Flash msg via original nokia and blackberry

Dadio

JF-Expert Member
Mar 14, 2012
359
42
Kwa yeyote anayejua namana ya kutuma flash msg kwa pamoja na kuweka password kwenye inbox sms hasa kwenye cm za nokia na blackbery anieleweshe tafadhali
 
download application inaitwa sms locker hiyo inafunga msgs, halafu kwa flsh sms tafta application zpo nying
 
Kwa yeyote anayejua namana ya kutuma flash msg kwa pamoja na kuweka password kwenye inbox sms hasa kwenye cm za nokia na blackbery anieleweshe tafadhali

Google application inaitwa livesms2.0, hii ina hide text, so mtu akichek inbox hawezi kuziona msg hadi uzirudishe mwenyewe..Hii ni nzuri tofauti na zile za ku lock messaging ambapo mtu anaona umelock
 
Pass word za nini tena??????/

Huna Uaminifu kwa mwenzio?????

Jibu sio Pas word bali ni Kubadili Tabia yako
 
Back
Top Bottom