Flirting. . .

Dr Lizzy

Platinum Member
May 25, 2009
30,770
59,113
Nadhani kila mtu anajua namna "flirting" inavyoweza kurahisisha siku au hata maisha kwa ujumla. I'ts fun, relaxing, can turn a bad day into a good one and so so.

Swali. . .utajisikiaje kumuona mpenzi/mume/mke wako akiflirt na wanawake/wanaume wengine?! Na kwa hapa JF ambapo watu wanaflirt saaaaana tena waziwazi (I suppose ndo sababu watu wengine wanaogopa wenzi wao kufahamu ID zao humu) ukiwa unaifahamu ID ya mwenzio na ukawa unaona anavyoflirt (wanavyoitana majina matam tam ambayo wewe hajawahi kukuita) na wadada/wakaka wa humu utajisikiaje?!Vibaya/vizuri/hutojali?!

Binafsi nisingependa/furahia wala mimi nisingefanya. Ningependa tuflirt sisi kwa sisi bila kushirikisha watu wengine.
 
duh . . . .

Kanisaliti tu

kama mwenza wako hawezo ina communication za huyo mtu unayeflirt naye au kama unafanya kwa siri ni usaliti tu.

Katika mahusiano pakianza usiri ndio mwanzo wa usaliti.
 
nataka niweke waume za watu kwenye ignore listi yangu...
sipendi dhambi mimi....
 
If you have a partner, don't flirt with other people. If you do it secretly, then you are cheating (or on your way to). If you do it in front of him, then you have no respect for your relation.

To me, being in a relation means (among other things) that you promise to overcome all the temptations that will come along the way and focus on him. You can't manage the way the tempations come, but you can manage the way you respond to them.

Sasa ukishaanza ku-flirt inaonekana you are not even trying to overcome your interest for another person, you are actually entertaining that interest, knowing that it could become a temptation later. This is bad!
 
kuna mwanaume niliflit nae huku jf nimemnyima tunda....
anadai kumbe nilikuwa simpendi nilikuwa namchezea nampotezea
kwani kuflirt na mtu ni kumpenda? au sielewi jamani
 
If you have a partner, don't flirt with other people. If you do it secretly, then you are cheating (or on your way to). If you do it in front of him, then you have no respect for your relation.

To me, being in a relation means (among other things) that you promise to overcome all the temptations that will come along the way and focus on him. You can't manage the way the tempations come, but you can manage the way you respond to them.

Sasa ukishaanza ku-flirt inaonekana you are not even trying to overcome your interest for another person, you are actually entertaining that interest, knowing that it could become a temptation later. This is bad!

Hilo ndilo neno hasa, how unarespond ndicho kitakacholeta shida! BTW, nimeona uko careful unavyorespond flirts/utani za watu to u; is Mzee in here too?
 
Lazima mapigo ya moyo yaongezeke cause at first huwezi jua intention yake,unaweza fikiri they go beyond flirting..

Nakubaliana na wewe, na ukizingatia kunaPM zaweza fuatia baadaye!
 
nataka niweke waume za watu kwenye ignore listi yangu...
sipendi dhambi mimi....

Na wewe siku ukipata wako unawaomba wakuweke kwenye ignore list? Unachotakiwa ni kutoendekeza.
Lazima mapigo ya moyo yaongezeke cause at first huwezi jua intention yake,unaweza fikiri they go beyond flirting..
Yeahhh kabisa. . .
Na wengine wanavyoitanaga PM. . .hata kama hawaendi huwezi jua.
 
Na wewe siku ukipata wako unawaomba wakuweke kwenye ignore list? Unachotakiwa ni kutoendekeza.

Yeahhh kabisa. . .
Na wengine wanavyoitanaga PM. . .hata kama hawaendi huwezi jua.
lizzy acha kunichekesha bwana
 
Kongosho na RussianRoulette basi wengi wanasaliti wenzi wao humu. Mpaka huruma. . .siku wakijua sijui watajisikiaje, au wangekua wanafanyiwa wao waziwazi sijui wangechukulia vipi.

Lizzy, that is my opinion. If my man does it, then ananisaliti. But kuna mtu anachukulia poa tu, haoni kama ni kosa kiivo. Kwa huyo hakuna shida. So it is not an absolute truth. It is valid only between two people who have the same understanding.
 
Kujua kuwa kufanya hiki ni kosa hiyo ni point A
na kutofanya kosa hilo ni pont B

Furu cheating kwa kwenda mbele.

Sababu ambacho unaongea na mtu mwingine, ukishindwa kumwonyesha mwenzi wako kwa hofu kuwa ataona wivu au italeta mtafaruku ni usaliti 100%

Kongosho na RussianRoulette basi wengi wanasaliti wenzi wao humu. Mpaka huruma. . .siku wakijua sijui watajisikiaje, au wangekua wanafanyiwa wao waziwazi sijui wangechukulia vipi.
 
Flirting is one among the art approaching, it gets more interesting especially when it's done between two strangers.
Hivyo mtu inabidi uflirt pale unapokua na malengo ya kuanzisha mahusiano, vinginevyo ni kuchezeana hisia na kuvunjana mioyo.
 
If you have a partner, don't flirt with other people. If you do it secretly, then you are cheating (or on your way to). If you do it in front of him, then you have no respect for your relation.

To me, being in a relation means (among other things) that you promise to overcome all the temptations that will come along the way and focus on him. You can't manage the way the tempations come, but you can manage the way you respond to them.

Sasa ukishaanza ku-flirt inaonekana you are not even trying to overcome your interest for another person, you are actually entertaining that interest, knowing that it could become a temptation later. This is bad!

Kwa mtaji huo (na ukiingiza katika mlinganyo multiple IDs) basi ni wachache sana ambao hawa-cheat humu. Manake kila siku kuna IDs mpya na kila siku watu (tena wengine wanasema wana wake na waume) wanaitana wapenzi humu. Go figure....
 
Hivi kuna raha gani kuflirt na mtu wako? I dont see it making any sense...unlesss tuipe jina jingine? Mzuka ni ukiflirt na mtu tofauti! Ni maoni yangu tu..."dont do it at home"!

Why not?
Kule ni kutaniana, unashindwa nini kutaniana na mtu wako?
 
Back
Top Bottom