Fitness and wellness

Hata hizo zina faa Mkuu cha muhimu fanya reps za kutosha. Unaweza fanya sets tatu set1 10reps, set2 15reps, set3 20reps kwa uzito huo huo ulio nao. Unaweza adjust zaidi sets zako tokana na mwili wako utavojisikia.

Note: Thighs ni moja ya muscles kubwa mwilini hivyo kabla ya kufanya squats nzito hakikisha una nguvu au usiwe na njaa wala kushiba sana na baada ya squats probably utasikia njaa piga msosi. Ni zoezi zuri sana lenye kujenga mwili kwa ujumla
Nina kg 57 urefu 159...sio mnene mwembamba wastani ila nna tatizo mwili wangu umetepepeta kimtindo yaan nyama zinanicheza cheza nifanyaje mazoez gan mwili ukaze? angalizo.. sitaki mwili wangu upungue
cc Nyani Ngabu nipeni ushaurii wataalam.
 
Jinsia yako tafadhali?
 
Yup...mimi nafanya MMA....msisitizo kwenye Brazilian Jiu Jitsu na Muay Thai.
Sasa jiu jitsu na muay thai pekee ndo inakufanya uwe mixed martial artist??? Izo discipline nyingine je km wrestling, boxing, kick boxing, grapling, striking, judo, msisitizo unamuachia nani?
 
Nimesema nafanya MMA na msisitizo ni kwenye hizo mbili. Umeelewa?

Haimaanishi wrestling sifanyi. Kwanza nina background ya Greco-Roman wrestling ambayo nilifanya nikiwa college.

Na kama unafuatilia MMA, hususan Bellator na UFC utaona karibu wapiganaji wote wana specialty disciplines zao.

Sijawahi kuona hata mmoja asiye na specialty yake.
 
Nafatilia sana mana hamna kitu napenda kama fighting...
Sema vitu unavyobase navyo havina ishu...jiu jitsu atleast....
Unaeza kuniambia Jon Bones kaspecialize kwenye nini hasa? Ama Rumble??
Iyo wrestling ulispecialize sana utakua unaboa km DC.
 
Bones Jones base yake ni wrestling. Alikuwa wrestler high school na hata Junior college.

Ndo maana aliweza kuzi stuff take-down attempts zote za DC na kumgeuzia kibao. DC alikuwa taken down kama mara nne hivi kama sijakosea.

Rumble naye ana base ya wrestling ila pia kickboxing ni specialty yake pia.

Halafu mbona hata Cain Velasquez specialty yake ni wrestling. Niambie fight yoyote ile ya Cain ambayo iliboa.
 
Jombaa we UFC unaijua vizuri kweli? Yani Rumble anawrestle?? Seriously?? Rumble ni striker mjomba ..tena the best striker in the world....one puch knockout kama walivo wakina Mark Hunt ,Roy Big Country Nelson.

Bones ni definition of a complete fighter...yupo vizur kwnye wrestling, striking na jiu jitsu bila kusahau eye pocking...

Cain....wrestling ya kubahatisha....nadhani kafundishwa na DC mana wote ni wa AKA....afu nilicho-note kwako bado uelewa wako sio mzuri kati ya tofauti ya wresling na jiu jitsu. Cain ana jiu jitsu nzuri ni striker pia....

Ukitaka kujua jiu jitsu vizur angalia fighters kutoka Brazil wakiongozwa na Fabricio
Werdum...wana world class jiu jitsu.

UFC kickboxer mzuri ni Alistair Overeem

Nadhani umenipata.
 
Nina kg 57 urefu 159...sio mnene mwembamba wastani ila nna tatizo mwili wangu umetepepeta kimtindo yaan nyama zinanicheza cheza nifanyaje mazoez gan mwili ukaze? angalizo.. sitaki mwili wangu upungue
cc Nyani Ngabu nipeni ushaurii wataalam.
Kilo 57 duh lightweight eti, ongeza ongeza zifike ata 67....
 
Bones Jones base yake ni wrestling. Alikuwa wrestler high school na hata Junior college.

Ndo maana aliweza kuzi stuff take-down attempts zote za DC na kumgeuzia kibao. DC alikuwa taken down kama mara nne hivi kama sijakosea.

Rumble naye ana base ya wrestling ila pia kickboxing ni specialty yake pia.

Halafu mbona hata Cain Velasquez specialty yake ni wrestling. Niambie fight yoyote ile ya Cain ambayo iliboa.
Afu unafikiri jiu jitsu na wrestling zina faida gani kubwa katika real life fight? Kwann usibase ktk striking?? Una kilo ngapi kwanza, ama we featherweight nini ndo mana
 
Jombaa we UFC unaijua vizuri kweli?

UFC nimeanza kuifuatilia tokea 1994. Enzi za akina Ken Shamrock na Royce Gracie.

Tokea enzi hizo MMA haijawa codified.

Yani Rumble anawrestle?? Seriously?? Rumble ni striker mjomba ..tena the best striker in the world....one puch knockout kama walivo wakina Mark Hunt ,Roy Big Country Nelson.

Unaona sasa..hujaelewa na huelewi nilichokuwa nazungumzia. Dalili za kudandia karandinga kwa mbele.

Mimi nilikuwa nazungumzia base ya mpiganaji kabla hajawa an MMA fighter.

MMA ni mixed martial arts. Boxing, wrestling, karate, taekwondo, na kadhalika, zote hizo ni martial arts.

Na ili kujibu swali la muda mrefu la nani anaweza kumpiga nani, ndo watu wakaja na dhana ya mixed martial arts ili kuweza kulijibu hilo swali.

Sijawahi kuona MMA fighter yoyote yule asiye na specialty/ base.

Game imebadilika sana siku hizi ukilinganisha na enzi za akina Don Frye, Mark Coleman, Maurice Smith, na wengineo. Nazungumzia mid to late 90s hapo.

Kipindi hicho wapiganaji wala hawakuwa well versed kama walivyo sasa hivi. Enzi hizo ma kickboxers kama Maurice Smith walikuwa hata hawajui take down defense wala submission defense. Walikuwa ni one dimensional. Wrestlers nao hivyo hivyo..walikuwa hawawezi kabisa striking na submission defense ilikuwa zero.

Mambo yamebadilika siku hizi. Fighters wako well rounded zaidi. Wana train katika aspects zote...striking, take down defense, submission and submission defense, na kadhalika.

Sasa wapo wanao excel na well rounded kama Cain na Bones Jones...wapo wanao improve katika aspects kadhaa na bado wakawa na holes katika game zao, na kadhalika.

Na ndo maana katika trilogy ya Cain na Junior Dos Santos unaona Cain aliweza ku dominate aspects zote ikiwemo striking ambayo supposedly Dos Santos alitakiwa awe na advantage.

Matokeo yake ni Cain 2 na Dos Santos 1. Na hata hiyo moja ni kama alibahatisha tu maana alirusha ngumi...ika connect....Cain akadondoka....Junior aka capitalize.

Bones ni definition of a complete fighter...yupo vizur kwnye wrestling, striking na jiu jitsu bila kusahau eye pocking...

Hilo nakubali. Lakini haliondoi ukweli wa kwamba msingi wake wa MMA ni wrestling. Ukibisha hilo nitakuona hujui lolote kuhusu MMA.

Cain....wrestling ya kubahatisha....nadhani kafundishwa na DC mana wote ni wa AKA

Wrestling ya Cain ni ya kubahatisha? Hakika uko clueless na unajishebedua tu hapa. Nenda kaangalie rekodi yake ya NCAA alipokuwa Arizona State.

La sivyo unajiaibisha tu hapa. Hujui lolote...umedandia treni kwa mbele na hujui hata lilipotoka na linapoenda.

....afu nilicho-note kwako bado uelewa wako sio mzuri kati ya tofauti ya wresling na jiu jitsu. Cain ana jiu jitsu nzuri ni striker pia....

Nadhani baada ya kauli ya kijinga [hivi unajua hata maana ya ujinga ni nini wewe?] namna hii nitakuacha uendelee tu na ujinga wako. Cain hana jiu jitsu nzuri na ndo maana hata alipopigana na Fabricio Werdum hakutaka kumfuata Werdum kwenye ground. Unajua kwa nini?

Ukitaka kujua jiu jitsu vizur angalia fighters kutoka Brazil wakiongozwa na Fabricio
Werdum...wana world class jiu jitsu.

Naijua vizuri jiu jitsu. Nimeifuatilia kwa ukaribu kabisa familia ya Gracie...waanzilishi wa Brazilian jiu jitsu. Huna la kunifunza wewe.

UFC kickboxer mzuri ni Alistair Overeem

Hana lolote huyo. Alipigwa hata na Big Foot Silva. Juzi tu hapa katwangwa tena.

Nadhani umenipata.

Nah...bado sana wewe. Haupo kabisa katika level yangu ya uelewa wa MMA.
 
Nikisoma thread za watu kufanya mazoezi napata uchungu sana. Nilikuwa mtu wa mazoezi, nafanya jogging mara tatu kwa wiki, nacheza basketball mara tatu kwa wiki. Nilikuwa napiga push ups 400 kila asubuhi at least mara tatu kwa wiki. Kwa kifupi nilikuwa fit sana (sio kujazia mamisuli). Ila mchana mmoja ulibadili maisha yangu, minor accident ikanipa serious backbone damage.

Kutoka a very fit guy mpaka kuwa mtu ambae hawezi kutembea mita hamsini bila kukaa chini ni experience ngumu sana. Nashukuru Mungu nimepona kiasi kwamba naweza kufanya vitu vyote kasoro kufanya mazoezi niliyozoea kufanya. Na kwa uwezo wa Mungu natumaini siku moja nitarudi kama zamani.
Pole Mungu akuoponye
 
Afu unafikiri jiu jitsu na wrestling zina faida gani kubwa katika real life fight?

Jiu jitsu...faida ni kuweza kumaliza mpigano hata kama mtu kakuzidi kimo na kilo. Royce Gracie aliweza kuwapiga watu wengi sana waliomzidi kilo kwa sababu ujuzi wake wa hiyo fani ulikuwa upo juu. Alikuwa anagawa dozi za submissions tu.

Kwann usibase ktk striking??

Kwa sababu najua striking yangu ni nzuri. Sihitaji sana kuongeza ujuzi kwenye hilo.

Una kilo ngapi kwanza, ama we featherweight nini ndo mana

Ninazo za kutosha. Kama naweza kusukuma 405 lbs kwenye bench press reps mbili zilizo safi basi hata kilo za mwili ninazo za kutosha.
 
UFC nimeanza kuifuatilia tokea 1994. Enzi za akina Ken Shamrock na Royce Gracie.

Tokea enzi hizo MMA haijawa codified.

Unaona sasa..hujaelewa na huelewi nilichokuwa nazungumzia. Dalili za kudandia karandinga kwa mbele.

Mimi nilikuwa nazungumzia base ya mpiganaji kabla hajawa an MMA fighter.

MMA ni mixed martial arts. Boxing, wrestling, karate, taekwondo, na kadhalika, zote hizo ni martial arts.

Na ili kujibu swali la muda mrefu la nani anaweza kumpiga nani, ndo watu wakaja na dhana ya mixed martial arts ili kuweza kulijibu hilo swali.

Sijawahi kuona MMA fighter yoyote yule asiye na specialty/ base.

Game imebadilika sana siku hizi ukilinganisha na enzi za akina Don Frye, Mark Coleman, Maurice Smith, na wengineo. Nazungumzia mid to late 90s hapo.

Kipindi hicho wapiganaji wala hawakuwa well versed kama walivyo sasa hivi. Enzi hizo ma kickboxers kama Maurice Smith walikuwa hata hawajui take down defense wala submission defense. Walikuwa ni one dimensional. Wrestlers nao hivyo hivyo..walikuwa hawawezi kabisa striking na submission defense ilikuwa zero.

