fitina kuhusu uzinduzi wa Ant-virus ya Sugu

mtzd

Member
Jan 29, 2010
81
25
Wadau kuna ishu ya shoo ya uzinduzi wa Album ya Ant -virus na shoo nyingine pale mitaa ya Leaders, hii imekaaje maanake nimesoma kwenye mtandao na kusikia kwa baadhi ya vyombo vya habari kwamba shoo ya nani ilikua ya kwanza kupangwa.

Kuna wanaosema shoo ya leaders ndio ya kwanza wengine ya pale ustawi, kuna baadhi ya wadau pia wanasema ya ustawi haitafana mara ya leaders, lakini niliskia jana kwenye taarifa ya habari Mh Sugu akisema atasindikizwa pia na baadhi ya wabunge na mgeni rasmi kama sijakosea atakua waziri mmoja.

sijaelewa hii imekaaje,hapa naona kuna fitna kwa upande flani kwani wapo wanaojipigia debe kwa sana kuhusu shoo ya nani itafana.

Nadhani tofauti hapa zimeanza kujionyesha mapema, soko letu la burudani sijui linaelekea wapi, tunapoeleke ni bifu na malumbano ambapo mwisho wake utakua sio mzuri.

Haya ni maoni yangu tu.
 
Kwanza hizo show zote azitakuwepo kamanda kova tayari ashapiga marufuku,nimewasikia clouds wakiongea maneno ya kipuuzi sana kuhusu hizo show mbili zilizogongana tarehe(26/11/2011).
 
Kwa mujibu wa clouds wanasema wao ndio walikuwa wa kwanza kuandaa show,kwa fitna za ruge kama hizo show zote mbili zitafanyika anaweza peleka vijana pale ustawi wa jamii wakafanye fujo, ili aweze kumuharibia sugu,lakini naona kova tayari ameshapiga STOP show zote mbili plus maandamano ya kupinga mchakato wa katiba.
 
naamini ili ufanikiwe Bongo kama siyo mtoto wa kigogo ni uwe na elimu au uwe na roho ngumu ubebe unga tu!ila wenye vipaji naona kila kukicha wanakwaa visiki....dunk and die ndo mpango!wakiziba tobo hili wajanja tunazibua tobo lingine!!!!
 
Shoo ya vinega ipo kama kawa, vinega walipanga shoo tar 5/11 thn ruge akawaletea zengwa kwa kuongea na wa2 wa vwanja vya sayans ndo wakapeleka tar 26. Ukiwa great thinker chagua sahih dmx anaelipwa dola lak na ushee plus fabo n wabongo wenzako kwenye shoo hyo hyo wanapewa chn la lak 5. Au uende kwa vinega wanaopinga unyonyaj wa ma marketin manegerz
 
Mtengwa umenena!! lazima mtu uonyeshe uzalendo hapa."if u will not fight for your country no body will do for you"-Martin L King
 
Atokee mtu mwenye busara kuwapatanisha hawa watu kwa usalama wa muziki wa bongo otherwise unaelekea kubaya mgawanyiko sio mzuri
 
Magenge ya antivirus kama tu ile album ya copy ya kwanza hawajaibadili na yale matusi ndani, na sugu anaenda kuzindua matusi kwa kweli....hilo ni kundi la watu wamechoka na mziki kabisa....sugu kama sugu na sauti yake niliisikia akiimba matusi balaa ile sio show ya kuhudhulia.
 
Wadau kuna ishu ya shoo ya uzinduzi wa Album ya Ant -virus na shoo nyingine pale mitaa ya Leaders, hii imekaaje maanake nimesoma kwenye mtandao na kusikia kwa baadhi ya vyombo vya habari kwamba shoo ya nani ilikua ya kwanza kupangwa.

Kuna wanaosema shoo ya leaders ndio ya kwanza wengine ya pale ustawi, kuna baadhi ya wadau pia wanasema ya ustawi haitafana mara ya leaders, lakini niliskia jana kwenye taarifa ya habari Mh Sugu akisema atasindikizwa pia na baadhi ya wabunge na mgeni rasmi kama sijakosea atakua waziri mmoja.

sijaelewa hii imekaaje,hapa naona kuna fitna kwa upande flani kwani wapo wanaojipigia debe kwa sana kuhusu shoo ya nani itafana.

Nadhani tofauti hapa zimeanza kujionyesha mapema, soko letu la burudani sijui linaelekea wapi, tunapoeleke ni bifu na malumbano ambapo mwisho wake utakua sio mzuri.

Haya ni maoni yangu tu.
Kuna show nyingi sana huwa zinatokea siku moja, sioni sababu ya kuitazama hii sijaziona..........
 
[h=6]Anselm Soggy The-Entertainer
‎-Baada ya kutosikiliza Radio yao kwa muda mrefu leo asubuhi nikasikiliza kumbe kiji-show chao wame-copy LIJI-SHOW LETU?Unazungumziaje Majembe ya hip hop Bongo bila Sugu,Soggy,Mabaga,Mapacha,Hardmad,Big Doggy Pose,Suma-G,Mkoloni,Sister-P,Hisabati,Snare,Daz Nundaz,Rama-Dee na wengineo?Hii Radio ya Wafu si inapromote Wasanii wapya tu?Imewakumbuka nini wa zamani?Nov 26 njoon i Chuo cha ustawi kiingilio elfu 5 tu[/h]
app_2_2254487659_1473.gif
Share · Yesterday at 9:27am via BlackBerry ·


  • 23 people like this.




    • Mark as Spam

      Ntukula Boaz tunakuja kaka.na siku hiyo machoko wa magorofani na teja lao dmx watasanda na mziki mnene na full mataa on stage kudadadekiYesterday at 9:30am





    • Mark as Spam

      Fredy 'Tayasar' Mizambwa Ha ha ha! Vnega nuxYesterday at 9:34am




    • Lyamuya Chif Zeph naamini Mungu husimamia haki tarehe 26 hawa mavirus lazima wakae najua watafanya mipango kuharibu lakini Mungu atatusimamiaYesterday at 9:35am




    • Paul Joseph Tarimo Mia mia vinega lazma ntie timYesterday at 9:35am




    • Eric Shiyo sana tu lazima tukinukishe 26 Nov!Yesterday at 9:46am




    • Dravic Kinega Moudy AFU NA YULE ANAJIITA AFANDE MBNA CMSOMI!?Yesterday at 9:50am




    • Aliko Mwaikambo wanafiki hao soggy cos mbona ni muda mrefu sana wamewatenga so kama na hao wanao jiona kuwa ni vigeugeu maana ita kula kwao kwa vipesa vya siku moja badala ya kukomalia mziki wa kweliYesterday at 9:56am




    • Aliko Mwaikambo na pia watakao kwenda huko ni wauza sura 2 hata afande anatakiwa kuwana mkubwa wake cos anasahau sugu aliko mtoaYesterday at 9:57am




    • Dravic Kinega Moudy MARCO' WE NDO UJIPANGE! HUJUI UNACHOKIANDKA CHUNGUZA KWNZAYesterday at 9:58am




    • Jackline Charles Marandu duh! Yesterday at 9:59am




    • Anselm Soggy The-Entertainer Dravic huyo Marco ndio sio Mzalendo nimeamua kum-removeYesterday at 9:59am · 2McGum Cippo and Dravic Kinega Moudy like this.




    • Dravic Kinega Moudy KTK RATBA MWNZO HAWAKUWEKA LIST Y WASANII WALIOPTA WIKI HII NDO WAMEWAONGEZA' HAHAHAHA, SHAME ON ZEM WAAAFU FM!23 hours ago




    • Matilda Kivelege Nawaombea ktk hili....ebu tuonyeshe uzalendo wenzetu coz wakilipa kodi wote twapata ama sio. Zay B wapi kwani?23 hours ago




    • Jane Vanila Teh!23 hours ago




    • Peter Dafi Yer, vinega wa Ant-virus km kawa harakati co? Big up Jembe...23 hours ago




    • George Tibaijuka Afande ni maku kwel kwel yaan sugu kamtoa mbal anashindwa kusupport alakati?Ila pamoko vinega never give up23 hours ago




    • Dravic Kinega Moudy MATILDA' ZAY B NDANI J'MOS23 hours ago




    • George Tibaijuka Jackline unaguna nn dada?njoo viwanja vya usitawi dada km upo dar akina Sr.P na zay B wapo husiofu23 hours ago




    • Dravic Kinega Moudy AFU WALISHAM2KANA HEWANI LIVE BILA KIFICHO23 hours ago




    • Matilda Kivelege Duuuh muite na magari ya FIRE patawaka motoo hapo jamen23 hours ago




    • George Tibaijuka Yaani ni noma co fire tu waite jeshi maana police hawatoweza mziki kwan wafu fm lzm waweke mamluki kibao kuharibu show.....wanaanya mbaya na mpaka ss wametumia Hera kibao bila mafanikio23 hours ago





    • Mark as Spam

      Mohammed Masoud Yan 2mekod costa cku iyo from tanga 2 dar kwny show yakizalendo, soggy kwa mara ya kwanza na2kana Afande ni shoga ***** zake.23 hours ago




    • Belinda Rugarabamu jamani pig black yupo?23 hours ago





    • Mark as Spam

      George Tibaijuka Fine masoud mpe jingine bwabwa hy23 hours ago





    • Mark as Spam

      Mohammed Masoud Berinda umekumbusha kichwa muhimu! mbaya nn mnataka mazee!23 hours ago





    • Mark as Spam

      Mohammed Masoud Ebwna soggy Sarafina wa kibanda cha cm ckuiyo nae anatakiwa ndani ata kam kaolewa au ana kachanga cha mwz23 hours ago




    • George Tibaijuka Cjuh yupo wapi huyo nguruwe mweuc......soggy tusaidie wapi huyo jamaa?23 hours ago




    • BaraKa KizuGuto kwenye msafara wa mamba kenge nao wapo, afande kafulia anaishi kwa nguvu za macho, dj demu yule wa wafu fm alimdiss kichzi wiki nzima ktk kipindi ooh msanii gani mchafu, msanii kaishiwa lkn leo hii karudi tena hko??? kapotea kweli swahiba anazani atapewa tena U king wa ryhmes???23 hours ago




