Five killed in Barrick Tanzanian mine attack

The Priest

JF-Expert Member
Dec 8, 2010
1,029
256
Habari nilipata hivi punde kutoka huko Nyamongo, TARIME, Kuna mapambano kati ya jeshi la polisi na Intruders (raia wanaotaka kuingia kwa nguvu) kwenye mgodi huo.

Na hadi sasa inasemekana intruders wawili wameuawa kwa risasi na polisi 5 wamejeruhiwa kwa mawe..

=============
UPDATED 17, May 2011

Five killed in Barrick Tanzanian mine attack - POLICE

* Third attack on mine in past week -police
* African Barrick aiming to boost Tanzania output

By Fumbuka Ng'wanakilala
DAR ES SALAAM, May 17 (Reuters)

Five people were killed after hundreds of people raided African Barrick Gold's (ABGL.L) North Mara gold mine in Tanzania in the third attack in a week, a senior police officer said on Tuesday.

The mine, located in Tarime district about 100 km (60 miles) east of Lake Victoria, suspended operations temporarily during the raid to steal gold ore, but resumed production after calm was restored.

"Between 800 and 1,200 people armed with traditional weapons invaded the mine at around 5 a.m. (0200 GMT) on Monday with the intention of stealing gold ore from one of the crushers," Tarime-Rorya regional police commander, Constantine Massawe, told Reuters by telephone.

"Police fired warning shots into the air and used tear gas to try to stop the attackers from advancing but they would not heed. Police were forced to use live ammunition to protect themselves. Ten people, including seven police officers, were injured in the incident," he said.

A spokesman for African Barrick Gold, a unit of the world's largest miner Barrick Gold Corp (ABX.TO), in Tanzania confirmed the attack, but declined further comment.

Massawe said three suspects injured in the mine invasion were in police custody.

"There have been two other attacks on the mine over the past one week, but security personnel at the mine, with the help of police officers, managed to keep the invaders at bay," he said.

North Mara gold mine, which consists of four open pits, has experienced several attacks over the past few years.

In 2008, some 200 people attacked it and destroyed property worth $7 million, forcing operations at one pit to be halted.

African Barrick Gold said in December it aimed to build an underground operation beneath existing open pits after finding more gold at the North Mara mine.

In 2009, North Mara produced some 212,000 ounces of gold at a cash cost of $508 per ounce.

ABG said it wants to boost output at its Tanzanian operations to one million ounces a year over the next three years.

The gold miner, which floated in London in March 2010, expects to produce 700,000-760,000 ounces of gold in 2011.

(Editing by David Clarke and Mike Nesbit)
 
Kama haya ni kweli yametokea, Inabidi ABG mbadili CSR strategy yenu. TT please do the needful!.

ni kweli ABG wanazd 2 kuanzisha sites lakn hawameet matakwa ya wananchi..GTH ABG,Kama kuna mtu huko nyamongo aendelee ku2juza,source wangu alieko huko nyamongo naona kakimbia hewan,labda nayeye katafuta pa kujifcha..
 
Wananchi wanaona raslimali za nchi zinaondoka halafu hawafaidiki nazo hivyo wanaona wajitoe muhanga. Serikali ipeleke kikosi haraka ili kupunguza mauaji ya raia. Kikosi hicho kitumie njia mbadala indead of kukimbilia kuua raia. Poleni sana wana Nyamongo kwa madhila yanayowapata!
 
  • Thanks
Reactions: BAK
Hao siyo inruders hao ni wenye mali wachoka na ujinga wa wezi wajimba madini kuiba kwa kushirikiana na viongozi wetu hivyo hawana mtetezi zaidi ya kujimibilise na kutumia mawe, nawapongeza kwa kwenda kushare kuchukua mali zao kwa majizi haya na hao waliokufa wamekufa kishujaa na wengige wauinge mkono vuguvugu hilo hasa kwenye migodi ya Buzwagi na Kahama mine
 
Hawa polisi kwann hawasaidii hao wazalendo wachache wanaoona mbali kurejesha rasilimali zetu au hawa polisi si watanzania, halafu kama akili hawana vile mapolisi yEtu kama mazezeta vile nchi imetekwa na mafsadi raia wanafanya jitihada za kuikomboa, polisi wanawarudisha nyuma! Pumbaf
 
Hawa polisi kwann hawasaidii hao wazalendo wachache wanaoona mbali kurejesha rasilimali zetu au hawa polisi si watanzania, halafu kama akili hawana vile mapolisi yEtu kama mazezeta vile nchi imetekwa na mafsadi raia wanafanya jitihada za kuikomboa, polisi wanawarudisha nyuma! Pumbaf

Polisi wakati mwngne tunaweza kuwalaumu,mfumo wa nchi yetu na katiba ndio vinawabada sana hawa Askari,lakn wao pia ni watz wanaona kila kinachoendelea!
 
Hao siyo inruders hao ni wenye mali wachoka na ujinga wa wezi wajimba madini kuiba kwa kushirikiana na viongozi wetu hivyo hawana mtetezi zaidi ya kujimibilise na kutumia mawe, nawapongeza kwa kwenda kushare kuchukua mali zao kwa majizi haya na hao waliokufa wamekufa kishujaa na wengige wauinge mkono vuguvugu hilo hasa kwenye migodi ya Buzwagi na Kahama mine

Hao wasukuma hawawezi wa kahama hawawezi kuresist wao kila kitu toho shida (hakuna tatizo) ngoja kina mura wafanye kweli hao ndo wanaume wa ukweli.
 
Hao mapolisi wanalipwa mara 2 serikali inawalipa na mgodi unawalipa ndo maana wanatetea mazungu.
 
Hali si mbaya kihivyo.....ni kawaida hawa jamaaa kuingia wakisha ishiwa pesa..na mvua kama zimegoma...hilo la kupiga polisi litawagharimu..na muda mwingi huwa gharimu...
 
kazi kwa serikali kulimaliza hili mara moja kwani wao ndio chanzo cha haya mamikataba mabovu
 
Wananchi wanaona raslimali za nchi zinaondoka halafu hawafaidiki nazo hivyo wanaona wajitoe muhanga. Serikali ipeleke kikosi haraka ili kupunguza mauaji ya raia. Kikosi hicho kitumie njia mbadala indead of kukimbilia kuua raia. Poleni sana wana Nyamongo kwa madhila yanayowapata!

Inauma sana kusema kweli. Wameishi karika ardhi hiyo kwa miaka chungu nzima, leo inagundulika kuna dhahabu yenye thamani kubwa sana wanakuja wageni kuchukua utajiri mkubwa kutoka katika ardhi yao na wao kutofaidika kwa lolote lile na huku wakiendelea kuishi katika umaskini wa kutisha.
 
Kwa kiasi fulani nashindwa kuwalaumu Barrick moja kwa moja kwa matukio kama haya kwa sababu Barrick wako hapa kibishara na wanalinda maslahi yao na wanahisa wao. Lakini waliowakaribisha (serikali) wal jiiandaa vipi huku nyumbani kabla huyu mgeni hajaja?

Hivi kweli mtu anaweza kuja nyumbani kwako akala na kunywa then akaamua kuwatwanga makonde watoto wako na wewe unaangalia? Serikali walikubaliana nini na Barrick kuhusu watu wanaoishi jirani na migodi? Kila mwaka utamsikia waziri wa nishati na madini akisema 'tuna mkakati' wa kuwasaidia/kuwainuwa wachimbaji wadogo wadogo! Nini kimefanyika kwenye hilo?

Siku zote nimekuwa na hisia kuwa viongozi wetu wanatunguzuka, kwamba wanasema jambo moja kwa wananchi lakini wakikutana na hawa wawekezeji (i.e Barrick) wanasema jengine. Kuna uwezekano kabisa kuwa serikali ndio mchawi wa haya matukio.
.
 
Jamani nayaongea haya kwa uchungu sana kama mnyamongo na mtanzania pia mhanga wa 2kio hili maana nimepoteza shemeji na rafiki yangu" HIVI HAKI YETU WANYAMONGO TUTAIPATA LINI?" Mbona kila siku wanainchi wanauwawa nadhani ni wakati wa kutoka wote kama tutakufa tuishe na iwe hivyo! Watanzania wenzetu wanatuua kwa ajili ya mawe ya kwetu? Haki yetu inabidi tuidai kwa kufa na kupona' PEOPLES POWER
 
Hao wasukuma hawawezi wa kahama hawawezi kuresist wao kila kitu toho shida (hakuna tatizo) ngoja kina mura wafanye kweli hao ndo wanaume wa ukweli.
Hata wakati wa uchaguzi mlisema hivyohivyo kuwa siye nduhu tabu lakini leo mkoa wa Shy ndiyo wenye wabunge wengi zaidi wa upinzani kwa nchi nzima. Iko siku tutatoka ndiyo mtatujua kuwa kumbe avumaye baharini...................
 
jaman mimi nilikuwa na kama miaka saba sijakanyaga nyamongo nilikwenda juzi nilikuta mji umebadikika nikauliza hii milima ya mawe imetoka wapi jibu nililopata ni mawe yanayochimbwa chini ya ardhi wakiwa wanatoa dhahabu hivi wana jf mnajua ni mlima na mlima umetokea kwa yake mawe yanayotolewa chini ya aridhi mkipata bahati ya kutembelea nyamongo ambai amjawai kufika hakika mtasema serikali hii ni kichaa kabisa na viongozi wao awako makini ni aibu jamani wakurya nawapa pole sana kwa msibu huo ulio wakuta mkijitahidi kutafuta maisha kwa kutaka kwenda kuchukua haki yenu ndani ya mgodi
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom