Flirting. . .

Tobaaa.. Kongosho mi simo..ngoja nimpigie Hommie wangu Asprin sasa hivi...huwezi kumdhalilisha kiasi hiki umejiamini nini? khaaa

Hommie Kaizer samahani nlishindwa kupokea simu yako kwakuwa nlikuwa maeneo hatarishi. Hata hivyo nimeshajua ulichotaka kunambia. Ila naomba ushauri, huyu Kongosho nimkabidhi adhabu gani kati ya zile?
 
Last edited by a moderator:
Naomba adhabu ya kulima kwa jembe la kukokotwa na ng'ombe.

Sio kama ile uliompa Erotica ukamvunja shingo na wewe kutoboka utosi.

Hommie Kaizer samahani nlishindwa kupokea simu yako kwakuwa nlikuwa maeneo hatarishi. Hata hivyo nimeshajua ulichotaka kunambia. Ila naomba ushauri, huyu Kongosho nimkabidhi adhabu gani kati ya zile?
 
Last edited by a moderator:
Ahlaan wasahlaan my dada.....................you mean hata soda ina jinsi ya kufungua sio......ukipaparika umeivunja......na watu watakuona how come!!!!!!!!! Au kama champaigne......harusini ukapiga splash kama ya formula one na kuwachafua watu watu suti zao.................iiiiiiiishhhhhhhhh

You remain to be superb
OLESAIDIMU, nimecheka sana hayo ya champagne. hahaha. Ngoja na mimi nikapate class kwanza, nikija kupata kuanza flirts za hapa na pale nisichemke. lol
 
Last edited by a moderator:
afu wala hujanialika nije hapo, ina maana Erotica kachukua kila kitu?

Hivi unaweza kunipa sababu kuu tatu kwanini hujibu PM zangu? Au ndo unahisi nafanya mambo ya flirting via keyboard kwa hisani ya fake names?
 
Wee ndo haujibu tangu wajukuu wapya waje wengi, sijui umekuwa adimu na nini?

Hivi unaweza kunipa sababu kuu tatu kwanini hujibu PM zangu? Au ndo unahisi nafanya mambo ya flirting via keyboard kwa hisani ya fake names?
 
Muda huu niko kwa yule mama ntilie,nitarudi maana ndo amenitengea ugali wa dona na samaki mkubwa,ila sijamuona yule dada poa na story zake,ngoja nimalizie ugali kwanza!. . . . . Nitarudi bandugu!
 
Kitu kikifanywa kwa utani sio guarantee kwamba hakimaanishwi. Kama huwezi kutaniana na mwenzi wako basi kazi unayo.
Kama ni utani (joking,teasing) hiyo twafanya sana. Nadhani hapa issue ni wakati gani utaita joking au teasing na wakati gani inakuwa flirting. Lugha za watu hizi zinanipa shida kidogo!...ni kama vile mtu akisema anazini na mkewe au mumewe badala ya kusema anafanya tendo la ndoa kwa sababu either way kitendo ni kilekile.

Nway tuachane na hili, ngoja niendelee kusoma watu wanavyo flirt humu ndani!
 
Back
Top Bottom