Straight corner
JF-Expert Member
- Nov 18, 2010
- 385
- 132
Waheshimiwa, flash yangu inasoma kama folder, nimehisi kuna virus na kuscan nikirudia lakini wapi!!!
Sijui tatizo litakuwa nini, natumia Kaspersky internet security 2011 na iko update.
Naomba kuelimishwa wakuu!
Sijui tatizo litakuwa nini, natumia Kaspersky internet security 2011 na iko update.
Naomba kuelimishwa wakuu!