Fixed account za benki na utajiri wa haraka haraka

JAMANI WANA JF KWANZA KABISA NAOMBA MCHUKUE TAHADHARI.., MARA NYINGI BANKERS HAWAKO WAZI KABISA,, YAWEZEKANA KUTOELEWA KWETU NDIO FAIDA KWAO., WANATOA/TANGAZA TAARIFA NUSUNUSU..

wakisema 6% riba ni kwa mwaka sio hiyo miezi 3 anayotaja that means 6% gawa miezi 12 zidisha miezi 3= 1.5 % ..,
hivyo basi kwa 10,000,000 x 1.5 % = shs 150,000 tu riba utakayolipwa

mwisho wa kipindi hicho cha miezi 3 utakuta kwenye account 10 mln + 150,000=10,150,000= tu

utakuwa umeliwa bora hata biashara ya mkaa., sidhani hiyo riba itakusaidia kulinganisha na mtaji huo. badala yake wao watamkopesha mtu hizo pesa zako na ku-charge 18% gawa 12 x 3 =4.5% x 10 miln = shs 450,000= km ni fixed loan.,,

kwa maelezo zaidi waweza uliza.
Mdogo wangu aliweka Bank kama 10M ndani ya mwaka mmoja....si zilikaa mwaka mmoja...je anaweza kupata interest ngapi kwa hizo 6% zao?
 
Mkuu,
Hesabu zangu zinaonyesha kwamba for 10M @6% annual rate, for 3months period utapata 150,000 na siyo 600,000/- kama ulivyoonyesha hapo juu.
I stand to be corrected

Thanks

Thanks and you are very right
 
Hakuna bank inayotoa interest ya zaidi ya asilimia mbili kwenye annual fixed deposits, hizo za miezi mitatu
inategemea na treasury bills rate ziko vipi then wana qoute low.

Kwa kifupi, usitegemee faida doing business with any bank in tanzania


Benki ya Wanawake Tanzania (TWB) wanatoa interesrest rate on Fixed account ya 7% annually. Pia wanatoa interest ya 5% on your savings AC. Sidhani kama kuna bank inayotoa zaidi kwenye savings account. Ecobank wanatoa Interest Rate ya 12% on Fixed Deposit. Nafikiri watu wengi hawafahamu haya mambo kwa kukosa aggresiveness. Pia waweza shiriki kama individual kwenye Treasury bill bussiness ingawa income unayopata ni hiyohiyo. The good thing about puting money in the bank is ur risk free na huna hofu ya kupotea hela yako.

Remember: the higher the risk the higher the return. Ukitaka kwenda kwenye risk upate zaidi be prepared also kukosa zaidi.
 
This is why they were so reacting in the banning of DECI.................may be we need to revamp it again.
 
NIAJE WAKUU. NINA KA AMOUNT KAMA MILION 5 HIVI AMBAZO ZIKO ACCOUNT NA SITEGEMEI KIZIINGIZA KWENYE BIASHARA WALA KIZIGUSA KWA MUDA WA MIEZI MITANO.

SASA NIMEONA KULIKO KUIACHA KWENYE ACCOUNT NINAYOTUMIA, NI BORA NIFINGUE FIXED ACCOUNT ILI ANGALAU ZIONGEZEKE. NAOMBA WENYE UZOEFU MNISHAURI NI BENK GANI NZURI KWA HUDUMA HII? NA BAADA YA HUO MUDA NAWEZA KUWA NA ONGEZEKO LA KIASI GANI?

Asanteni sana!!!
 
Habari ndugu,
Sasa ni hivi, kila bank inatofautiana kutokana na faidaunazoweza kupata kwa kutumia fixed accounts, pia faida inategemea kiwango chafedha na muda unaoziacha pesa zako. Zaman niliwah kuziona za Exim Bank ilikuwani asilimia chini kidogo ya kumi. Nimejaribu kutazama kwenye web yao kabla sijakujibu itappears wameiondoa ile table iliyokuwa nayo.

USHAURI WANGU.
Jaribu kutembele matawi mbali mbali ya benki, utapatamaelezo mazuri na kuchagua mwenyewe. Ilakumbuka kuna kitu kinachoitwa compounding yaan tuchukue mfano Benk X wanatoa 8%per annum, then ukiweka 5mil per annum unatarajia kupata lak 4 kwa mwaka. Hivyobasi mwaka wa pili haitakuwa 8% ya 5mil ila ni 8% ya 5.4mil ukijulisha na ilefaida yako ambapo itakuwa 432,00 kwa hiyo itaendelea hivyo hadi mwaka wako watano.

Good luck with your investment, na hongera kwa kuwaza hivyomaana Fixed Deposit ni confirmed profit
 
Nenda Tanzania Postal bank, wanatoa riba 7% na ndio bank wanayotoa riba nzuri tanzania nzima, niamefungua fixed deposit a/c hapo mwaka jana zitakazonisaidia kufanya masters degree mwaka huu
 
Ma benki mengi sanaaaa ila hayana ushindani kwenye fied deposit account..sijui watanzania hatuna hulka kuweka amana kwa muda kidogo ndio maana hakuna wazo kuzipandisha?
 
NIAJE WAKUU. NINA KA AMOUNT KAMA MILION 5 HIVI AMBAZO ZIKO ACCOUNT NA SITEGEMEI KIZIINGIZA KWENYE BIASHARA WALA KIZIGUSA KWA MUDA WA MIEZI MITANO.

SASA NIMEONA KULIKO KUIACHA KWENYE ACCOUNT NINAYOTUMIA, NI BORA NIFINGUE FIXED ACCOUNT ILI ANGALAU ZIONGEZEKE. NAOMBA WENYE UZOEFU MNISHAURI NI BENK GANI NZURI KWA HUDUMA HII? NA BAADA YA HUO MUDA NAWEZA KUWA NA ONGEZEKO LA KIASI GANI?

Asanteni sana!!!

Mkubwa Use NBC BANK IS THE BEST FOR FIXED DEPOSIT.
 
Kama zinaongezeka kwa nini useme ni "fixed" account?

Fixed account means hakuna riba itawekwa nje ya kile umeweka? It's fixed kwasabcu pesa unaweka inakuwa ktk muda maalumu na kwa mkataba maalumu, which means if is 5m for 3month huwez ongeza even 1m ktk kile kipind kama hakija isha? Hvyo ina manisha ukitaka ku ongeza unaifunga unafungua fixed nyingine ya 6m. That is the meaning of Fixed ac. Kuna other akaunt ktk kila bank na majina yake, kwa mfano Nbc kuna aina ya akaunt ambazo zinatoa riba, ila hazipo fixed the high you deposit, the high u gein interest, kama Malengo Akaunti, na akaunti ya akiba, pia zipo akaunti za watoto kama CHANUA AKAUNTI Ambazo ni nzuri kwa watoto walio under 18, zinariba nzur up 3% SO KAZI NI KWAKO.
 
Fixed account means hakuna riba itawekwa nje ya kile umeweka? It's fixed kwasabcu pesa unaweka inakuwa ktk muda maalumu na kwa mkataba maalumu, which means if is 5m for 3month huwez ongeza even 1m ktk kile kipind kama hakija isha? Hvyo ina manisha ukitaka ku ongeza unaifunga unafungua fixed nyingine ya 6m. That is the meaning of Fixed ac. Kuna other akaunt ktk kila bank na majina yake, kwa mfano Nbc kuna aina ya akaunt ambazo zinatoa riba, ila hazipo fixed the high you deposit, the high u gein interest, kama Malengo Akaunti, na akaunti ya akiba, pia zipo akaunti za watoto kama CHANUA AKAUNTI Ambazo ni nzuri kwa watoto walio under 18, zinariba nzur up 3% SO KAZI NI KWAKO.

Wewe lazima utakuwa mfanyakazi wa NBC
 
jamani wadau mbona hamuonekani.Wabeba maboksi tunataka tufungue a/c lakini hatujui ni bank zipi zina usalama zaidi ?Maoni wadau
 
Fixed account means hakuna riba itawekwa nje ya kile umeweka? It's fixed kwasabcu pesa unaweka inakuwa ktk muda maalumu na kwa mkataba maalumu, which means if is 5m for 3month huwez ongeza even 1m ktk kile kipind kama hakija isha? Hvyo ina manisha ukitaka ku ongeza unaifunga unafungua fixed nyingine ya 6m. That is the meaning of Fixed ac.
Riba maana yake interest, sasa utasemaje "Fixed account means hakuna riba itawekwa nje ya kile umeweka"? Wewe huweki riba, unaweka principal.

Mbili, kama unaweza kuifunga na kufungua nyingine kabla ya ule "fixed" muda then hiyo sio "fixed" kwa definition yako wewe ambayo muda ni fixed term.

Tatu, kama ukitaka kubadilisha principal na kuikuza unachofanya ni kufungua akaunti nyingine inayojumlisha zile hela za mwanzo basi watakuwa wamebadilisha tu namba ya account na kimsingi utakuwa umeongeza hela kwenye 'fixed' account, kitu ambacho, again, kina contrast definition yako ya 'fixed' account.

Nne, kama principal inaweza kuongezwa kwa kubadilisha tu namba ya account, na akiba inazidi kuongezeka, na hela zinaongezeka basi bado sioni kinachoifanya iitwe 'fixed' maana hakuna ambacho ni 'fixed.'
 
Nimedunduliza na kufanikiwa kuwa na shilingi milioni ishirini (20,000,000/=), kwa kuwa sina mpango wa kufanya biashara sasa kwani inahitaji mipango na usimamizi wa karibu na mie bado nimeajiriwa ninafikiria kuweka hela zangu kwenye fixed deposit account ya benki yoyote nzuri.

Ningependa kujua kwa wenye uzoefu, ni benki gani yenye rate nzuri ya fixed deposit. Ningetamani niwe naziweka kwa miezi mitatu mitatu (3 months fixed deposit). Je kwa hiyo mil 20,000,000/= faida baada ya miezi mitatu inaweza kuwa sh. ngapi? Ninafikiria miezi mitatu kwani nataka kuona kama inaweza kunipa angalau hata kiasi cha kusaidia kulipa ada ya watoto hiyo baada ya miezi mitatu.

Natanguliza shukrani kwa michango yenu.
 
Back
Top Bottom