PapoKwaPapo
JF-Expert Member
- Jun 5, 2008
- 380
- 45
Bob Makani alikuwa mtu wa kaskazini?Ukanda ndio unaimaliza CDM! Ukifuatilia kwa umakini utagundua CDM haiko tayari kuona mtu au mwanachama yeyote kutoka mikoa isiyo ya Kaskazini anataka either kuwa mwenyekiti wa CDM or kuwa MGOMBEA wa Urais ndio maana mzee Mtei akisikia tu mtu wa kanda zisizo za Kaskazini atakuwa mkali utafikili mtu huyo kisha chaguliwa.Kwa nionavyo mimi chadema wana safari ndefu sana ya kuchukua nchi hii.Lazima waachane na ukanda kwanza waweke nchi mbele.Tusubili na tuombe mungu 2015 tufike na wanaodhani CDM itashinda wajiandae kupata ugonjwa wa Moyo kwani hata kura alizopata Dr Slaa mwaka 2010 Mgombea wao hatapata na hata sehemu walizopata wabunge mwaka 2010 kama Nyamagana,Kawe,Ilemela,Ukerewe,Arumeru,Arusha hawatashinda anaebisha asubili 2015 aone CDM itakavyopoteza mwelekeo na watabaki kusema wameibiwa.
kuna taratibu za chama za kumpata mgombea either wa udiwani, ubunge au urais so tuache taratibu za chama zifuate mkondo wake.