Flyover Ubungo,uwanja wa kisasa ndege Kigoma

Mkurabitambo

JF-Expert Member
Feb 3, 2010
230
57
habari wanajamvi. hivi zile habari za kutujengea barabara tano,tano juu na chini zimeishia wapi, wale wa Kigoma vipi ule uwanja waliouhaidi magamba ushaanza kufyekwa?Wakazi wa Dar es salaam(hasa magamba) nadhani suala la kuuliza kwenye ile mikutano ya CDM square ni kuhusu flyover za ubungo au ndo vile tena tusubiri mwakani?politician are so fun....
 
Subiri mwaka 2014, si unajua uchaguzi utakuwa umekaribia, jamaa ndipo waatasituka na kuanza kutekeleza ilani yao ili kuwapata wajinga wa kuwapigia kura.
The unseen is illustrated by the seen.
 
habari wanajamvi. hivi zile habari za kutujengea barabara tano,tano juu na chini zimeishia wapi, wale wa Kigoma vipi ule uwanja waliouhaidi magamba ushaanza kufyekwa?Wakazi wa Dar es salaam(hasa magamba) nadhani suala la kuuliza kwenye ile mikutano ya CDM square ni kuhusu flyover za ubungo au ndo vile tena tusubiri mwakani?politician are so fun....
Hizi ahadi za JK 2010 ndizo zimeiua CCM na ndizo zitaizika 2015 maana hazitekelezeki hata 25%
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom