Flash & Memory Card

Zuia Sayayi

JF-Expert Member
Mar 28, 2011
841
133
Jmn naombeni msaada, je nitawezaje kuzitambua Flash na Memory card ambazo ni ORIGINAL au FEKI.
Natanguliza SHUKURANI
 
Mara nyingi Original unakuta ina Brand Name, Manufacture name na Nchi ilipotengenezwa,
 
Mara nyingi Original unakuta ina Brand Name, Manufacture name na Nchi ilipotengenezwa,

Asante, hv hakuna njia nyingine coz kuna m2 mmoja aliniambia kama unahitaji kujua flash/m' card ni orignal,
>Unaweka data za ukubwa wa hiyo storage yako
mf:
kama una memo /flash (4gb), unaweka data zenye ukubwa huo huo. Then una test kama zina fanya kaz zikiwa kwenye hyo storage zikikubali bac hyo ni YENYEWE.
Je ni kweli.
 
Nilifanya uchunguzi mdogo wa kuhakiki USB memory sticks na nikafahamishwa kuwa, kuna serial number ambayo imeandikwa kutumia software kwenye/ndani ya USB stick yenyewe (sio serial number ambayo imeandikwa kwenye enclosure ya USB stick yenyewe ambayo unaweza kuisoma ) inasemekana kuwa, makampuni 'legal' hutumia hii mechanism kwa kuandika mambo yanayoihusu hiyo kampuni kama vile jina, model ya usb drive yenyewe, version number nk.
Ambazo feki pia wanaweza kuwa wametimiza hii requirement, lakini utakuta details zenyewe sio sahihi, au detail moja inatumika "kuchapisha" sticks kibao.

Nimeandika ka'program kanakoweza kukupa hizi details provided tu kuwa, hiyo drive ikiwa attached kwenye computer itapewa drive letter mfano E:\
Nitakatafuta na kukapachika hapa...

Materials nilitoa hapa

http://emmet-gray.com/Articles/USB_SerialNumbers.htm

Pia unaweza kutumia hii software from NirSoft ambayo itakupa hizo details. Mimi ilibidi nitumie njia iliyoelezwa hapo juu kwani mahitaji yangu yalikuwa kupata hizi details ndani ya ka program kangu

http://www.nirsoft.net/utils/usb_devices_view.html
 
Asante, hv hakuna njia nyingine coz kuna m2 mmoja aliniambia kama unahitaji kujua flash/m' card ni orignal,
>Unaweka data za ukubwa wa hiyo storage yako
mf:
kama una memo /flash (4gb), unaweka data zenye ukubwa huo huo. Then una test kama zina fanya kaz zikiwa kwenye hyo storage zikikubali bac hyo ni YENYEWE.
Je ni kweli.

Hiyo itakwambia kuwa hiyo flash ina ukubwa kama ilivyoandikwa na ni hatua nzuri maana kuna Flash zinaonyesha size feki, ukiweka file zako zinakuwa corrupted.
Ila haitakuamabia kama hiyo flash ni original.
 
Back
Top Bottom