Flirting. . .

Kaizer, huu utani wa tindikali.

Sasa basi tukiendelea na hii sredi,m hivi NN na Husninyo huwa wakifanyaje....? LOL, I guess NN atakuwa anammiss sana Husn, isije ikawa flirting imesababisha ajitoe humu JF? Tunaweza kuanzia hapo
 
Last edited by a moderator:
Ndiyo maana nikasema kwa mtaji wa kama alivyoelezea RR basi wengi wetu humu tuna-cheat.

Kuhusu Mwajuma, naona kaamua tu kupumzika na nina hisia atarudi tu, kama hajarudi tayari. Manake huwezi jua humu...usikute Erotica ndiyo yeye...au usikute Erotica ndiyo RussianRoulette...(huu ni mfano tu)

NN sijasema kua kila ane flirt maana yake kacheat. Ikiwa wewe na mpenzi wako mmekubaliana hakuna flirting, then anakuta you have been flirting with JF members, then yes you are cheating. But if she has just a mild irritation when she sees you flirting and you have been doing that to tease her mood basi sidhani kama ni cheating.

Halafu huo mfano wako... please...:mmph:
 
Hivi kwa mfano ukimwita mkeo honey au sweethert lakini kwa utani (kwamba humaanishi kwa kumwita hivyo) maana yake nini? Naona kama inakuwa weird hivi! Lakini kwa mfano nikikwambia hapa jamvini kuwa "Jamani Lizzy nimekudondokea mbaya" nitakuwa naflirt na kwangu mimi hii inamake sense kuliko nikimwambia mke wangu maneno hayohayo maana itakuwa sio kuflirt tena bali namwambia ukweli tu.

Na kwa kweli kama kungekuwa na raha kuflirt na wapenzi wetu zaidi kuliko watu baki...I can bet my last coin, hili jukwaa la MMU lingepoteza mvuto kwa asilimia 50 au zaidi!

Kitu kikifanywa kwa utani sio guarantee kwamba hakimaanishwi. Kama huwezi kutaniana na mwenzi wako basi kazi unayo.
 
Hivi Bishanga, hapa ninaflirt na wewe?

Hivi leo umekula akili zako, ila unanichekesha.

Mkuu kwa vigezo vipya tulivyopangiwa na wakuu kupitia thread hii hapo tayari ume cheat na smile n dugu yangu.
 
Last edited by a moderator:
NN sijasema kua kila ane flirt maana yake kacheat. Ikiwa wewe na mpenzi wako mmekubaliana hakuna flirting, then anakuta you have been flirting with JF members, then yes you are cheating. But if she has just a mild irritation when she sees you flirting and you have been doing that to tease her mood basi sidhani kama ni cheating.

Halafu huo mfano wako... please...:mmph:

:bump::car::car::car::car::A S-omg:
 
There must be something wrong with my eyes, I can't take them off you.

'simple flirt quotations ',nijuavyo wanawake ndo mabingwa wa mitego hii ya kihasara hasara
Quotation zenyewe za kishamba hivyo?
 
Nashindwa pa kuanzia kwa kweli…. Nyani Ngabu sio mara yako ya kwanza kuuliza hii kitu…

RussianRoulette sorry for the delay kwa kweli yameumana, Napost hii kitu then will be back later kama naweza.

I wish Sweetie Kaizer angekuwepo hapa anisaidie pia…..lol

The game of flirtin sio ya kuiga…. Ina watu wake wanaojua the rules of the game. The positive and negative side of it. Naamini everybody is a flirt in some point thou intensity imepishana. Ningependa nisema mengi sana…. Na I have loads on the Subject. One thing I can say ni kua AshaDii na Kaizer flirt Yes, we are adults we know what we are doing. Ila kuna msemo wa Kiswahili wanasema iga ufe! Wanaume hua wanachukulia advantage ya flirting vibaya mno na kwa kweli a mdada yoyote inabidi awe makini katika hilo else anaweza umia physically or hata emotionally. But I have been lucky….. Of a very few true gentlemen I have known in my life…. Kaizer is one of them.

are we cheatting? only him and I know that, sidhani kama kuna haja ya kujibu hapa for kila mtu anajua ni suala la makubaliano kati ya wahusika na twajua fika whatever the answer lazima itakua rejected depending on one's observertion.

Ahlaan wasahlaan my dada.....................you mean hata soda ina jinsi ya kufungua sio......ukipaparika umeivunja......na watu watakuona how come!!!!!!!!! Au kama champaigne......harusini ukapiga splash kama ya formula one na kuwachafua watu watu suti zao.................iiiiiiiishhhhhhhhh

You remain to be superb
 
eti wewe huwezi kuflirt sababu una ni nyoka wa maonesho anakula unga tu.

Watu wabaya sana walosema haya.

Tobaaa.. Kongosho mi simo..ngoja nimpigie Hommie wangu Asprin sasa hivi...huwezi kumdhalilisha kiasi hiki umejiamini nini? khaaa
 
Last edited by a moderator:
nitaliki Kongosho ya moyo, ntaishije?

Ha ha ha ha, nimejibu tu wifi, (unataka nijifunge hadharani)

Kongosho. . . .Nimeuliza tu wifi maana nawe humo, au baba mwenye nyumba ana talaka ya muda?
 
Last edited by a moderator:
nitaliki Kongosho ya moyo, ntaishije?

Ha ha ha ha, nimejibu tu wifi, (unataka nijifunge hadharani)

Na mimi nimeuliza tu wifi, usikute mwenyewe hupendi kutendewa ila unapenda kutenda.
 
Back
Top Bottom