Flat stomach

...waweza dhani ni manyama uzembe kumbe tumboni kumejaa fibroids, myoma na taka taka nyingine, ushauri zaidi wa kitaalamu unahitajika pia.
 
i also want a flat stomach kwi kwi kwi...

...really? nadhani wewe 6-packs zinakufaa zaidi, well toned. 150*Sit ups, crunches na aerobics mara tatu kwa wiki :)
 
Na huu ni ushauri mwingine. Kama ni mnene mno na unajisikia taabu kufanya mazoezi, tafuta mashine inaitwa 'Home Jogger'.
Hii mashine unalala kwenye mkeka/kapeti,unaegemeza miguu yako kwenye home jogger, inatumia umeme, hivyo inatetemesha mwili wako wote kwa muda wa dakika 30 unakuwa kama umefanya jogging.
Sambamba na hiyo home jogger, unauziwa na 'Slimming Belt' inayotumia umeme, huu ni mkanda wa kufunga kiunoni na kulibana tumbo. Unatakiwa kunywa glass 4 za maji za robo lita. Tumbo litajaa maji. Ukiwasha sliming belt, inayachemsha hayo maji tumboni kwako, maji hayo yanayeyusha mafuta tumboni, utapata choo laini na mafuta yatapungua baada ya wiki 2 za matumizi ya mkanda huo. Yatakwisha kabisa, Flat Stomach baada ya wiki 6
Utanijulisha uko wapi ili nikuelekeze mahali pa kupata mashine hiyo na mkanda wake.
NB. Sambamba na matumizi ya mashine, wanataka ule matunda na mboga mboga na glass 12 za robo lita za maji kwa siku.
 
Hizo machine zote feki! Wanazimarket kwa sababu wanajua watu wanataka mafanikio bila kufanya effort.
Ili kuchoma calories lazima utumie effort, mashine nzuri ya nyumbani ni ile ya baiskeli au eliprical trainer kwa sababu haiumizi joints.
 
Inawezekana kweli zikawa ni mashine feki in a sense kwamba genuine ni very expensive ila sikubaliani kwamba ili kuchoma calories lazima utumie efforts. Sauna inachoma calories with no efforts. Hizo mashine na mkanda wake zinachoma calories kwa infrared kama sauna.
Hakuna ubishi physical efforts ni best kwenye natural burning of calories.
 
BMI ama kirefu Body Mass Index ni kipimo kimojawapo cha kuonyesha kiasi cha mafuta mwilini mwako. Inapatikanaje hiyo BMI?
Pima urefu na uweke katika kipimo cha mita (m) - mfano 1.5m
Pima uzito na uweke katika kipimo cha Kilogramu (Kg) - mfano 60Kg
Fanya hesabu ndogo;
BMI = uzito/(urefu X urefu)
BMI = 60/(1.5 X 1.5)
BMI = 26.7 Kg/m-squared.
Kwa hiyo fanya hesabu hiyo na ukikuta una BMI zaidi ya 25 anza kusikitika! Na fuata ushauri wa hapo juu haraka iwezekanavyo!
Red wine haikati uzito ila kwa argument ya pale juu itakuwa kama pombe kali, huwezi kunywa nyingi kama bia ndio maana generally unakuwa umepunguza amount ya calories unazozimeza.
Red wine na pombe in small amount inaweza kupunguza risk ya cardiovascular disease. Tatizo una ubavu wa ku-control amount unayokunywa?
Pombe na hasa zile kali zinaharibu maini, ubongo, moyo.. hapo sasa! Chagua kusuka ama kunyoa.

Je BMI ikiwa under 25 kuna madhara gani na kwa kawaida binadamu anatakiwa kuwa na BMI ngapi?
 
Je BMI ikiwa under 25 kuna madhara gani na kwa kawaida binadamu anatakiwa kuwa na BMI ngapi?
BMI kati ya 18.5 na 25 ni NORMAL.
Chini ya 18.5 unakuwa na undernutrition na unaanza kupata matatizo related nayo kama kuwa na weak immunity hivyo kushambuliwa na maradhi kirahisi.
 
Za leo wapendwa, ningependa kufahamu hivi *pombe huongeza minyama uzembe ya tumbo au kukufanya unenepe. Je na nimejaribu kupunguza tumbo kwa mazoezi ila naona kama nazidisha tuu sasa. Je kuna kitu cha kufanya zaidi! Ningependa kufahamishwa kwa yoyote anayejua. Shukrani.

Click here For Info *Pombe

Flatten Your Belly at Breakfast!
Secret ingredient: Add a MUFA(monounsaturated fatty acid) to every meal

By Miriam Rubin

Flat Belly foods specifically target ab flab. Here are three recipes to blast the fat, starting with your morning meal.

Tropical Fruit Smoothie

Time: 5 minutes
Servings: 2

1 1/2 c frozen mango cubes or peach slices, slightly thawed, or 1 lg mango, peeled and sliced off pit

1 c hulled, halved fresh strawberries
1 c fat-free vanilla yogurt or light vanilla soy milk
1/2 c chilled mango nectar
1 Tbsp frozen pineapple juice concentrate, slightly thawed
2 Tbsp flaxseed oil* (MUFA)

1. Place mango, strawberries, yogurt, nectar, and juice concentrate in blender. If using fresh mango, add 4 or 5 ice cubes. Blend until well combined and smooth.

2. Add oil and blend just to combine. Pour into 2 glasses. Garnish each glass with a strawberry if you have extras.

Nutritional info per serving 399 cal, 8 g pro, 65 g carb, 5 g fiber, 14 g fat, 1.5 g sat fat, 2 mg chol, 86 mg sodium

*Note: Flaxseed oil should be used within 2 months. Store it in the fridge to keep it fresh.
 
Let me repeat!! You can not "SPOT REDUCE" any device/diet that claims to do this is a fraud! The only way to spot reduce is through cosmetic surgery i.e liposuction.
 
Let me repeat!! You can not "SPOT REDUCE" any device/diet that claims to do this is a fraud! The only way to spot reduce is through cosmetic surgery i.e liposuction.
.
Baada ya kutawaliwa na Wazungu, baadhi yetu tunaamini kila cha wazungu tuu na vya wengine wote, feki. Nikukuambia hata hii dini yetu ya Kikristu ilianza Juzi tuu ukilinganisha na Hinduism na budhiism.
Wazungu mpaka leo hawaikubali accupancture ya Wachina, but belive me ndio the best anaesthesia so far, wazungu cha mtoto.
Nimekuambia wachina wametumia sauna for 'spot reduction' ya access fat pamoja na uchafu mwingine, it has worked very well. Wewe unakataa. Nimekuambia wametengeneza mashine ya 'home jogger' inayotumia infrared kuburn axcess fat, unasema mashine feki. Nimekuambia wana slim belt ya kuyachemshia maji tumboni kwako kwa kutumia infrared na unaharisha mafuta. bado unapinga na kuja na liposuction.
Kwa taarifa yako China inaongoza kwa watu wenye kuishi miaka mingi zaidi duniani. miaka 100 ni kibao mpaka kuna mtu mwenye 148!. Wazungu hawana lolote!.
Kama uko Dar nenda pale Tabata, hospitali ya wachina inaitwa Aroma, utapatiwa vidonge vya kupunguza unene, unaharisha mafuta mpaka unapungua. hii siyo ya kusikia, emu wangu mmoja aliwahi kutumia, tatizo alikonda kwa ghfla sana hali iliyopelekea kunyorodoka na kudorora hadi maumbile yake yenye maslahi yakiwemo maziwa and all of a sudden. akawa kama kibibi kizee na yale mambo fulani akawa frigid all over a sudden, aliacha and I won't recomend this.
Tusiendelee kuandikia mate, naleta wino. kuna mtu nimemuagizia hii mashine. I'll be in a better position kukubaliana na wewe ama to prove other wise in a matter of time. Asante.
 
.
Wazungu mpaka leo hawaikubali accupancture ya Wachina, but belive me ndio the best anaesthesia so far, wazungu cha mtoto.

Nimekuambia wana slim belt ya kuyachemshia maji tumboni kwako kwa kutumia infrared na unaharisha mafuta. bado unapinga na kuja na liposuction.
Kwa taarifa yako China inaongoza kwa watu wenye kuishi miaka mingi zaidi duniani. miaka 100 ni kibao mpaka kuna mtu mwenye 148!. Wazungu hawana lolote!.
Kama uko Dar nenda pale Tabata, hospitali ya wachina inaitwa Aroma, utapatiwa vidonge vya kupunguza unene, unaharisha mafuta mpaka unapungua. hii siyo ya kusikia, emu wangu mmoja aliwahi kutumia, tatizo alikonda kwa ghfla sana hali iliyopelekea kunyorodoka na kudorora hadi maumbile yake yenye maslahi yakiwemo maziwa and all of a sudden.

Wewe ni mshabiki kiasi fulani na muongo pia.
Huwezi kusema acupuncture ni the BEST anaesthesia so far, labda ungesema analgesia, are you sure unataka kusema nini? That is not true.
Kuhusu belt kuyeyusha mafuta na unayaharisha, huo ni uongo mwingine, physiology ya mwili wa binadamu haiendani kabisa na maelezo yako, labda kwenye movie. Anyways, leta ushahidi haya unayosema ni maneno maneno tu kama ya segere.
Hiyo ya kuharisha, nimeipenda, kuharisha yaweza kumaanisha chakula unachokula hakiwi absorbed kuwa hiyo in the long run utapungua uzito lakini itachukuwa muda mrefu sana. Na kuharisha ni ugonjwa sasa wataka kujitibu ugonjwa kwa ugonjwa? Unaweza kuharisha ukafa! Na huharishi mafuta huo ni uongo!
Ndugu zangu, kupungua uzito tafuta njia ambayo unaweza kui-sustain, achana na hizi politics katika afya.
By the way, watu wanaojifanya kusaidia watu kiafya including waganga wa kienyeji ndio wanaoongoza kwa kujitajirisha bila huruma kwa wagonjwa.
Na ile ya watu china umri miaka 148, umeona wapi? Tuonyeshe. Records zilizopo mtu mzee kabisa ana miaka 107! Search hata kwenye net.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom