Fitness and wellness

Naam, nimeongea mengi kwa sababu najua mengi mno kukuzidi wewe. Ndo maana umeona nimeongea mengi ilhali kwangu wala hakuna mengi hapo. Ni kawaida kabisa. Ishara nyingine kuwa hujui na unababaisha tu.

Hajapigwa na Big Foot tu...hata Travis Browne alimgaragaza. Mwone hapo...

Hata Ben Rothwell naye alimdunda...ona hapo...

Ni hoja ya msingi kabisa. Overeem sio mzuri. Hana chin kabisa. Ukimgusa tu kidevu anawewesuka. Juzi Stipe Miocic kamzimishia taa.

Ana holes nyingi sana na ndo maana huwa anapigwa pigwa tu na ma slouch kama Ben Rothwell.

So much for your horse meat eating Overeem.

Cigano ni one dimensional tu. Na kama hakumuotea Cain...iweje alichakazwa vibaya sana hizo mara mbili?

Uliuona uso wake baada ya kupigana na Cain?

Hebu ona mambo ambayo Cain alimfanyia....

10002643.gif
15.jpg

Umeona kazi ya Cain hiyo?

Naona uko obssesed sana na Cain...nikuulize swali nipime uelewa wako ktk UFC...kwa sasa niambie 3 best fighters in the world ni nani, ? Tumia kipimo cha Pound for Pound ki-apply kwnye light heavyweight na heavyweight mana hutakawia kuniambia ni conor mcregor na ronda rousey!
 
Nimeshaona ...ninazo UFC PPVs zote... so unataka kuniambia Cain alimuotea Brock Lesnar mara ya kwanza sio? Kama Cigano alivomuotea Cain? Mark Hunt anavyopigaga Walkaway KOs anaoteaga sio....

Lesnar hayupo kwenye level ya Cain kabisa.

Yani sielewi mtu unayesema unajua MMA vizuri unathubutu kusema eti fulani anaotea...

Wewe ndo hujui. Huna clue kabisa.

Cain keshathibitisha kuwa Junior alibahatisha tu.

Kwa nini nasema hivyo? Nasema hivyo kwa sababu tayari washapigana mara 3 na Cain kashinda mara mbili kati ya hizo tatu. Tena si kushinda tu....ni kwamba kashinda convincingly na decidedly.

Kwa hiyo hata nikijenga hoja kuwa Junior alibahatisha, facts zinani support.

Kama Junior hakubahatisha kwa nini katika fight ya 2 na ya 3 yeye Junior hakurudia alichokifanya kwenye fight ya kwanza?

Kwaiyo Rumbe anavyopiga KO anaotea sio??

Unaona sasa...context is everything and processing nuance is a skill, of which you lack.

Rumble keshapigana na nani mara 3?

General rule ni kua...."One Punch can Change everything".
Kuotea ni mpira huo...ndo tatizo la mashabiki wa mpira kuingia ktk fighting

Totally clueless.
 
Una uhakika gani gani kama striking yako ipo vizuri? Ama bench press ndo zinakufanya uamini ivo?
Mi naona we ni kama a bodybuilder tryin desperately to be an MMA fghter....
Oya mtafute huyo boya umpe makonde... Muongo Muongo sana huyo..

Mi naamini ukisimama nae unampasua dakika tu
 
Naona uko obssesed sana na Cain...nikuulize swali nipime uelewa wako ktk UFC...kwa sasa niambie 3 best fighters in the world ni nani, ? Tumia kipimo cha Pound for Pound ki-apply kwnye light heavyweight na heavyweight mana hutakawia kuniambia ni conor mcregor na ronda rousey!

Pound for pound ni Demetrious 'Mighty Mouse' Johnson.
 
Siyo NCAA tu...hata high school. Google uone...

Na hakuna aliyesema DC hana wrestling nzuri. DC ni Olympian wrestler...alikuwa kwenye team USA 2008 kule Beijing.

Pamoja na u-Olympian wake lakini hakufua dafu mbele ya Bones Jones. Jones alishinda hiyo aspect ya wrestling alipopigana na DC.

Sijawahi kuona Cain akiwa dominated on the ground. Hata Brock Lesnar hakuweza kumweka chini Cain. Unabisha?

Overeem hana chini. Ukimgusa kidevu tu huyo...chali.

Hivi unajua hata light heavyweight Chuck Liddell alim knock out huyo Overeem wako?

Hebu ona hapa....

Brock Lesnar sio mixed martial artist.

DC namuelewa sana hasa alipokua Heavyweight...ni wrestler mzuri, sema unavyomuongelea Cain as if yupo vizuri sana...mbna huongelei alivopigwa na Fabricio??

Lesnar ni nani then...km sio mma fighter? Ama kisa yupo wwe? Cm punk kwa sasa je sio mma fighter?
 
Naona uko obssesed sana na Cain...nikuulize swali nipime uelewa wako ktk UFC...kwa sasa niambie 3 best fighters in the world ni nani, ? Tumia kipimo cha Pound for Pound ki-apply kwnye light heavyweight na heavyweight mana hutakawia kuniambia ni conor mcregor na ronda rousey!
Ata google huyo jamaa ni mbishi mbishi tu alafu wala hajuagi.. Unapoteza muda wako wewe
 
Pound for pound ni Demetrious 'Mighty Mouse' Johnson.
Unaona unavochanganya madesa?? Nimesema tumia pound for pound halafu apply kwenye light heavyweight na heavyweight....sasa huyo mighty mouse si yupo kwenye "midget division"?
Alafu nataka uniambie mawazo yako na sio rankings za ufc
 
DC namuelewa sana hasa alipokua Heavyweight...ni wrestler mzuri, sema unavyomuongelea Cain as if yupo vizuri sana...mbna huongelei alivopigwa na Fabricio??

Cain yupo vizuri. Na ndo maana nsubiri kwa hamu kuona rematch kati yake na Fabricio mwezi Disemba.

Hiyo fight ndo itakata mzizi wa fitna...manake inaonyesha Cain aliathiriwa na altitude kule Mexico city.

Lesnar ni nani then...km sio mma fighter? Ama kisa yupo wwe? Cm punk kwa sasa je sio mma fighter?

Hahaaaa...umeona kilichomtokea CM Punk juzi alipopigana na Mickey Gall?
 
Unaona unavochanganya madesa?? Nimesema tumia pound for pound halafu apply kwenye light heavyweight na heavyweight....sasa huyo mighty mouse si yupo kwenye "midget division"?
Alafu nataka uniambie mawazo yako na sio rankings za ufc

UFC wana ranking za nani ni best pound for pound.

Angalia hapa...nani namba 1 pound for pound? Hivi unajua hata maana ya pound for pound wewe?

POUND-FOR-POUND

1 Demetrious Johnson

2 Dominick Cruz

3 Daniel Cormier

4 Conor McGregor

5 Jose Aldo

6 Stipe Miocic

7 Eddie Alvarez

8 Joanna Jedrzejczyk

9 Tyron Woodley

10 Michael Bisping

11 Robbie Lawler

12 Luke Rockhold

13 Rafael Dos Anjos
 
Cain yupo vizuri. Na ndo maana nsubiri kwa hamu kuona rematch kati yake na Fabricio mwezi Disemba.

Hiyo fight ndo itakata mzizi wa fitna...manake inaonyesha Cain aliathiriwa na altitude kule Mexico city.

Hahaaaa...umeona kilichomtokea CM Punk juzi alipopigana na Mickey Gall?
Kaathiriwa na altitude wakati alikua hometown mexico city 3 weeks prior yo the fight ana train...ivi unachekigi zile countdown to ufc???
We jamaa bana...alipigwa very clear n convincing...kifupi cain mbovu mbovu afu mgonjwa! Pole mana ni your favorite fighter ila ukweli ndo huo
 
Kaathiriwa na altitude wakati alikua hometown mexico city 3 weeks prior yo the fight ana train...ivi unachekigi zile countdown to ufc???

Cain haishi Mexico city. Anaishi California.

We jamaa bana...alipigwa very clear n convincing...kifupi cain mbovu mbovu afu mgonjwa! Pole mana ni your favorite fighter ila ukweli ndo huo

Kwamba alipigwa hilo halina ubishi. Au nimebisha? Kama nimebisha nionyeshe nilipobisha.

