Flaviana Matata amjia juu anayedai kumfikisha alipo

Wabongo tuna tatizo kubwa LA appreciation, tukishafanikiwa huwa atujiulizi kwa sababu gani tumepata hayo mafanikio. Badala yake tunaona tunastahili kupata hayo mafanikio, ni kipaji, ni ujanja. Hivi ni wangapi warembo na wenye mvuto wako mitaani?
 
Duhh kama mamnge amehusika kwny huu ugomvi kaeni pembeni dada anachamba balaa
 
Wabongo ndio walivyo, hata wakikutuma ukawawashie sigara ukikua utasikia wanadai wamekulea.
 
...lakini baadhi ya masuper stars wabongo huwa wana kasumba ya kukataa ukweli,kama mtu ni kweli amekusaidia hata kama ni kwa kiasi kidogo kwanini umkatae,inawezekana ni juhudi zake ndizo zilizomfikisha hapo lakini huwa tunasahau ku-appreciate hata support ndogondogo tunazopata toka kwa watu wengine.,inawezekana ndiye aliyemsaidia kusettle huko bondeni hata kama kipaji alikuwa nacho tayari lakini huo nao ni msaada lazima uheshimiwe.
Kaka yangu ni Electrical Engineer from UD amezaliwa 1987 aligraduate since 2011 labda sijui system ya wapi unaongelea
 
Flavi, kwani mtu akisema kachangia kukufikisha hapo unapungukiwa nini? Kama mashabiki unao,mikataba unayo! shida iko wapi? Mi naona unasahau ulipotoka kwani mwl wako wa msingi akisema kakufikisha hapo ulipo utakataa? Hakuna mtu anayeweza kupiga hatua ktk maisha bila jamii inayomzunguka kuhusika.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom