Flora Msoffe amejifungua

Hongereni sana wapendwa, yale mambo ya kifamilia i hope yaliisha, mshereheke kwa amani
 
Ni jambo la kumshukuru Mwenyez Mungu kwani dada yangu na mwana jf mwenzetu FLORA MSOFFE amejifungua mtoto wa kike leo sa 7 mchana katika hosp. Ya KCMC, tusherekee kwa pamoja.

Dah hongera zake...
Maana alituaga humu ndani,tukamtakia safari njema...
 
Back
Top Bottom