meddie
JF-Expert Member
- Oct 21, 2010
- 434
- 125
KAMATI ya Kuchunguza Kashfa ya Kutopigwa Nyimbo za Taifa katika mchezo kati ya Taifa Stars na Morroco uliofanyika Uwanja wa Taifa, Oktoba 9, mwaka jana ilitoa ripoti yake huku ikimtwisha lawama kwa kiasi kikubwa aliyekuwa Ofisa Habari wa Shirikisho la Soka Tanzania (TFF), Florian Kaijage. Natarajia kamati hiyohiyo italifanyia kazi swala la umeme kukatika uwanja wa Taifa na kumunyonga mtu kama walivyofanya kwa Kaijage, kama kweli TZ kunahaki, uadilifu, usawa na amani ya kweli!