Mambo yamebadilika siku hizi. Fighters wako well rounded zaidi. Wana train katika aspects zote...striking, take down defense, submission and submission defense, na kadhalika.

Sasa wapo wanao excel na well rounded kama Cain na Bones Jones...wapo wanao improve katika aspects kadhaa na bado wakawa na holes katika game zao, na kadhalika.

Na ndo maana katika trilogy ya Cain na Junior Dos Santos unaona Cain aliweza ku dominate aspects zote ikiwemo striking ambayo supposedly Dos Santos alitakiwa awe na advantage.

Matokeo yake ni Cain 2 na Dos Santos 1. Na hata hiyo moja ni kama alibahatisha tu maana alirusha ngumi...ika connect....Cain akadondoka....Junior aka capitalize.

Hilo nakubali. Lakini haliondoi ukweli wa kwamba msingi wake wa MMA ni wrestling. Ukibisha hilo nitakuona hujui lolote kuhusu MMA.

Wrestling ya Cain ni ya kubahatisha? Hakika uko clueless na unajishebedua tu hapa. Nenda kaangalie rekodi yake ya NCAA alipokuwa Arizona State.

La sivyo unajiaibisha tu hapa. Hujui lolote...umedandia treni kwa mbele na hujui hata lilipotoka na linapoenda.

Nadhani baada ya kauli ya kijinga [hivi unajua hata maana ya ujinga ni nini wewe?] namna hii nitakuacha uendelee tu na ujinga wako. Cain hana jiu jitsu nzuri na ndo maana hata alipopigana na Fabricio Werdum hakutaka kumfuata Werdum kwenye ground. Unajua kwa nini?

Naijua vizuri jiu jitsu. Nimeifuatilia kwa ukaribu kabisa familia ya Gracie...waanzilishi wa Brazilian jiu jitsu. Huna la kunifunza wewe.

Hana lolote huyo. Alipigwa hata na Big Foot Silva. Juzi tu hapa katwangwa tena.

Nah...bado sana wewe. Haupo kabisa katika level yangu ya uelewa wa MMA.
Umeongea mengi sana. Kusema hana lolote Alistair kisa kapigwa na Big Foot? Iyo sio hoja uyo big foot jana kapigwa KO na big country ambaye alipigwa KO na Mark Hunt ambaye alipigwa KO na Cigano....in short heavyweight division ni mostly one punch knock out sasa kusema eti fulani kampiga fulani basi fulani boya achaga izo.
Afu Cigano ni heavyweight striker mmoja mzuri sana, kusem kwnye trilogy alimuotea Cain utakua hujaijua heavyweight bado.
 
UFC nimeanza kuifuatilia tokea 1994. Enzi za akina Ken Shamrock na Royce Gracie.

Tokea enzi hizo MMA haijawa codified.

Unaona sasa..hujaelewa na huelewi nilichokuwa nazungumzia. Dalili za kudandia karandinga kwa mbele.

Mimi nilikuwa nazungumzia base ya mpiganaji kabla hajawa an MMA fighter.

MMA ni mixed martial arts. Boxing, wrestling, karate, taekwondo, na kadhalika, zote hizo ni martial arts.

Na ili kujibu swali la muda mrefu la nani anaweza kumpiga nani, ndo watu wakaja na dhana ya mixed martial arts ili kuweza kulijibu hilo swali.

Sijawahi kuona MMA fighter yoyote yule asiye na specialty/ base.

Game imebadilika sana siku hizi ukilinganisha na enzi za akina Don Frye, Mark Coleman, Maurice Smith, na wengineo. Nazungumzia mid to late 90s hapo.

Kipindi hicho wapiganaji wala hawakuwa well versed kama walivyo sasa hivi. Enzi hizo ma kickboxers kama Maurice Smith walikuwa hata hawajui take down defense wala submission defense. Walikuwa ni one dimensional. Wrestlers nao hivyo hivyo..walikuwa hawawezi kabisa striking na submission defense ilikuwa zero.

Mambo yamebadilika siku hizi. Fighters wako well rounded zaidi. Wana train katika aspects zote...striking, take down defense, submission and submission defense, na kadhalika.

Sasa wapo wanao excel na well rounded kama Cain na Bones Jones...wapo wanao improve katika aspects kadhaa na bado wakawa na holes katika game zao, na kadhalika.

Na ndo maana katika trilogy ya Cain na Junior Dos Santos unaona Cain aliweza ku dominate aspects zote ikiwemo striking ambayo supposedly Dos Santos alitakiwa awe na advantage.

Matokeo yake ni Cain 2 na Dos Santos 1. Na hata hiyo moja ni kama alibahatisha tu maana alirusha ngumi...ika connect....Cain akadondoka....Junior aka capitalize.

Hilo nakubali. Lakini haliondoi ukweli wa kwamba msingi wake wa MMA ni wrestling. Ukibisha hilo nitakuona hujui lolote kuhusu MMA.

Wrestling ya Cain ni ya kubahatisha? Hakika uko clueless na unajishebedua tu hapa. Nenda kaangalie rekodi yake ya NCAA alipokuwa Arizona State.

La sivyo unajiaibisha tu hapa. Hujui lolote...umedandia treni kwa mbele na hujui hata lilipotoka na linapoenda.

Nadhani baada ya kauli ya kijinga [hivi unajua hata maana ya ujinga ni nini wewe?] namna hii nitakuacha uendelee tu na ujinga wako. Cain hana jiu jitsu nzuri na ndo maana hata alipopigana na Fabricio Werdum hakutaka kumfuata Werdum kwenye ground. Unajua kwa nini?

Naijua vizuri jiu jitsu. Nimeifuatilia kwa ukaribu kabisa familia ya Gracie...waanzilishi wa Brazilian jiu jitsu. Huna la kunifunza wewe.

Hana lolote huyo. Alipigwa hata na Big Foot Silva. Juzi tu hapa katwangwa tena.

Nah...bado sana wewe. Haupo kabisa katika level yangu ya uelewa wa MMA.
Records za NCAA zinaweza zikawa nzuri ila haichange the fact kua wrestling ya Cain sio world class kama ya DC....na kusema kua Alistair Overeem hana kitu kisa sio kapigwa na Stipe ....kachek tena lile pambano afu useme alikosea wapi hadi akapigwa.

Kuhusu kickboxing ya jamaa...tusiende mbali..kacheki tena Alistair Vs Brock Lesnar afu utaniambia
 
Nimesema nafanya MMA na msisitizo ni kwenye hizo mbili. Umeelewa?

Haimaanishi wrestling sifanyi. Kwanza nina background ya Greco-Roman wrestling ambayo nilifanya nikiwa college.

Na kama unafuatilia MMA, hususan Bellator na UFC utaona karibu wapiganaji wote wana specialty disciplines zao.

Sijawahi kuona hata mmoja asiye na specialty yake.
Una uhakika gani gani kama striking yako ipo vizuri? Ama bench press ndo zinakufanya uamini ivo?
Mi naona we ni kama a bodybuilder tryin desperately to be an MMA fghter....
 
Umeongea mengi sana.

Naam, nimeongea mengi kwa sababu najua mengi mno kukuzidi wewe. Ndo maana umeona nimeongea mengi ilhali kwangu wala hakuna mengi hapo. Ni kawaida kabisa. Ishara nyingine kuwa hujui na unababaisha tu.

Kusema hana lolote Alistair kisa kapigwa na Big Foot?

Hajapigwa na Big Foot tu...hata Travis Browne alimgaragaza. Mwone hapo...

Hata Ben Rothwell naye alimdunda...ona hapo...

Iyo sio hoja uyo big foot jana kapigwa KO na big country ambaye alipigwa KO na Mark Hunt ambaye alipigwa KO na Cigano....in short heavyweight division ni mostly one punch knock out sasa kusema eti fulani kampiga fulani basi fulani boya achaga izo.

Ni hoja ya msingi kabisa. Overeem sio mzuri. Hana chin kabisa. Ukimgusa tu kidevu anawewesuka. Juzi Stipe Miocic kamzimishia taa.

Ana holes nyingi sana na ndo maana huwa anapigwa pigwa tu na ma slouch kama Ben Rothwell.

So much for your horse meat eating Overeem.

Afu Cigano ni heavyweight striker mmoja mzuri sana, kusem kwnye trilogy alimuotea Cain utakua hujaijua heavyweight bado.

Cigano ni one dimensional tu. Na kama hakumuotea Cain...iweje alichakazwa vibaya sana hizo mara mbili?

Uliuona uso wake baada ya kupigana na Cain?

Hebu ona mambo ambayo Cain alimfanyia....

10002643.gif
15.jpg

Umeona kazi ya Cain hiyo?
 
Naam, nimeongea mengi kwa sababu najua mengi mno kukuzidi wewe. Ndo maana umeona nimeongea mengi ilhali kwangu wala hakuna mengi hapo. Ni kawaida kabisa. Ishara nyingine kuwa hujui na unababaisha tu.

Hajapigwa na Big Foot tu...hata Travis Browne alimgaragaza. Mwone hapo...

Hata Ben Rothwell naye alimdunda...ona hapo...

Ni hoja ya msingi kabisa. Overeem sio mzuri. Hana chin kabisa. Ukimgusa tu kidevu anawewesuka. Juzi Stipe Miocic kamzimishia taa.

Ana holes nyingi sana na ndo maana huwa anapigwa pigwa tu na ma slouch kama Ben Rothwell.

So much for your horse meat eating Overeem.

Cigano ni one dimensional tu. Na kama hakumuotea Cain...iweje alichakazwa vibaya sana hizo mara mbili?

Uliuona uso wake baada ya kupigana na Cain?

Hebu ona mambo ambayo Cain alimfanyia....

10002643.gif
15.jpg

Umeona kazi ya Cain hiyo?

Nimeshaona ...ninazo UFC PPVs zote... so unataka kuniambia Cain alimuotea Brock Lesnar mara ya kwanza sio? Kama Cigano alivomuotea Cain? Mark Hunt anavyopigaga Walkaway KOs anaoteaga sio....

Yani sielewi mtu unayesema unajua MMA vizuri unathubutu kusema eti fulani anaotea...

Kwaiyo Rumbe anavyopiga KO anaotea sio??

General rule ni kua...."One Punch can Change everything".
Kuotea ni mpira huo...ndo tatizo la mashabiki wa mpira kuingia ktk fighting
 
Records za NCAA zinaweza zikawa nzuri ila haichange the fact kua wrestling ya Cain sio world class kama ya DC....

Siyo NCAA tu...hata high school. Google uone...

Na hakuna aliyesema DC hana wrestling nzuri. DC ni Olympian wrestler...alikuwa kwenye team USA 2008 kule Beijing.

Pamoja na u-Olympian wake lakini hakufua dafu mbele ya Bones Jones. Jones alishinda hiyo aspect ya wrestling alipopigana na DC.

Sijawahi kuona Cain akiwa dominated on the ground. Hata Brock Lesnar hakuweza kumweka chini Cain. Unabisha?

na kusema kua Alistair Overeem hana kitu kisa sio kapigwa na Stipe ....kachek tena lile pambano afu useme alikosea wapi hadi akapigwa.

Overeem hana chini. Ukimgusa kidevu tu huyo...chali.

Hivi unajua hata light heavyweight Chuck Liddell alim knock out huyo Overeem wako?

Hebu ona hapa....

Kuhusu kickboxing ya jamaa...tusiende mbali..kacheki tena Alistair Vs Brock Lesnar afu utaniambia

Brock Lesnar sio mixed martial artist.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom