morris Nyunyusa: An icon artiste but ignored and forgotten

2006-11-05 09:30:56
By Rayner Ngonji

<!--table for inserting images --> <!-- end table for inserting images--> The late Morris Nyunyusa was one of the few artistes who made valuable contributions to the country's development as far as cultural industry is concerned. His efforts have placed Tanzania on the global map. I doubt whether the current generation knows much about him. I recently conducted a random survey amongst the youths aged 20 to 30 but none responded positively.

Some of them asked me who this man was implying that they totally know nothing about the deceased nor did they take the trouble to know what is so special in him. But this is the man who had developed a cultural identity for Tanzania. The drum beats that you hear before every Radio Tanzania news bulletin is his art work.

Indeed, he has made valuable contribution to the nation. You might take it for granted that it is a very minor thing especially when you consider the number of artistes we have. But coming up with something of the sort and beautiful as it is, from an impaired vision person, it is not as easy as you would think. Many countries especially in Africa do not have signature tunes of that kind for their news bulletin programmes.

Mozambique for example, just pronounces the words 'to Ruvuma au Maputo' in Portuguese meaning 'from Ruvuma to Maputo,' and it is not even dramatically done, then the bulletin is slotted in. However, Mzee Morris has not been accorded the right attention and respect. Probably, because he was not a politician. Traditions observed by those in the hierarchy are that a politician however insignificant, the post he holds accolades him status in the society.

So if mzee Morris were a politician, at least a street somewhere in the vast land of ours, would have been named after him. Some politicians have been bestowed that honour without even substantial performance or to use their 'political language 'outstanding exemplary service.' To name a street after one, with no outstanding contribution, just because she is/was married to a key figure doesn't make sense and erodes the entire essence of the practice.

The significance of honouring mzee Moris does not arise from the fact that his drum beats had been adopted as national identity, but that was the work of a vision impaired man. The story becomes more interesting when you are told that the beats that you hear come not only from one drum but a number of drums ranging from one to 14 whacked at a time.

Moris who died at 82 in 1999 was an impaired vision person since his birth. He began his artiste career with nine drums raising the number gradually to 14 by the time of his death. His wife Anne was a key architect in his performance. She was the one who arranged the drums in order of their rhythms and with a slight hit he would demand that this and that drum be placed in this and that position.

When he participated in the cultural exhibition dubbed 'Expo 70' held in Tokyo, Japan in 1970 along with the late Mbaraka Mwinshehe Mwaruka, a musician, Moris pulled hundreds of visitors at the Tanzanian pavilion then performing with only ten drums. You cannot deny that his was a unique technique that required special skills.

Surely to ignore his work just like that is not only an unfair deal to say the least, but it also raises a lot of questions over the way we preserve and promote our culture. Unless we reform we have a long way to realise the changes for a defined and maintained cultural outlook.
 
Mzee Kipara: Tanzanian best actor ever!



mzee-kipara2bc.jpg


With the success of twenty to thirty something artists in Tanzania, it is easy to forget that even before Bongo Flava or YouTube and, even the Internet for that matter &#8211; Mzee Kipara was there. When we went to film Bongoland II in Dar, the casting director &#8211; Gervas Kasiga told me that he found a perfect old man to play the imam in the movie.



He then said &#8211; once you hear his voice you will know who he is. And, sure enough, once I heard him I recognized his voice immediately. Mzee Kipara is a veteran actor who worked for Radio Tanzania for many years. He was part of the talented cast that was heard weekly in thrilling radio drama productions.


As a kid growing up in Bukoba, the radio reception was never clear, and so sometimes all we could hear were pieces of an argument between two characters and the unmistakable deep voice of Mzee Kipara in most cases playing an elder, a teacher, or a grandfather.

mzee-kipara-1bc.jpg
I was looking forward to meeting Mzee Kipara, and the casting was to take place at the University of Dar. We arrived there a bit late due to "foleni" &#8211; traffic jam&#8230;and ,no, it was NOT rush hour. Mzee Kipara was already waiting, so I went straight to talk to him. It was a hot day and Mzee Kipara was sitting by a wall smoking his unfiltered cigarette.



I stretched my hand to greet him, he shook it and looked at me for a second, took a puff of his cigarette, and said "marhaba bwana"&#8230;.hello. He asked if I was one of the people having the cast call. When I said yes, He said "You are late&#8230;you will make me late for my afternoon prayers at the mosque." I apologized, and we moved into a room and started the casting process.
mzee-kipara3bc.jpg


Gervas had already briefed him about the character and so he started asking me several questions. Then he asked about the characters playing opposite him. I told him about "Juma"&#8230;


and he asked me to get Juma and started. Before Juma could start, he started quizzing him and telling him how to deliver his lines, what mood he should be in, and what facial expression he should have. Then they started acting out a scene.

mzee-kipara4bc.jpg


I told Gervas immediately, "We have the imam!" Just right then, I knew we had a star amongst us. Mzee Kipara not only brought the aura of stardom, but he was extremely helpful.


Most of the actors would listen to what he had to say and follow it, even if it was contrary to what I was saying. Most of them would tell me he has been around he knows what he is talking about. There was no argument from me.

mzee-kipara5bc.jpg
Mzee Kipara is now retired, but he is still very active in the acting community. He does some radio occasionally and some acting in various locally produced movies. He told me that he has been "there" since day one.



By this he was referring that he was part of the cast of one of the oldest film ever produced in Tanzania called "Fimbo Ya Mnyonge" in the late sixties. I could immediately detect a sense of pride as his face came alive with an authoritative glare.



In Bongoland II, Mzee Kipara performed beyond our expectations. His timing was perfect and he even added some spice to the scenes. We were extremely privileged to have him in this movie.

mzee-kipara6bc.jpg
As I was looking at the pictures from various blogs covering the final farewell of the late Mzee Kaduma (Another Tanzanian acting veteran), I was struck by how little I knew about Mzee Kaduma. I was not sure if this was because of lack of coverage of such actors by the local (Tanzanian) media or because of my being uninformed of what is going on in the Tanzanian acting community.



Either way, we need to be proud of our veteran actors and be very proactive in documenting their success and share them with the whole world.
As we completed the end of the shoot, Mzee Kipara thanked all of us and lit another cigarette.



As he walked off the set, he was immediately surrounded by onlookers, some of who started shouting his name. Politely, he stopped and greeted them.
mzee-kipara7bc.jpg


When the movie comes out, I think you will agree with us that Mzee Kipara is one of the best actors Tanzania has. We are very proud to introduce him to the rest of the world.


Mzee Kipara's real name: FUNDI SAIDI


BIRTHDATE AND PLACE: 1922, BONGONI-TABORA
 
<table id="content" cellpadding="0" cellspacing="0" width="579"><tbody><tr><td> <table id="title" align="center" cellpadding="0" cellspacing="0" width="529"><tbody><tr><td>Kwaheri RTD, asante kwa muziki

</td></tr> </tbody></table> </td></tr> <tr><td height="29" valign="top"> <table id="date" align="center" cellpadding="0" cellspacing="0" width="529"> <tbody><tr> <td>
</td> <td class="F8 P8" align="left" background="https://www.jamiiforums.com/images/M2/mC.gif" width="519">
Ibrahim Mkamba
</td> <td class="F8 P8" background="https://www.jamiiforums.com/images/M2/mC.gif" width="519">Machi 26, 2008</td> <td align="right" height="29" width="5">
rC.jpg
</td> </tr> </tbody></table> </td> </tr> <tr> <td width="579"> <table id="text" cellpadding="0" cellspacing="0" width="579"> <tbody><tr> <td>
CHOCHOTE utakachozungumza leo kuhusu muziki wa kusikiliza wa zamani wa Tanzania ukiwa mtangazaji, mwandishi, mwanamuziki, mpenzi wa muziki au mdau yeyote yule, utakuwa ukizungumzia kazi ya Radio Tanzania Dar es Salaam (RTD).

Leo tunaiaga rasmi RTD na badala yake tukizikaribisha TBC Taifa, TBC FM na TBC International ya Kiingereza.

TBC ni kifupi cha Tanzania Broadcasting Corporation ambayo kwa Kiswahili ni Shirika la Utangazaji Tanzania.

Pamoja na Redio, TBC pia ina Televisheni ya Taifa (TvT) ambayo sasa itakuwa ikiitwa TBC One, baada ya uzinduzi wa leo.

Ni wazi kuwa mwanamuziki wa zamani akihojiwa popote na kusema "tulirekodi wimbo huu mwaka fulani," akitaja miaka ya nyuma, atakuwa ameizungumzia kazi ya RTD bila hata kusema walirekodi wapi.

Hata Komandoo Hamza Kalala, Mtaalam wa "Kalbondash", aliposema kwamba nyimbo za Super Matimila za "Almasi" na nyingine zilizorekodiwa pamoja na bendi hiyo mwaka 1981 ndizo za kwanza kwa Kasaloo Kyanga na Skassy Kasambula kuingia studio kurekodi katika maisha yao, studio aliyoizungumzia ilikuwa ya RTD licha ya kutoitaja katika mahojiano hayo na Radio Free Afica (RFA) ya Mwanza.