    • Victor Karia kama waliotajwa hapo juu hawakuepu naona walikuwa wana watangaza wasanii wapya na co waasisi wa muziki wakat huo hvyo kama wanapaswa wabadili jina au kama jina la kipindi wameshindwa bas wawape wasikilizaji watoe maoni!!! BONGO FUL KU COPY NA KU PASTE!!!23 hours ago





    • Mark as Spam

      George Tibaijuka Hahahahaah baraka22 hours ago





    • Mark as Spam

      Kevin Awitti Yaani sijaamini kuwa watu fulani ni masnitch mazima.Wanatosa Vinega kwenda kwa wafu??Na baada ya hapo watatoswa tu na wafu.Sio siku nyingi dada yetu fulani katosa kundi fulani kipindi cha uchaguzi sasa anataka kurudi na hatakikani!Vinega wanafaa kufanya show A city na Mwanza kwa akina George Tibaijuka waone support wataopata!!22 hours ago




    • George Tibaijuka Kwel kwel Kevin wakuje huku tunawasubilia kwa hamu sana22 hours ago




    • Hassan Mwili Jumba Mhando Mi sitaki kiuamini kwamba MGANBO SELE amemtupa SUGU, hii haiwezekani....yaahi Mganbo Sele anaona WAFU ndo wa kuwapa shavu. naye kumeb ndo mana kama amekufa tu maana hatumsikii.21 hours ago




    • George Tibaijuka Kamtupa kiukwel ukickiliza cloud wanamrusha na yy@hassan20 hours ago




    • Kevin Awitti Sele siamini kabisa lakini ndio hivo.The movement is on!!20 hours ago





    • Mark as Spam

      George Tibaijuka Mpaka Kala pina naye maku anaongea ungese tu hapa20 hours ago




    • Hassan Mwili Jumba Mhando Dah kama ni Hivyo kumbe Mganbo Sele naye ni **** kabisa, tena MAKU.....Nakumbuka nyimbo yake moja Mgambo Sele anasema, "Nauliza vipi SUGU, mchizi anawaka mchizi anasikitika, Mziki bongo haulipi mwanangu mi nang'atuka, duh mimi nastuka mwili unatetemeka miguu inakosa nguvu nahisi kama naanguka, KWA VILE BILA SUGU HAPA NILIPO NISINGEFIKA" kumbe anajua kuwa bila SUGU hapo alipo asingefika , SASA KWANINI HAMPI KAMPANI???19 hours ago





    • Mark as Spam

      Rick Pangani Looh
      Anti virus.ni poa.19 hours ago




    • Said Ambua yap salute18 hours ago




    • Kevin Awitti Eti Kalapina pia?Makubwa!!Lakini ujumbe umefika.Kwa vike bila Anti Virus wasingekua waliko sasa hivi na wafu.Msg delivered:Anti Virus for life!!!18 hours ago




    • Rachel Balilemwa Nw nmeelewa,asubuh ilnpta kushoto.

      hello 2 snitches17 hours ago





    • Mark as Spam

      George Tibaijuka Kala piña mngese sn Leo alikuwa kwenye interview na hao machoko eti anasema anataka pata exprience kwa kufanya show na DMX......mamamaako Kala na kikoc cha mashoga chako17 hours ago




    • Kevin Awitti Kupata experience ya kufanya nini?Kufuga mbwa au?Mtu hujasikika hata Kenya itakua experience gani?16 hours ago




    • George Tibaijuka Senge tu lile eti linataka kumfunika huyo teja wa USA16 hours ago





    • Mark as Spam

      George Tibaijuka Hacha Kenya......Kinondoni tu kakosa udiwani sasa badala akae karibu ns mbunge ajipange kwa mwaka ujao yy anaenda kwa machoko kisa laki moja16 hours ago




    • Mwatoum Mdengor wat weweeeeeee mtunza kwao bwana sio kila siku wamarekani wanini sie tupa kule16 hours ago





    • Mark as Spam

      George Tibaijuka Nn kinaendelea huko redioni?mtujuze mnaoaccess matangazo hayo15 hours ago




    • Mohamed Arfi Waelewe kua chote sugu anachopanga huwa anafanikiwa mf alisema mwanzo lazma ataenda ulaya na akafika.alisema ataaandaa sumit kuubwa ya kuwakutanisha wasanii na akawakutanisha mwisho akasema ntakua mbunge na amekua sasa na antvirus lazma awa skan hao virus12 hours ago · 1Loading...




    • Mohamed Arfi Waelewe kua chote sugu anachopanga huwa anafanikiwa mf alisema mwanzo lazma ataenda ulaya na akafika.alisema ataaandaa sumit kuubwa ya kuwakutanisha wasanii na akawakutanisha mwisho akasema ntakua mbunge na amekua sasa na antvirus lazma awa skan hao virus12 hours ago




    • George Tibaijuka Mohamed upo sawa kabisaaaa waambie kiburi co kitawaponza hao wafu fm
 
Back
Top Bottom