FM vs SW, LW, MW

JAYJAY

JF-Expert Member
Oct 31, 2008
7,502
7,530
siku hizi karibia kila kituo cha redio ni cha masafa ya FM,
1. kuna faida gani kutumia fm.
2. kwa nini pia mfano LW(ipo kwenye redio nyingi za zamani) sijawahi kusikia hata kituo kimoja kikitumia hiyo.
3. mamlaka zinawezaje kusimamia kituo kimoja kutotumia masafa yanayotumiwa na kituo kingine kwenye nchi nyingine, hasa kwa yale masafa yanayofika mbali zaidi mfano SW.
 
Back
Top Bottom