"Kalbondash," kama alivyoeleza Kalala katika mahojiano hayo,ni upigaji solo wa mlio mzito kama wa solo la Lwambo Lwanzo Makiadi Franco.

Kalala alisema alifundishwa upigaji huo na Mosesengo Fan Fan walipokuwa pamoja Super Matimila.

Kwa ufupi, RTD ndiyo kiwanda kikubwa cha muziki wa miaka ya nyuma na ndiyo imewezesha redio nyingine zilizoanza baada yake kwenye miaka ya 1990 kuwa na nyimbo hizo zinazozitumia kwenye vipindi vyao mbalimbali, hasa vya muziki wa zamani.

Kwa sababu hiyo, wakati tukiiaga RTD na kuikaribisha TBC Taifa na "ndugu zake", wadau na wapenzi wa muziki hatuna budi kusema asante sana kwa RTD kwa kututengenezea muziki unaotupa raha sana wakati wote.

Katika kutoa shukrani hizo, ni vizuri tukumbushane kwamba ni redio hiyo iliyosafiri na wanamuziki wetu safari ndefu ndefu.

Ilikuwa na Cuban Marimba ya Salum Abdallah na ikaendelea kuwa na bendi hiyo ikiwa chini ya Juma Kilaza mpaka ilipotoweka yenyewe baada ya Kilaza kuanzisha bendi ya TK Lumpopo iliyopata huduma ya uhakika ya RTD pia.

Vile vile, ilikwenda na wanamuziki wa Moro Jazz kokote walikokwenda, mpaka Super Volcano ya Mbaraka Mwinshehe kwa upande mmoja na mpaka kwa Orchestre Lombelombe ya Mombasa na baadaye Kurugenzi ya Arusha za Lazaro Bonzo.

Ilianza na NUTA Jazz ikaikaribisha JUWATA Jazz na ikaendelea nao hadi OTTU Jazz.

Redio hiyo pia ilikwenda na Jabali Marijan Rajab tangu STC Jazz, ikapita naye Safari Trippers mpaka Dar International.

Vile vile iliwasaidia walioibuka kimuziki na kuwainua kuwa wanamuziki wakubwa mno kama TX Moshi William, Mzee wa Dodo Hussein Jumbe, Hemed Maneti na wengi wengine.

Pamoja na wanamuziki, imeziinua bendi na kuzifanya ziwe kubwa mno na kupendwa sana kama UDA Jazz, Bima, Matimila na nyinginezo.

Redio hiyo, ilifanikiwa kufanya hayo kutokana na mipango yao ifuatayo:-kwanza,walikuwa hawabagui bendi za kurekodi. Ikienda DDC Mlimani Park ilihudumiwa katika kiwango kilekile ilichohudumiwa bendi ndogo sana ya VB Sound ya Buguruni.

Pili, ilizitengeneza nyimbo vizuri kwa kuzirekodi kitaalam mno baada ya kufanya marekebisho muhimu ya mashairi kwa kusahihisha lugha na kuondoa lugha zisizofaa kimaadili yetu (hii ni mada mojawapo kati ya zinazokuja wiki za baadaye) na tatu, walizirusha nyimbo zote bila ubaguzi na ndiyo maana, kwetu wasikilizaji, Biashara Jazz, wana Kumbakisa au Dundadunda, Amboni Jazz, Mitonga Jazz, Butiama Jazz na nyingine za ukubwa huo zilikuwa sawa na Marquiz Du Zaire au Urafiki Jazz, wana Chakachua.

Bendi hizo ndogo zilipata mashabiki zilivyopata bendi kubwa! RTD hawakuwa na ubaguzi kabisa katika kurusha nyimbo, hali iliyofanya mwanamuziki mkali yoyote wa bendi ndogo ainuliwe na ukali wake licha ya udogo wa bendi yake.

Mtu ajiulize, kama siyo kazi nzuri ya RTD ya kurekodi vizuri na kama siyo kuupiga, bila kujali ukubwa wa bendi yake, wimbo "Rangi ya Chungwa" wa Nyanyembe Jazz leo ungekuwa na umaarufu ilio nao?
Katika kutokuwa na ubaguzi, redio hiyo haikubagua katika kurusha nyimbo za bendi za Watanzania tupu na za wakongo kama OSS, Marquiz Original, Orchestra Makassy, Kyauri Voice na Fukafuka.

Hali ilikuwa hivyo tangu enzi ya Super Vea ya Mwanza, Fauvette na Boma Liwanza.

Vilevile, hawakubagua kurusha nyimbo za bendi za wanachama kama Sola TV, Lola Africa na nyinginezo, za taasisi za umma kama Bimalee, JUWATA Jazz na nyingine na za majeshi kama Polisi Jazz, Usalama ya Moshi, Nyuki Zanzibar, JKT Kimbunga, JKT Kimulimuli, JKT Ruvu, Magereza Jazz, Mwenge Jazz, Mzinga Troup na Uhamiaji Jazz.

Zaidi ya hayo, hawakuitenga taarab na aina nyingine za muziki.

Kwa sanaa nyingine, RTD ilirekodi na kutunza ngoma za takriban makabila yote ya Tanzania. Pia walikuwa na kikundi cha maigizo kilichokuwa na waigizaji mahiri sana waliotengeneza michezo mingi ya kuburudisha, kuelimisha, kuhimiza maendeleo na kuiasa jamii dhidi ya imani potofu na dhidi ya ufisadi wa kila aina.

Miongoni mwa waigizaji wake mahiri walikuwa Marehemu Ibrahim Raha Jongo (Mzee Jongo), Marehemu Ally Ketto (Matuga au Pwaguzi), Marehemu Hamis Tajiri (Meneja Mikupuo) na Marehemu Mama Haambiliki.

Pamoja nao walikuwapo Rajab Hatia (Pwaguzi), Bartholomew Milulu (Mtaalam wa kuiga lafudhi za makabila mbalimbali), "Hakimu" Said Panda, Mariam Yussuf, Zena Dillip, Nusura Suleiman, Theckla Mjata na wengine.

Kimsingi, kupitia muziki, RTD, kwa kushirikiana na watunzi mahiri wa muziki, imesaidia sana katika harakati za maendeleo ya nchi yetu tangu tupate uhuru.

Imefanya hivyo kwa kurekodi nyimbo za maudhui yote kama za sherehe ya uhuru wetu na wito wa Uhuru na Kazi ambao baadaye tuliugeuza na kuwa Uhuru ni Kazi, Muungano wetu, mpango wa maendeleo wa miaka mitano, Azimio la Arusha, Mwongozo Mpya, Siasa ni Kilimo, Mtu ni Afya, Vijiji vya Ujamaa, Kujitegemea, Kilimo cha kufa na kupona, uzalendo, ukombozi wa Afrika, kulaani ubaguzi na kadhalika.

Zipo nyimbo nyingi sana za bendi zetu zilizotuhamasisha kuhusu yote hayo. Nyimbo hizo zilikuwa na mashairi yaliyokamilika na midundo ya kuvutia.

Pamoja na hizo, zilikuwapo nyimbo nzuri sana za mapenzi na za kuonya katika masuala mbalimbali ya kijamii na za kusifu.

Zote zilirekodiwa kiufundi sana kiasi kwamba baadhi yake ziliporekodiwa kwingine, hazikupendeza kama zile za RTD. Mfano ni wimbo wa "Hiba" wa Sikinde na "Marashi ya Pemba" wa Ndala Kasheba.

Kwa niaba ya wapenzi wenzangu wa muziki na sanaa, wakati leo tukiiaga RTD na kuikaribisha TBC, nawaomba TBC wafanye yafuatayo:

Kwanza, waanze utaratibu wa kuingia kwenye ushindani wa kibiashara wa kurekodi nyimbo, hasa za bendi za dansi na muziki wa taarab bila kuacha kuzingatia maadili yetu katika biashara hiyo.

Pili, wawaendeleze wahandisi wake wa Sauti (Sound Engineers) kwa kuwapa kozi za nje za utaalam wa kisasa wa kurekodi ambao zaidi ni "digital" tofauti na "analogue" waliokuwa wakitumia na kutengeneza muziki mzuri hivyo.

Jambo la tatu ninalowashauri walifanye ni kurudisha vipindi vya zamani vya muziki wa moja kwa moja kutoka ukumbi wao wa Makoroma (Makoroma Hall), "Mambo Shoo" na baadaye "Klabu Raha Leo".

Kwa msingi huo, wakati wa sikukuu za Pasaka, Idd na Krismasi, waturudishie "Pasaka shoo", "Idd shoo" na "Krismasi shoo" kukiwa na muziki wa bendi wa moja kwa moja ili tuendelee kujiona kweli tuko kwenye nchi ya amani, iliyojaa shamrashamra.

Tukiiaga RTD, naomba niseme kuwa tunachoaga ni jina na yale yote ambayo hayakuwa mazuri ndani ya RTD kwani chombo ni kile kile ila sasa kitakuwa TBC.

Natoa shukrani tena kwa RTD kwa muziki mwingi na mkubwa iliyotutengenezea huku nikiitakia TBC, kwa ujumla wake, mafanikio makubwa baada ya uzinduzi wake wa leo. Happy Birthday TBC!
</td></tr></tbody></table></td></tr></tbody></table>
 
kwa kweli mtu wangu ES nakubaliana kabisa na makala ya mmzee mkamba...

nadhani tido inabidi aambiwe kuwa uridhi pekee ambao TBC wanaweza kuwapa vizazi ..ni kwa kurekodi kazi zao zote kwenye maktaba yao na kuziweka kwenye mfumo wa kisasa wa CD na MP3....

NI vema TBC wakishaweka vema kazi zao za sanaa wakaingia makubaliano na wenye kazi na kuanza kuzi promote ili zisambazwe afrika,duniani na tanzania yote...ni bidhaa adimu inayoitajika...

amekumbusha kina kasoloo kyanga na kyanga songa...wimbo wao na remmy ulikuwa hivi...

ALMASIEE VIPI MAMBO VALU VALUU..
UMENIOA BADO KIJANA MDOGO ...
UKIPATA CHUNGU KIPYA USITUPE CHA ZAMANI ...ALIMASIEEEEEE..

ALIMASI SHETANI APITE KANDO....

mpangilio wa sauti na vyombo ulikuwa super sana....

Nyimbo za kuonya kama MASUDI wa JABALI zilikuwa safi..

MASUDI EMEKUWA JAMBAZI ..
UKIKUTANA NAYE USIKU ..MPITIE MBALI
KAMA SI HIVYO ATAKUDHURU BABA..
KAMA SI HIVYO .ATAKUDHURU MAMA..

SIKU MOJA ALIKUWA ANA LAKE...AKAAMUA KUVUNJA DUKA LA WATU..
ALIKAMATWA ...MASUDI AKAPIGWA....

au wimbo..

umevunja duka la ushirika ..bunduki imelia ..shaba yangia mwilini mwako waona ushungu..
EEEH MWANA UKUSIKIA NILILOKUAMBIA ...BALAA KUTULETE NYUMBANI EEE BABA..
WAZAZI WAKO PIA ..TULIKUKETISHA CHINI...KATIKA KUKUELEZA ..MWANA ACHA WIZI ..NA WEWE UKUSIKIA ...UKAENDELEA NA VITENDO VYA WIZI....

AU.. wimbi kama MWANAMEMA...was the best...

FODI wa DDC..uliokuwa ukijaribu kumuasa kijana fodi..dalali wa mazao kariakoo aliyepata pesa akiwa mdogo afuate maadili mema..kinyume na sasa ambako vijana wanaosifiwa ni wale wanaohusika na kazi chafu kama za kitapeli ,ujambazi,....na unga ...vijana decent hawaimbwi..kina papa msofe,jack pemba wanatukuzwa hadi na bendi za chama....zinazoemba mbele ya rais au mwenyekiti.....

Juhudi za serikali ya awamu ya kwanza kutawala na kuleta umoja zilichangiwa kwa kiasi kikubwa na ujumbe wa bendi za muziki.............
 
Ombi langu kwa mwana JF yeyote: naomba kopi ya wimbo wa Mbaraka Mwinshehe uitwao "Afrika Tuko Tayari Kufa." Nadhani wimbo huo ulipigwa angali Morogoro Jazz kati ya mwaka 1971 na 1972 muda mfupi kabla bedi hiyo haijasambaratika.

Ninataka kuuunganisha na ule wa Franklin Boukaka wa "Africa" na kuzitumia katika mhadhara nitakaotoa kwenye kongamano litakalofanyika shuleni kwetu kuhusu Afrika mwezi February mwakani.
 
Tuwakumbuke pia Wenge Musica BCBG(Bon Chic Bon Genre) kundi ambalo lilianzishwa tarehe 11 Julai mwaka 1981 na vijana(wakati huo) watanashati tisa(09) Jean-Bedel Mpiana Tshintuka(JB Mpiana-muimbaji),Ngiama Noël Makanda(Werrason-muimbaji),Adolphe Dominguez(muimbaji),Blaise Bula(muimbaji),Aime Bwanga(muimbaji),Didier Masela(mpiga gitaa la besi),Alain Makaba(Mpiga gitaa la Solo),Alain Mwana(Zing Zong-Mpiga gitaa la kati),na Maradona(mpiga ngoma-drums)

Vijana hawa waliishika sana Zaire enzi hizo na Afrika kwa ujumla kwa muziki wao mtamu kabla ya kutokea kutokuelewana na hatimaye kugawanyika mwaka 1997.Tangu kuanzishwa mwaka 1981 mpaka kugawanyika mwaka 1997 Wenge Musica BCBG walitoa Albam nane9kama zinavyoonekana hapa chini:

-Bouger-Bouger ilitokamwaka 1988
-Kin é Bougé ilitoka mwaka 1991
-Pleins Feux hii ilitoka kwa mara ya kwanza mwaka 1992 lakini walikuja kuirudia upya mwaka 1996
-Kalayi Boeing ilitoka mwaka 1993
-Les Anges Adorables 1&2 mwaka 1994
-Pile ou Face (Albam ya solo ya Alain Makaba) ilitoka mwaka 1995
-Pentagone ilitoka mwaka 1996
-Feux de l'amour (albam ya solo ya JB Mpiana ambayo inadaiwa ndo chanzo cha mgogoro mkubwa uliopelekea mgawanyiko wa Wenge) ilitoka mwaka 1997


Hiki ndicho kikosi kizima cha Wenge Musica tangu imeanzishwa mwaka 1981 mpaka ilivokuja kuanza kusambaratika rasmi mwaka 1997 kwa kuondokewa na nguzo zake/waanzilishi kama Werrason,Blaise Bula,Adolph Dominguez na Didier Masela(Aime Bwnaga yeye ndo mwanzilishi wa kwanza kujiengua mwaka 1986 na baadae kuanzisaha bendi ya Wenge Kumbela mwaka 1994).


Waimbaji:

. JB Mpiana, 1981-1997 ;
. Werrason Ngiama, 1981-1997 ;
. Blaise Bula, 1981-1997 ;
. Aimé Bwanga, 1981-1986 ;
. Adolphe Dominguez, 1981-1997 ;
. Alain Mpela, 1985-1997 ;
. Manda Chante, 1986-1993 ;
. Marie Paul, 1984-1991 ;
. Ricoco Bulambemba ;
. Aimélia Liass, 1993-1997 ;
. Ferré Gola, 1995-1997.

Wapiga magitaa:

. Didier Masela (bass) 1981-1997 ;
. Blaise Kembo (rhythm) ;
. Alain Makaba (solo, rhythm, bass) 1981-1997 ;
. Alain Mwanga "zing-zong" (solo, rhythm) 1981-1991 ;
. Djolina (rhythm) 1985-1990 ;
. Patient Kunsagila (bass) 1992-1997 ;
. Ficarré Mwamba (solo,rhythm) 1992-1997 ;
. Aridjana (rhthm)1984-1990 ;
. Burkina Faso (solo, rhythm) 1993-1997 ;
. Christian Mwepu (bass, rhythm) 1994-1997 ;
. Japonais Maladji (solo, rhythm) 1996-1997.

Wapiga ngoma:

. Maradona (drums) 1981-1989 ;
. Titina Mbwinga (drums) 1985-1997 ;
. Djo mbonda (tumba) 1992 ;
. Ali Mbonda (tumba) 1993-1997.

Waimbaji wanaoghani(marapa) :

. Ekokota Roberto 1988-1997 ;
. Full King 1986-1993 ;
. Tutu Caludji 1993


Kudhihirisha jinsi BCBG walivyokuwa bora mpaka sasa kuna makundi karibu kumi na moja(11) yameanzishwa ambayo ni zao la mgawanyiko wa Wenge Musica,makundi hayo ni haya hapa chini:

-Wenge Maison Mère(Werrason)
-Wenge BCBG(JB Mpiana)
-Wenge Reference(Manda Chante)
-Wenge Tonya Tonya(Adolphe Dominguez)
-Wenge Pondération 8(Blaise Bula)
-Wenge Kumbela(Aime Bwanga)
-Wenge El-Paris(Marie Paul)
-Les Marquis de Maison-Mere(JDT Mulopwe,Sergie Mabiala kutoka Wenge Musica Maison Mere)
-Les Marquis de Gaulois(Ferre Gola)
-Les Marquis de Samourais(Bill Clinton Kalonji kutoka Wenge Musica Maison Mere)
-Génération A(Alain Mpela)



 
Sikiliza vitu vya Wenge Musica BCBG


[ame="http://http://www.youtube.com/watch?v=zAkVIENWAyI&feature=PlayList&p=AC0C51DB4175F912&playnext=1&playnext_from=PL&index=25"]http://http://www.youtube.com/watch?v=zAkVIENWAyI&feature=PlayList&p=AC0C51DB4175F912&playnext=1&playnext_from=PL&index=25[/ame]

[ame="http://http://www.youtube.com/watch?v=hdJHYoEeDAM&feature=PlayList&p=AC0C51DB4175F912&index=15"]http://http://www.youtube.com/watch?v=hdJHYoEeDAM&feature=PlayList&p=AC0C51DB4175F912&index=15[/ame]

[ame="http://http://www.youtube.com/watch?v=fUhDO2Cfqas&feature=related"]http://http://www.youtube.com/watch?v=fUhDO2Cfqas&feature=related[/ame]

[ame="http://http://www.youtube.com/watch?v=EnGQ9YUIxfo&feature=related"]http://http://www.youtube.com/watch?v=EnGQ9YUIxfo&feature=related[/ame]

[ame="http://http://www.youtube.com/watch?v=OeXZC0uk8us&feature=related"]http://http://www.youtube.com/watch?v=OeXZC0uk8us&feature=related[/ame]

[ame="http://http://www.youtube.com/watch?v=Bxn947cE4IY&feature=related"]http://http://www.youtube.com/watch?v=Bxn947cE4IY&feature=related[/ame]

[ame="http://http://www.youtube.com/watch?v=4BVYMjP5svE&feature=related"]http://http://www.youtube.com/watch?v=4BVYMjP5svE&feature=related[/ame]

[ame="http://http://www.youtube.com/watch?v=AlJnsuEVhio&feature=related"]http://http://www.youtube.com/watch?v=AlJnsuEVhio&feature=related[/ame]

[ame="http://http://www.youtube.com/watch?v=YllhA43fw84"]http://http://www.youtube.com/watch?v=YllhA43fw84[/ame]

[ame="http://http://www.youtube.com/watch?v=l_-2RMvByGA&feature=channel"]http://http://www.youtube.com/watch?v=l_-2RMvByGA&feature=channel[/ame]

[ame="http://http://www.youtube.com/watch?v=8SgyzADkpNU&feature=channel"]http://http://www.youtube.com/watch?v=8SgyzADkpNU&feature=channel[/ame]

[ame="http://http://www.youtube.com/watch?v=fauLDRz5pp0"]http://http://www.youtube.com/watch?v=fauLDRz5pp0[/ame]

Enjoy
 
duuuuhhh mukulu umenikumbusha mbali saaana,enzi za Pink Coconut-Salender Bridge,Tazara Club,Crissburger,kwa manyanya,Nellys Night Park-migomigo.
Shukrani sana FMES kwa thread hii bab kubwa na Balantanda kwa ukumbusho huu.Keep it up guys tuleteeni za zamani huku tuliko ni lulu sana zinatukumbusha home enzi hizo hatujachukua meli.
Mukulu Balantanda,umesahau ngoma moja kali sana ya BCBG katika hio album ya Pentagone inaitwa Koko Madimba mmmmh inanikumbusha mbali sana.
 
duuuuhhh mukulu umenikumbusha mbali saaana,enzi za Pink Coconut-Salender Bridge,Tazara Club,Crissburger,kwa manyanya,Nellys Night Park-migomigo.
Shukrani sana FMES kwa thread hii bab kubwa na Balantanda kwa ukumbusho huu.Keep it up guys tuleteeni za zamani huku tuliko ni lulu sana zinatukumbusha home enzi hizo hatujachukua meli.
Mukulu Balantanda,umesahau ngoma moja kali sana ya BCBG katika hio album ya Pentagone inaitwa Koko Madimba mmmmh inanikumbusha mbali sana.

Coco Madimba hii hapa chini mkuu,burudika


[ame="http://http://www.youtube.com/watch?v=vxu0Xiki3mY"]http://http://www.youtube.com/watch?v=vxu0Xiki3mY[/ame]
 
http://http://www.youtube.com/watch?v=mOkK5NI_FXQ&feature=related

http://http://www.youtube.com/watch?v=mOkK5NI_FXQ&feature=related

http://http://www.youtube.com/watch?v=vX-GkRLwFxA&feature=related

-FMES hivi huyu Munsemba Makasyy ndo Francois Makasy Junior yule aliyeimba wimbo mtamu wa Baba Paroko???

-Umemtaja Malick Star hapo juu umenifanya niwakumbuke MK Beats wana Tukunyema(Mpaka chini wowowo) chini ya mzee mzima Shem Ibrahim Kalenga..Malick Star alikuwa na partner wake akiitwa Sisco Lunanga(ni marehemu kwa sasa) hawa jamaa enzi hizo ukiwakuta MK Beats inakuwa rahaaa(mambo ya mzee Kistuli)..Baadae waliondoka MK Beats wakaenda kuanzisha Lulu Band(ilikuwa ya Kanda Bongo Man hii bendi) chini ya aunt Connie Karanja,ilikuwa ikipiga pale La Prima,Victoria


- Mkulu Balatanda, heshima sana na tupo pamoja sana maana inaonekana tulikuwa tunazungukia anga zile zile, ni kweli huyu Dogo Munsemba na Malik Star, walikuwa moto wa kuotea mbali sana, nafikiri unaikumbuka ile ngoma ya "Mwanadamu hatosheki", halafu walikuwa na ngoma moja ambayo hawakuirekodi lakini walikuwa wanaitwanga mwanzoni kwenye dansi inaitwa "Masikini nyumba yangu" na ule mwendo wa "Sakuba Sakuba Disco Agwaya".

- Pia ninaikumbuka sana MK. Group, bendi ya Papa Msilwa na Kasyanju, chini ya Kassongo Mpinda na Shem Karenga(Mzee wa Segere Matata), hasa walipokuwa New Africa Hotel na vile vibao vyao kama "Tucheze Sote Tukunyema" "Kitendawili", "Tegemea unachokishika mkononi" halafu ule wimbo wao wa harusi ya Martin Kasyanju yaani "Nishike mukono", kwa kweli ilikuwa ni balaa halafu kwenye dansi live walikuwa na tabia ya kuugizia ule wimbo maarufu wa Madilu System RIP, na TP. OK Jazz kwa jina "Tala Ba pesi ngamelesi ba pesa nga na mbwaa", kwanza unaanza na ugali na samaki wa sato pale New Africa, baadaye ndio unaingia rumba la hawa wakulu.

Respect Mkuu, na weka vitu hapa!


FMEs!
 
duuuuhhh mukulu umenikumbusha mbali saaana,enzi za Pink Coconut-Salender Bridge,Tazara Club,Crissburger,kwa manyanya,Nellys Night Park-migomigo.
Shukrani sana FMES kwa thread hii bab kubwa na Balantanda kwa ukumbusho huu.Keep it up guys tuleteeni za zamani huku tuliko ni lulu sana zinatukumbusha home enzi hizo hatujachukua meli.
Mukulu Balantanda,umesahau ngoma moja kali sana ya BCBG katika hio album ya Pentagone inaitwa Koko Madimba mmmmh inanikumbusha mbali sana.

- Sawa sawa mkuu kilikuwa ni kibao cha Dominques, muimbaji ambaye baadaye alienda na Werason, kuanzisha Wenge Maison kama unakumbuka ile video yao ya kwanza wakiwa na manyani na nguo za kijapan, hata hivyo later on alitoka na kuanzisha bendi yake mwenyewe ambayo haina nguvu sana,

However: alipokuwa na Wenge BCBG alitunga kibao kimoja cha mwaka, kwa jina "Da Lavie" woow! that was a heat, na uklikuwa kwenye Album yao ya pili after ile ya kwanza ya "Kalayi Bwinge", ambayo ilifanya kiongozi wao Jibe Mpiana kupewa hela nyingi sana agawane na wenziwe, yeye akakimbia na kununua Porsche, kesho yake wenziwe wote wakajitoa bendi, ikabidi airudishe ile gari mara moja ili bendi isivunjike!

- Lakini hata hivyo it was a matter of time kabla bendi haijavunjika, na ilikuwa ni baada ya Jibe kurekodi Album ya "Titanice" ya mwendo wa "Ndombolo ya Solo" bila wenziwe maarufu kama Wera, Dominques, Allain Makaba, wala Blaize Bula, ndipo officially bendi ikafa na kuzuka mbili za kwanza mpya, yaani Wenge Maison Mere - Werason & Dominques, na nyingine ya Wenge BCBG - Jibe & Afande "Allain Mpella", sasa hivi Mpella ametoka kuanzisha bendi yake akishirkiana na mdogo wake, na pia Dominques naye ameanza bendi yake. Mara ya mwisho nili-katch up na Jibe kule NYC Village, kwenye ukumbi wa Irving Place, kwa kweli alikuwa anasikitisha sana ukumbi uliishia kuwa robo na yeye kwa hasira akapiga nyimbo mbili tu na kuondoka kwa aibuu!

- Jibe anahitaji kujifunza kuheshimu vipaji vya wenziwe, badala ya kunyanyasa nyanyasa wenziwe kila wakati, hata nikiwa pale ukumbini alionekana kujiona yeye ni yeye tu wengine wote sio kitu na kuwaarimsha amrisha kila wakati kama watoto wadogo, kwa yale niliyoyaona siku ile hata ningekuwa mpigaji wake ningetoka!

Respect.


FMEs!
 
JB Mpiana - Kipe Ya Y0
kipe_ya_yo_mpiana.jpg



- Jamaa zamani nilikuwa ninazimia sana na kipaji chake cha muziki, lakini siku hizi ameharibu sana hata hii Albumya 'Kipe ya yo' haikuuza sana kama ilivyotegemewa kwa sababu all the talents kwenye bendi yake zimekimbia tabia zake mbovu, amebakia na talent moja tu mpiga Drums, kwa jina Seke Minyo Manyatta na mpaka leo haja-recover kuondokewa na ile sauti ya nyoka ya Aafande Allain Mpella.

Respect.


FMEs!
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom