FMES: Capitalising On CCM's Mistakes, Wapinzani Wapo?

1. An opposition party that should include intelectuals, trade unionists the likes of Rwegasira of TRL, the students and their leaders under the Kikwete.

2. Muwe na ideology. Kikwete aachane na CCM. Kwa njia hii akina Sita na wale wana CCM kama akina Mpendazoe na Lembeli siyo Kimaro, na wajitoe CCM wamuunge mkono JK.

3. Ukiweza kuwa mobilise hawa na jeshi la wasomi wasiokuwa na ajira unawatuma vijijini kukinadi chama.

4. Then you ask support religious leaders wasiokuwa mafisadi maana huko pia wapo. Kwa njia hii utaupata upinzani wa kweli.

5. Halafu CCM unamwachia Makamba na akina Lowasa, Rostam, Karamagi na tuone na fedha zao na utajiri wao wataishia wapi. Baada ya uchaguzi CCM will disappear kwa style ya mshumaa.

- Ni mawazo mazito na ninaamini wapinzani wapo hapa wanayafyonza au kuyapa attention.

Respect.


FMEs!
 
- Ni mawazo mazito na ninaamini wapinzani wapo hapa wanayafyonza au kuyapa attention.

Respect.

FMEs!


Nafikiri hivi ndivyo alifanya Ariel Sharon na kuanzisha KADIMA PARTY huko Izrael. Na hadi leo kiko strong.

Kama Mkulu angelikuwa na Matiki maji kati ya miguu basi huu nao ni uamuzi mzuri ili kuiokoa nchi kama kweli hao rafiki zake wanaodai hawakukutana barabarani kuanza urafiki ndiyo wanamlazimisha kufanya hayo anayoyafanya. Ila kama halazimishwi basi twatwanga maji kwenye kinu.
 
An opposition party that should include intelectuals, trade unionists the likes of Rwegasira of TRL, the students and their leaders under the Kikwete. Muwe na ideology. Kikwete aachane na CCM. Kwa njia hii akina Sita na wale wana CCM kama akina Mpendazoe na Lembeli siyo Kimaro, na wajitoe CCM wamuunge mkono JK. Ukiweza kuwa mobilise hawa na jeshi la wasomi wasiokuwa na ajira unawatuma vijijini kukinadi chama. Then you ask support religious leaders wasiokuwa mafisadi maana huko pia wapo. Kwa njia hii utaupata upinzani wa kweli. Halafu CCM unamwachia Makamba na akina Lowasa, Rostam, Karamagi na tuone na fedha zao na utajiri wao wataishia wapi. Baada ya uchaguzi CCM will disappear kwa style ya mshumaa.
But I thought Kikwete is part of the problem, no?
 
Nafikiri hivi ndivyo alifanya Ariel Sharon na kuanzisha KADIMA PARTY huko Izrael. Na hadi leo kiko strong.

Kama Mkulu angelikuwa na Matiki maji kati ya miguu basi huu nao ni uamuzi mzuri ili kuiokoa nchi kama kweli hao rafiki zake wanaodai hawakukutana barabarani kuanza urafiki ndiyo wanamlazimisha kufanya hayo anayoyafanya. Ila kama halazimishwi basi twatwanga maji kwenye kinu.


- I like this, yaani tunatwanga maji kwenye kinu!

Respect.


FMEs!
 
Mambo yanayoendelea ndani ya CCM (kama sio michezo ya kuigiza) basi hayahitaji chama kingine. CCM imekuwa kama mkusanyiko wa vyama ndani yake. Kila kundi ndani ya chama ni kama chama kingine cha siasa.

CHADEMA si chama cha kupewa nchi. Demokrasia ndani ya chama bado ndogo sana...
 
Mambo yanayoendelea ndani ya CCM (kama sio michezo ya kuigiza) basi hayahitaji chama kingine. CCM imekuwa kama mkusanyiko wa vyama ndani yake. Kila kundi ndani ya chama ni kama chama kingine cha siasa.

CHADEMA si chama cha kupewa nchi. Demokrasia ndani ya chama bado ndogo sana..
.


- Heshima yako mkuu, vipi ukiweka maelezo kidogo maana maneno yako ni mazito sana vipi hapo mkuu?

Respect.


FMEs!
 
- Heshima yako mkuu, vipi ukiweka maelezo kidogo maana maneno yako ni mazito sana vipi hapo mkuu?

Respect.

FMEs!
Heshima mukulu,
In nutshell, jamaa alikuwa anamaanisha CHADEMA imejaa ukabila na ukoo kivile si chama cha wananchi kwa uhalisia wakulima/wafanyakazi, ni chama cha kikundi fulani cha watu wanaojiona wao ndo Chadema and vice versa.
 
Wakuu wote JF, wasalaaam waleiykum!

- Katika siku za karibuni wananchi wa Tanzania tumejionea jinsi watawala wetu either wasivyo na maadili na uongozi tuliowapatia kama dhamana tu, wasivyo na adabu na sisi tuliowachagua, wasivyo na heshima kwa katiba na sheria za jamhuri yetu, wasivyo na utu, wengine walevi, waropokaji hovyo hovyo, incompetent, wasiowawajibikaji na ubaradhuli mwingi sana unaoonyesha kutotujali kabisa wananchi wa taifa hili.

- Ningependa sana kuwasikia wapinzani au kwa wale mlio karibu nao, kwamba wanafanya nini kuka-capitalize on yote haya ya uozo wa CCM? Na je tukiwapa uongozi hivi ni kweli watafanya tofauti na hawa waliopo kwenye uongozi wa sasa yaani CCM?

- I was just, thinking aloud!

Respect.



Field Marshall Es!


Mkuu it is very frustrating. Hopes zote kwa sasa ziko CHADEMA, hawa ndio wanaonekana at least wanaweza kuleta genuine opposition lakini so far bado hawaonekani kuwa na msukomo wa kutaka kuwa really opposition, na bado hawajaonekana kuwa wanataka kutuletea real alternative. Miezi hii michache iliyopita nao wameanza kuwa kama CCM, inaonekana hawana msemaji maalum, kila mmoja anakuwa kama msemaji wa Chama na anasema bila kupima athari ya anayosema, japokuwa hali hiyo wanaonekana kuifanyia kazi.

It is very obvious kuwa CCM wame mess big time, as a party hawastahili kurudi. Despite the efforts zinazofanywa na wapiganaji kusafisha chama, still the party is stinking and kimaadili hawatakiwa kurudi.

At this point nilitegemea kuwa CHADEMA watakuwa on offensive, lakini hali haioneshi hivyo ninachokiona ni kuwa wako in defence and they are defending themselves against something they do not have to. They have fallen right into mafisadis trap. Naona kuna watu ndani ya CHADEMA wamenunuliwa tena kwa bei rahisi (kwa ahadi za pipi kama ilivyokuwa kwa Chief Magungo) na wengine tunasikiatayari wamejivua wengine wanakaribia kujivua uanachama, a nonsense which was not supposed to be there at this vital moment for any serious particular party.

Monopoly ya CCM kwenye siasa za Tanzania, ni laana ambayo tumejitakia, tunafahamu kuwa Monopoly ni kitu kibaya lakini hakuna lolote tulilofanya kuhakikisha kuwa hakuna monopoly ya CCM for the good of Tanzania. Ndio maana unaona hata baadhi ya viongozi wanaonesha wazi kabisa kutokuwa na maadili ya uongozi, wanaropokaropoka kama watoto, au wamejiingiza kwenye siasa za mipasho, wengine hata bila aibu wanampitisha JK kuwa mgombea wa CCM 2010 as if hawajui kama kuna utaratibu maalum wa kufanya hivyo, na sio through media. It will be a blessing for Tanzania, kama CCM itapasuka kuwe na kundi la pumba na mchele na kama haitapasuka basi CHADEMA inatakiwa kujiput together na kupull up socks na ku absorb real wapiganaji na kuhakikisha kuwa come 2010 wanarudi Dodoma kuendeleza mapambano in a better way.

CUF Visiwani, big up. CUF Bara bado hakuna kitu. Lakini CHDEMA mnatakiwa kujua kuwa mnatakiwa kumkomboa mtanzania, kazi yenu kwa mwaka mmoja uliopita imeonekana nzuri, inatakiwa iendelee kwa nyie kuwa madarakani au kuwa stronger opposition, inawezekana.
 
Demokrasia ndani ya Chama haina maana sana kama demokrasia yenyewe inakuwa abused. Unaona jinsi demokrais iliyokiuza CCM kwa mafisadi. Demokrasia ni nzuri kama inaweza kutumiwa vizuri ni mbaya kama inaharibu Chama, sometimes (not always) dictatorship of the majority is better than democracy.

I refuse the idea kuwa Chadema ni chama cha ukoo, hata hivyo vyama vinaweza kuanza kama vya ukoo lakini kama vina proper vison na discpline vinaweza kwenda mbali. Kama Chadema wakiingia madarakani leo siamini kuwa wanaukoo mkubwa sana wa hata kuunda nusu ya cabinet, kuwachafua chadema kwa hili ni mtazamo finyu.
 
Heshima mukulu,
In nutshell, jamaa alikuwa anamaanisha CHADEMA imejaa ukabila na ukoo kivile si chama cha wananchi kwa uhalisia wakulima/wafanyakazi, ni chama cha kikundi fulani cha watu wanaojiona wao ndo Chadema and vice versa.

- Mkuu kama hujali unaweza kuwasema tu ni kina nani hao?

Respect.


FMEs!
 
Back
Top Bottom