FMES: Happy Thanksgiving! Happy Turkey!

Apr 27, 2006
26,588
10,375
Wakuu wote JF, saalam za heri:

- za sikukuu ya Thanksgiving ambayo inafanyika kesho hasa huko USA, lakini wale wengi wetu tuliowahi kuishi huko na wengine wote tuungane kusherehekea siku hii muhimu ambayo unaweza itafsiri utakavyo, lakini cha muhimu ni siku ambayo mnakutana familia nzima na kukaa chini huku mkila, vinywaji kibao na lile lindege mezani huku pia mkitafakari maisha na dunia kwa ujumla.

- Ninaomba kuwapa pongezi wote kwa kufikisha karibu na mwisho wa mwaka, na kesho basi tujimwage na lindege huku tukikumbukana na kuombeana heri tufike mwaka mpya uliko kwenye kona.

Respect.

Field Marshall Es!
 
Hongera huko FMES,nawatakia na familia yako Happy thanksgiving day!

- Mkuu heshima mbele sana, familia iko salama sana na leo tunalikung'uta hili Batamzinga kiroho mbaya sana, salimia sana familia huko ndugu yangu, nitakutwangia week end!

Respect!

FMEs!
 
- Mkuu heshima mbele sana, familia iko salama sana na leo tunalikung'uta hili Batamzinga kiroho mbaya sana, salimia sana familia huko ndugu yangu, nitakutwangia week end!

Respect!

FMEs!
Ha ha ha ha ! asante mkuu, hebu tuma hilo libata mzinga kwa sms mzee.
ha ha ha !
Jpili naenda mbeya kwa kale kamradi kangu karibu kako tayari!Sauti ya umeme itahitajika.
 
Ha ha ha ha ! asante mkuu, hebu tuma hilo libata mzinga kwa sms mzee.
ha ha ha !
Jpili naenda mbeya kwa kale kamradi kangu karibu kako tayari!Sauti ya umeme itahitajika.

Ujaribu kukaweka na kwenye Mtandao...."Sauti ya Umeme" itakuwa ya pili baada ya Radio Maria kuwa Mtandaoni...........
 
Back
Top Bottom