Fly with rwandair to kgl -350 usd only return tkt

BASIASI

JF-Expert Member
Sep 20, 2010
9,735
5,003
Vigezo na masharti kuzingatiwa wahi kabla ya tar 01 jul ,return kwa usd 350 tu
no one way
for more cont


0717 29 49 48

02221222402

jamani nimekuwa mteja mzuri wa hii ndege kwenda kigali nikaona hii special fare yao wenzangu wakina mrakoze tusiiache ni ya mwezi mmoja na unaweza nunua june ukatumia july

mrakoze
 
Ningependa kwenda Kigali nikaone maajabu aliyofanya kagame huko; hivi ninahitaji visa?
 
jamani nimeshtuka naambiwa ni pamoja na tax inclusive wakati kenyaairways doller 589 si mchezo
mkuu kwenda kgl atuitaj visa ninavyojua ukikaa ndan ya siku 90ukizidisha inabdi uone washkaji wakupe permit
big up kagame jamani si aruhusiwe kuleta ndege za mwanza kigoma tufaidi
 
Back
Top Bottom