Flora Msoffe amejifungua

Itabidi ukuje ofisini bila rejao ili tuijadili hiyo. Ofisi yangu haina A/c ukuje na nguo nyepesi nyepesi transparent kuepuka joto

Toobaaaaa!aiseee loya hii itakua ngumu aiseee!ww sema tu km unataka hela just name a price mme wangu atakupa kuliko mie kuja bila yeye alafu na pamba za ivo lol!
 
teh teh teh! Nasikia bunduki yako ya mchina hata risasi haina!!!

Kumbe unasikia ! Kumbe haijawa issue ! Ingekua umeona ndy ingekua issue! Na mie data za kusikia sizifanyiagi kazi, itakua nadhani umezisikia kwenye gazeti la Kiu au Ijumaa wik'enda.
 
Tangu enzi za migombani hujaridhika tu?? Basi aje amevaa chandarua kabisa!

Toobaaaaa!aiseee loya hii itakua ngumu aiseee!ww sema tu km unataka hela just name a price mme wangu atakupa kuliko mie kuja bila yeye alafu na pamba za ivo lol!

mhh kweli dawa tamu leo umeamua

Dah! acheni nilog out warembo. Nina press conference la kuzungumzia "faida za kwenda chumvini kabla breakfast", nitarushwa laivu na KBC TV Kenya.

Msalimieni Husninyo akikuja.
 
Dah! acheni nilog out warembo. Nina press conference la kuzungumzia "faida za kwenda chumvini kabla breakfast", nitarushwa laivu na KBC TV Kenya.

Msalimieni Husninyo akikuja.

khaaa!cha asubuhi hiko mwenyewe nakipenda kweli,mpe hye deskmate
 
Dah! acheni nilog out warembo. Nina press conference la kuzungumzia "faida za kwenda chumvini kabla breakfast", nitarushwa laivu na KBC TV Kenya.

Msalimieni Husninyo akikuja.

Khaaaaa!ngoja nimuulize darling wangu maana yeye wakati wote iwe cha asubuhi,cha mchana au cha ucku nilzm aende huko lol!naenjoy je!
 
Back
Top Bottom