Ndo maana nimesema nina hamu sana ya kuona outcome ya rematch ambayo itafanyika Vegas...kwenye altitude.

Kusoma na kuelewa nao ni ujuzi...ambao umeshaonyesha huna!
 
UFC wana ranking za nani ni best pound for pound.

Angalia hapa...nani namba 1 pound for pound? Hivi unajua hata maana ya pound for pound wewe?

POUND-FOR-POUND

1 Demetrious Johnson

2 Dominick Cruz

3 Daniel Cormier

4 Conor McGregor

5 Jose Aldo

6 Stipe Miocic

7 Eddie Alvarez

8 Joanna Jedrzejczyk

9 Tyron Woodley

10 Michael Bisping

11 Robbie Lawler

12 Luke Rockhold

13 Rafael Dos Anjos
Keyboard warrior umeelewa swali kweli??
Nimekuuliza hiviii...narudia tena, wewe binafsi kwa unavoona wewe (forget about the official ufc rankings.)
Tumia kipimo cha pound for pound, ki-apply kwenye divisions za LIGHT heavyweaght na Heavyweight, halafu uniambie....3 best fighters in the world.
Unakuja kuniambia mighty mouse huyo andunje ni heavyweight sio??
 
Keyboard warrior umeelewa swali kweli??

MMAist wannabe....uelewa wangu huwezi kuufikia.

Nimekuuliza hiviii...narudia tena, wewe binafsi kwa unavoona wewe (forget about the official ufc rankings.)
Tumia kipimo cha pound for pound, ki-apply kwenye divisions za LIGHT heavyweaght na Heavyweight, halafu uniambie....3 best fighters in the world.
Unakuja kuniambia mighty mouse huyo andunje ni heavyweight sio??

Kwanza, hujui hata maana ya pound for pound.

Pili, mimi binafsi pound for pound best fighter in the world ni Demetrious Johson.

Tatu, ambacho hujaelewa hapo ni nini?
 
Cain haishi Mexico city. Anaishi California.

Kwamba alipigwa hilo halina ubishi. Au nimebisha? Kama nimebisha nionyeshe nilipobisha.

Ndo maana nimesema nina hamu sana ya kuona outcome ya rematch ambayo itafanyika Vegas...kwenye altitude.

Kusoma na kuelewa nao ni ujuzi...ambao umeshaonyesha huna!
We acha ubishi wa kijinga...inajulikana mexico city ni high altitude afu fighters wengi wanapenda kutrain kwenye high altitudes ndo mana cain aliwahi mexco city.....angalia fighters wa JACKSONWINK MMA wakina Bones wanavopenda kutrain juu ya milima....Alberque,* New Mexico.
Unaongea nn jombaa
 
MMAist wannabe....uelewa wangu huwezi kuufikia.

Kwanza, hujui hata maana ya pound for pound.

Pili, mimi binafsi pound for pound best fighter in the world ni Demetrious Johson.

Tatu, ambacho hujaelewa hapo ni nini?
Sasa nimekuambia hiviii best fighters kwenye light heavyweight na heavyweight...unaniambia huyo mighty mouse...unaona uelewa wako ulivo mdogo??
 
Nikisoma thread za watu kufanya mazoezi napata uchungu sana. Nilikuwa mtu wa mazoezi, nafanya jogging mara tatu kwa wiki, nacheza basketball mara tatu kwa wiki. Nilikuwa napiga push ups 400 kila asubuhi at least mara tatu kwa wiki. Kwa kifupi nilikuwa fit sana (sio kujazia mamisuli). Ila mchana mmoja ulibadili maisha yangu, minor accident ikanipa serious backbone damage.

Kutoka a very fit guy mpaka kuwa mtu ambae hawezi kutembea mita hamsini bila kukaa chini ni experience ngumu sana. Nashukuru Mungu nimepona kiasi kwamba naweza kufanya vitu vyote kasoro kufanya mazoezi niliyozoea kufanya. Na kwa uwezo wa Mungu natumaini siku moja nitarudi kama zamani.
Daah sorry about that chief, Mungu aendelee kukusaidia urudi kwenye Hali yako ya awali, sasa nahis naanza kukuelewa kwanini unachukia vijana wenye mambio wenye altezza, subaru na muffler (sorry it's out of topic)
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom